Sitongozwi, nini tatizo?

girlie najua hutaki wa mtandaoni
lakini hapa ndio mahali pekee ntapoweza kuwasiliana na ww
sikufahamu
hunifahamu
ila sio mbaya tukajuana
tangia naanza soma huu uzi moyo unaenda kasi sana
nadhani kuna kitu moyo wangu unataka sema
ila hauwezi kwa sababu moyo hautoi sauti
ila ukiusikiliza kwa makini nadhani utaweza sikia
ooh girlie, uonee huruma moyo huu
moyo umeona wengi, ila umekupenda ww ambae haujakuona
ooh moyo! usipende usivyoweza vipata
utaishia kuumia tuu.. oh moyo wee..
 
Kwaiyo wewe sasa hivi huna wa kukuza na unaitaji wa kukukaza? Mara yako ya mwisho kukazwa ni lini?
 
siwezi date na wa mitandaoni
Kwanza fahamu kitu kimoja muhimu ukiwa mwanafuzi watakaokutongoza wengi huwa wanafunzi wenzio. Ukiwa mfanyakazi wa ofisini ndio utatongozwa na hao hao wafanyakazi wa maofisini wenzio. Na ukiwa mfanyabiashara mara nyingi wafanyabiashara wenzio ndio watakao kutokea. Na ukiwa mtu wa kanisani waumini wenzio ndio watakao kutongoza, au hata mtu wa mtaani au wapangaji wenzio. Sababu kuu hawa ndio watu waliokuzunguka hasa kama wewe sio mtu wa kujichanganya na watu. Kwahio ukiwa hapa mtandaoni kuna watakaokuja PM na kukueleza yalio moyoni, wapo wakweli na waonjaji huwezi kumjua yupi ndio yupi. Bila ya kukata tamaa inawezekana kuna mwanaume anakuangalia hivi sasa nyendo zako kama umetulia au kiruka njia. Kama akiona umetulia na una sifa azipendazo kuna siku atakuja na kukuondolea kiu ulionayo. Nakutakia kila la kheri ktk maisha ya kila siku.
 
siwezi date na wa mitandaoni

This is where your problem is, kwani wanaume wa mitandaoni wanatoka sayari gani.. Jupiter au? si wale wale unaowaona mtaani? Get off your high horse, and put aside your female ego. Utakuta una miezi miwili tu hujatongozwa unaanza lalamika, kama umepost hii topic ili upate kiki au ujijazie pm na texts za wanaume bhas utoto unakusumbua girlie
 
23 years hutozongwi ukifika 30 years hata salamu tu utakua hupewi!!
Though Siku hizi tumeshastafu kutongoza wanawake wa huko mtaani, tunatongoza mitandaoni tu,sasa kama we hutaki wa mitandaoni kutongozwa utaendelea kusikia kwa jirani.

[HASHTAG]#PAMBANA[/HASHTAG] NA HALI YAKO#

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kosa liko hapo kwenye bold!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…