Mapenzi yalifanya nikaumbuka ninachoshukuru hayakuniua.. Kila nikisikiliza mistari hiyo ktk wimbo mpya wa fid q Unanikumbusha mbali xana
Niliwai kumpenda Binti mmoja.. Nilikuwa nauzuia moyo usimpende lakin mwisho wa siku nikajikuta nimependa bhana... Dah sitosahau alinitesa yule mwanamke... Nilimpa upendo kadri ya uwezo wangu lakin Nilimfumania kila mwezi.. Nilimsamehe bila kuchoka.. Na yeye akaendelea kuniumiza bila kuchoka pia. Kama alikuwa ananikomoa vile.
Kuna wakati nilimtafutia kazi.. Dah kumbe nimempeleka kwa wanaume wengine.. Akaanza kutoka na Manager wa hiyo Bank mpaka wafanyakazi wa kawaida bhana.. Alikuwa malaya wenda kutokana na uzuri wake... Alikuwa mzuri sana.. Ndo shida ya kuwa n demu mzuri
Nilitaman kumroga ili atulie ila nilishindwa kwa sababu mambo ya waganga sijazoea... Sitosahau
Kuna wakat mpaka nikahic nimepata ugonjwa wa moyo kumbe wapi nilikuwa naweweseka tu ikifika usiku saa tisa lazima nishtuke naanza kumuwaza nakosa usingiz mpaka asubuhi.. Duh. Acha tu.
Niliwai kumfumania na Boyfrnd wa rafiki yake.. Nilichoka. Nilihic huyu demu ana mapepo
Msomaji huwezi amini nilimpeleka kwa mchungaji mmoja(Jina nalihifadhi) ili aombewe. Mchungaji akampa demu ratiba ya maombezi, aende kila siku jioni Hahahaha Mchungaji nae si akaanza kumtongoza demu..nilikuta sms za mchungaji za mapenz kwenye simu ya demu.. Nilishaangaa. Mwaka jana nikachoka nikaamua kumwacha.. Ila ilikuwa kazi ngumu kumwacha.. Ilibid niwe malaya ili nimsahau yeye kwa nguvu... Sitaki hata kukumbuka
Sitopenda tena.