Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,281
- 5,847
Habari waugwana!
Hii leo nitafakari yangu ya mda mrefu juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka jana2015.
Uchaguzi huu umeacha vijana na watu wengi wakiwa wamekata tamaa na butwaa hatakuelewa ni wapi tunaelekea kama taifa.
Mtu ambaye amevunja moyo watanzania ni mheshimiwa kipenzi cha watu weng tanzania hasa vijana ambao waliapa kumuweka madarakani kama mkomboz wao,tena mm nikiwa mmoja wapo ambae nilihakikisha nazunguka nae nchi nzima.
Lowassa uliniadi mm na watz wataka mabadiliko kwamba ananguvu ya kuishinda ccm nikuitupilia mbali tukakubali kwamba wewe ndie na ukatumia misemo ya baba wa taifa kwamba wakuimaliza ccm ni atatokea ccm akidai ni yeye.
Sasa Lowassa umekua kama babu asiye na meno wala nguvu za mwili ccm wamejaa nguvu na ubabe umekaa kimya sijui ni kwa aibu kutokana na uongo wako wa ICj.
Lowassa umeiua siasa ya upinzani tanzania sasa hamna siasa mlipo tuhakikishia mtalinda kura za urais sisi tupige baadae nawe wa lialia et umeonewa pamoja kwamba nakupenda mzee wangu ila ulitutumia kama katuni na mateso haya ya watz kupoteza tumaini la demokrasia inaweza ikawa laana kwako tunaomba uhakikishe unarudisha upinzani wetu imara tumaini la vijana na watanzania weng wanaoamini tz itaendelea baada ya kuiondoa ccm nalo ndilo tumaini letu sote.