Mimi sina ushauri,ila ninahitaji kua na wewe,ili uwe na confidence zaidi ya ulizonazo kwasasa,hata hivo sisi wanaume tunapenda mwanamke ambaye anajiamini kwa wanawake wenzake ila siyo kwa mwanaume..angalizo kama unaweza kunijibu kwa sauti ya juu mbele ya wanaume wenzangu au wanawake wenzako tafadhari sana usinikubali...sijaleta tangazo KUTAKA mwanaume rather ushauri,gat me???
Sasa mbona umekuja kulia huku jf kama hupendi watu wa mtandaonisipendagi watu wa mitandaoni
Tatizo notikichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
Kweli kabisa wanapenda mtandao piasipendagi wa kwenye mitandao mimi
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
we differ,when u know yo potentials kwann usi brag,am haya btwWazuri huwa hawajisifii
Amen
you might be rightDunia yaleo amekosa wa kumtongoza!!!!
Angesema wanaomtongoza hawakidhi vigezo vyake....ningemuelewa.
UmetishaSasa kama hujaona wakumtongoz why unataka kujua hutongozwi??? Just trust kwamba waliokuona maybe we sio type yao. Until u find the person u feel u are willing to ask out just chill or wait for that person who will come ask you out to do so
Sent using Jamii Forums mobile app
ila sijakuzidi kwa ubaya shunie,ten ulivo kembamba, i swear u cant beat me kwa uzuriNi kweli kabisa wala hujakosea
Kwa majibu haya! jiande kua single mother tu na mlezi wa vi ben ten!am nat here to prove anything to anyone,u dont have to believe me
Japo kutongozwa raha sana asikuambie MTU .. Au kujitongozesha ili utongozwe weeee hatariKwani adi utongozwe, hata wewe pia unaweza kutongoza, mbona watoto wa kike wa kizungu wapo free kueleza hisia zao
Sent using Jamii Forums mobile app