Sitosahau alichonifanyia Lowassa na wenzake

Mleta mada malizana na mzee Ngoyai kivyako huko. Usituletee giza kwenye mwanga wetu hapa. Sasa ulitarajia nini kumuacha demu wako aongozane na wewe kwenye kampeni mkiwa karibu na mzee Ngoyai?

Povu na maumivu yako makali peleka huko kuzimu.

Qengeh ww!
Unawaza ngono tu mda wote kiazi wewe waza maendeleo
 
Lowassa ndiyo maana kapewa tuzo ya Amani yeye siasa zake ninza hoja hataki kuingia barabarani na mazingira yaliyopo yanaonekana maana hata Waziri Mkuu alisema uchaguzi umeisha mikotano ya siasa basi alivyobanwa bungeni akakanusha!Ila ukweli kuna ubabe mwingi katika serikali ila naona ni mapema kumlaumu kwani lazima atii sheria.
 
Umetumwa Na Ras wa jiji au na wale wanasheria wake? Huuu upuuzi wako nenda nao Lumumba
 
Habari waugwana!
Hii leo nitafakari yangu ya mda mrefu juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka jana2015.

Uchaguzi huu umeacha vijana na watu wengi wakiwa wamekata tamaa na butwaa hatakuelewa ni wapi tunaelekea kama taifa.

Mtu ambaye amevunja moyo watanzania ni mheshimiwa kipenzi cha watu weng tanzania hasa vijana ambao waliapa kumuweka madarakani kama mkomboz wao,tena mm nikiwa mmoja wapo ambae nilihakikisha nazunguka nae nchi nzima.

Lowassa uliniadi mm na watz wataka mabadiliko kwamba ananguvu ya kuishinda ccm nikuitupilia mbali tukakubali kwamba wewe ndie na ukatumia misemo ya baba wa taifa kwamba wakuimaliza ccm ni atatokea ccm akidai ni yeye.

Sasa Lowassa umekua kama babu asiye na meno wala nguvu za mwili ccm wamejaa nguvu na ubabe umekaa kimya sijui ni kwa aibu kutokana na uongo wako wa ICj.

Lowassa umeiua siasa ya upinzani tanzania sasa hamna siasa mlipo tuhakikishia mtalinda kura za urais sisi tupige baadae nawe wa lialia et umeonewa pamoja kwamba nakupenda mzee wangu ila ulitutumia kama katuni na mateso haya ya watz kupoteza tumaini la demokrasia inaweza ikawa laana kwako tunaomba uhakikishe unarudisha upinzani wetu imara tumaini la vijana na watanzania weng wanaoamini tz itaendelea baada ya kuiondoa ccm nalo ndilo tumaini letu sote.

Pole sana laiti kama ungemsikiliza mzee Mwinyi pale jangwani wala yasingekukuta hayo, CCM b walikwenda ukawa kuua upinzani na kweli Lowassa, Sumaye, Kingunge, na wenzao wamefanikisha mission yao ya kuua kabisa Upinzani Tanzania.

Babu Slaa na Lipumba waliustukia mchezo dakika za mwisho wakachomoa hawakutaka kuja kulaumiwa na watanzania kuhusu CCM b hivyo wakaamua kusepa. Mbowe na Mbatia walizibwa macho chapaa.

wa kulamiwa leo ni Mbatia, Mbowe na Sharifu hamad kwa kusababisha upinzani kukosa kick mpaka kina msingwa leo wanafanya mambo yasiyo na tija ili kutafuta kick
 
Habari waugwana!
Hii leo nitafakari yangu ya mda mrefu juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka jana2015.

Uchaguzi huu umeacha vijana na watu wengi wakiwa wamekata tamaa na butwaa hatakuelewa ni wapi tunaelekea kama taifa.

Mtu ambaye amevunja moyo watanzania ni mheshimiwa kipenzi cha watu weng tanzania hasa vijana ambao waliapa kumuweka madarakani kama mkomboz wao,tena mm nikiwa mmoja wapo ambae nilihakikisha nazunguka nae nchi nzima.

Lowassa uliniadi mm na watz wataka mabadiliko kwamba ananguvu ya kuishinda ccm nikuitupilia mbali tukakubali kwamba wewe ndie na ukatumia misemo ya baba wa taifa kwamba wakuimaliza ccm ni atatokea ccm akidai ni yeye.

Sasa Lowassa umekua kama babu asiye na meno wala nguvu za mwili ccm wamejaa nguvu na ubabe umekaa kimya sijui ni kwa aibu kutokana na uongo wako wa ICj.

Lowassa umeiua siasa ya upinzani tanzania sasa hamna siasa mlipo tuhakikishia mtalinda kura za urais sisi tupige baadae nawe wa lialia et umeonewa pamoja kwamba nakupenda mzee wangu ila ulitutumia kama katuni na mateso haya ya watz kupoteza tumaini la demokrasia inaweza ikawa laana kwako tunaomba uhakikishe unarudisha upinzani wetu imara tumaini la vijana na watanzania weng wanaoamini tz itaendelea baada ya kuiondoa ccm nalo ndilo tumaini letu sote.
Una uhakiks lowasa alishindwa? Magufuli mwenyewe unajua kabisa pale alipo sio halali kapitia mlango wa nyuma ccm ilishaanguka vibaya sna ndo mana wanahangaika kila matokeo yaliyosalia umeya jiji la dar urais zanzibar mapingamiz ya ubunge hivyo tayar ni viashilia vya ccm kushindwa lowasa kaachia tu kuachia kwake kumekufanya leo ukae kwa utulivu na kuandika hizo mada zako za kujufariji bado lowasa ni mshindi hata magufuli anatambua hilo ndo mana hilizungumzii
 
Dunia imejaa maajabu na huyu ni mmoja wapo wa hayo maajabu, yaani mkuu uliacha kazi zako kabisa za kuzalisha ukawa unazunguka na lowasa na kuzungusha mikono ukitegemea kuna lolote litakalo tokea, pole sana mkuu, wengine tulijua zile ni sanaa tu tukaamua kuachana na huo upepo...
 
Lowassa ndiyo maana kapewa tuzo ya Amani yeye siasa zake ninza hoja hataki kuingia barabarani na mazingira yaliyopo yanaonekana maana hata Waziri Mkuu alisema uchaguzi umeisha mikotano ya siasa basi alivyobanwa bungeni akakanusha!Ila ukweli kuna ubabe mwingi katika serikali ila naona ni mapema kumlaumu kwani lazima atii sheria.
siasa za afrika ukiwa kama lowasa unapigwa tobo kila siku....unatakiwa uwe mtata
 
Dunia imejaa maajabu na huyu ni mmoja wapo wa hayo maajabu, yaani mkuu uliacha kazi zako kabisa za kuzalisha ukawa unazunguka na lowasa na kuzungusha mikono ukitegemea kuna lolote litakalo tokea, pole sana mkuu, wengine tulijua zile ni sanaa tu tukaamua kuachana na huo upepo...
Unajua wewe unashida kubwa sana, hata aibu huna unabwabwaja tu, halafu unajidai msomi, mpigania haki za wanyonge, Mara mzalendo upuuzi mtupu,
 
waliokua wanazungusha mikono mpaka kwapa zimeota sugu utawajua tu, maana hata wakitype wanatype vitu vya ajabu ajabu...
 
Watu washasahau haya mambo, na UKAWA wasipokuwa makini, watasahaulika, waamke mapema na wafanya mambo makubwa hasa katika halmashauri wanazozitawala

Ili wawe na cha kusema uchaguzi ujao
 
Lowasa tulimtuma huko ukawa kwa kazi maalumu,soon atarudi nyumbani kwao tu.
 
waliokua wanazungusha mikono mpaka kwapa zimeota sugu utawajua tu, maana hata wakitype wanatype vitu vya ajabu ajabu...
Mkuu wajua nini, hapo Lumumba mmezidi sana uzushi, mko wambea Na wanafiki, kutokana Na hayo wananchi wAnawakataa ila mwafanya kulazimisha, mwaka wa Jana mmekataliwa lkn mwalazimisha, Zenzibar mmekaraliwa mwalazimisha, umeya hamtakiwi lkn bado tu mwatumia mabavu, ninyi ni viumbe wa aina gani
 
Back
Top Bottom