MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Tena Zilipendwa NA VILAZALowasa ilikuwazilipendwa. amesha expire huyo
Tena Zilipendwa NA VILAZALowasa ilikuwazilipendwa. amesha expire huyo
Wewe nikioja zaidi yakeMleta hoja ni moja ya vioja vya fisi
Ulidhani hivo vicent havitaisha? Endelea kuisoma namba. Ile ilikuwa temporary employment. Tafuta ajira inayoeleweka.
Mbona siuoni upinzani imara sasa inafikia hatue et wanatetea watumishi wazembe wanawajibishwa wakati walisha jisahau??? Nahitaji upinzani wenye tija sasa.Una uhakiks lowasa alishindwa? Magufuli mwenyewe unajua kabisa pale alipo sio halali kapitia mlango wa nyuma ccm ilishaanguka vibaya sna ndo mana wanahangaika kila matokeo yaliyosalia umeya jiji la dar urais zanzibar mapingamiz ya ubunge hivyo tayar ni viashilia vya ccm kushindwa lowasa kaachia tu kuachia kwake kumekufanya leo ukae kwa utulivu na kuandika hizo mada zako za kujufariji bado lowasa ni mshindi hata magufuli anatambua hilo ndo mana hilizungumzii
upinzani upo tena una tija ndo mana unaona kufukuzana saiv kumeshamili bila upinzan mambo mengi tusingeyajua na kusikia mfano escrow halafu unadai upinzani wenye tija ikiwa watu wa escrow waneshindwa chukuliwa hatua na serikaliMbona siuoni upinzani imara sasa inafikia hatue et wanatetea watumishi wazembe wanawajibishwa wakati walisha jisahau??? Nahitaji upinzani wenye tija sasa.
Ahsante kwa hoja yako japo imejaa mipasho na siasa rahisi ambazo kwazo unajiona ni think tank.Nadhani umemshauri vema mleta mada. Kwanza nikiri kuwa kwa kuusoma tu uzi wake anaonekana uwezo na uelewa wake wa masuala ya siasa ni mdogo mno. Ona hata uandikaji wa hoja zake,uwasilishaji na mategemeo yake huyu asingeweza kukubaliwa kuandamana na kumnadi nguli wa siasa na alietegemewa kuiongoza nchi nikiwa na maana mh.Lowassa na nikiri wala huyu sio mwanachama wa ukawa bali aliependa kuwa pandikizi la upande wa pili. Siasa za mh.Lowassa ni za kistaarabu na zinazoheshimu sheria na ndio maana hukumsikia akilumbana na wagombea uraisi wenzake,polisi na wala tume hadi leo amepewa heshima kubwa. Kwa ufuasi mkubwa aliokuwa nao na wakishuhudia uchakachuaji mkubwa uliokuwa ukiendelea upande wa pili Lowassa na chama chake walihakikisha kuwa vijana wao hawaingii barabarani kudai haki zao kwani wanayaelewa madhara ya uchochezi wa aina hiyo.Nina imani vijana walisubiri tu amri ya viongozi wao kutoa amri ya kuingia barabarani lakini kwa busara za viongozi hilo halikuruhusiwa kwani walielewa zipo taratibu halali za kuzidai hizo haki na hilo lilimjengea heshima kubwa Lowassa na kilichofuata ni mataifa ya nje kumtunuku nishani zaidi ya kumi kutambua unguli na ustaarabu wake katika siasa.Nadhani umesoma michango ya wachangiaji wengi wakisema u-meya wa jiji la Dar peke yake figisu ni kama unavyoziona je kwa uraisi si ina maana kumwaga zamu za watanzania wengi bila sababu hilo Lowassa aliliona mapema.Mageuzi ni mchakato na sio kazi ya muda mfupi kama wewe na wengine wanavyofikiria.Wala usidhani Lowassa alikaa kimya baada ya kutotangazwa kwake hapana amefanya na anafanya mengi ndani ya ukawa. Wabunge wa majimbo wameongezeka,viti maalum madiwani na nafasi nyingine.Sasa kama perdiem zako zilikoma baada ya uchaguzi mkuu ulitakiwa uwe umeshajua la kufanya. Kama ulidhani kila siku ni Ijumaa umepotea na J'pili zimo hukuweka akiba katika hizo hela hata kazi hukuwa umejifunza?Kama ni buku saba wa Lumumba Magufuli anakabidhiwa kofia ya ccm taifa mwezi June mwaka huu huo mradi anaufunga mara moja. KAZI HUJIFUNZA UJANANI NA SIO UZEENI ITAKULA KWAKO.
Hujaniekewa yaan haya yanayofanyika sasa ni matokeo ya upinzani imara uliopita na si wasasa ambao umekufaaa.upinzani upo tena una tija ndo mana unaona kufukuzana saiv kumeshamili bila upinzan mambo mengi tusingeyajua na kusikia mfano escrow halafu unadai upinzani wenye tija ikiwa watu wa escrow waneshindwa chukuliwa
hatua na serikali
Teh Teh pole sana kwa kudanganywa na Lowasa...Habari waugwana!
Hii leo nitafakari yangu ya mda mrefu juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka jana2015.
Uchaguzi huu umeacha vijana na watu wengi wakiwa wamekata tamaa na butwaa hatakuelewa ni wapi tunaelekea kama taifa.
Mtu ambaye amevunja moyo watanzania ni mheshimiwa kipenzi cha watu weng tanzania hasa vijana ambao waliapa kumuweka madarakani kama mkomboz wao,tena mm nikiwa mmoja wapo ambae nilihakikisha nazunguka nae nchi nzima.
Lowassa uliniadi mm na watz wataka mabadiliko kwamba ananguvu ya kuishinda ccm nikuitupilia mbali tukakubali kwamba wewe ndie na ukatumia misemo ya baba wa taifa kwamba wakuimaliza ccm ni atatokea ccm akidai ni yeye.
Sasa Lowassa umekua kama babu asiye na meno wala nguvu za mwili ccm wamejaa nguvu na ubabe umekaa kimya sijui ni kwa aibu kutokana na uongo wako wa ICj.
Lowassa umeiua siasa ya upinzani tanzania sasa hamna siasa mlipo tuhakikishia mtalinda kura za urais sisi tupige baadae nawe wa lialia et umeonewa pamoja kwamba nakupenda mzee wangu ila ulitutumia kama katuni na mateso haya ya watz kupoteza tumaini la demokrasia inaweza ikawa laana kwako tunaomba uhakikishe unarudisha upinzani wetu imara tumaini la vijana na watanzania weng wanaoamini tz itaendelea baada ya kuiondoa ccm nalo ndilo tumaini letu sote.
Mbona siuoni upinzani imara sasa inafikia hatue et wanatetea watumishi wazembe wanawajibishwa wakati walisha jisahau??? Nahitaji upinzani wenye tija sasa.
Hahahaha Lowasa kawapiga changa la macho....Mbona husomeki? ulitaka Lowasa akufanyie nini? Aingie ikulu kwa nguvu au awaamrishe mlete fujo? Funguka.
Kwa mujibu wa maelezo yakohahaha mkuu punguza jazba. Wewe unajuaje siwaz meandeleo?
Nakuwakilisha we mlala hoi tunaekonyonyaSasa mbona unalalamika lalamika hapa kama mboga saba?
Ila ujumbe umeupata na umbea wakokwa uandishi huu hata bukujero hupati
sijasoma hata mstari mmoja asee sina nafasi za hivyoIla ujumbe umeupata na umbea wako
WE mwenye akili umeifanyia nn tz ikakutambua??Huna lolote,mwanangu mdogo anayesoma vidudu anafikiria zaidi kuliko wewe
Ndo ushaisoma kimoyo moyo kudadekisijasoma hata mstari mmoja asee sina nafasi za hivyo
Hivi kweli kabisa mkuu ulikua unataka lowasa awe rais wa tanzania.Mkuu wajua nini, hapo Lumumba mmezidi sana uzushi, mko wambea Na wanafiki, kutokana Na hayo wananchi wAnawakataa ila mwafanya kulazimisha, mwaka wa Jana mmekataliwa lkn mwalazimisha, Zenzibar mmekaraliwa mwalazimisha, umeya hamtakiwi lkn bado tu mwatumia mabavu, ninyi ni viumbe wa aina gani