BEZO JR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 2,652
- 6,546
Au uliwatundika mimba wanawake wa baa mkuu,au wale wa uswazi.Tatzo msingi mzuri,wakiwa wengi watakosa
Au uliwatundika mimba wanawake wa baa mkuu,au wale wa uswazi.Tatzo msingi mzuri,wakiwa wengi watakosa
Wenye muonekano wa namna hii..Au uliwatundika mimba wanawake wa baa mkuu,au wale wa uswazi.
Yasirini, uumbuliwa na mwanga 😀 😀Faza kukata viuno kisiri Siri Raha Sana.
Lea kina junior mwanetu.
Kaka kuona.
Ndio hivyo mkuu, hapa najiuliza nitawalisha niniHongera mkuu naona like jukumu tuliloambiwa na Mungu kulitekeleza hapa Duniani unalitendea haki kisawa sawa.
" Zaaneni muijaze Dunia"
Ni dhambi sana, kutokuwatumia watoto wazuri wenye muonekano huo; na ukizaa nao tayari unapata tiketi ya kupasha pasha kiporo.Kaka kuona.
Trmbelea wanaposhindaga hao KE zako uchukue chukue picha za majita utaona tu Kama watoto wanafanana na mtu eneo hizo.Yasirini, uumbuliwa na mwanga 😀 😀
Mko nane mmeambiwa ana ujauzito wenu. Kazi kwenu wafadhili.Ni dhambi sana, kutokuwatumia watoto wazuri wenye muonekano huo; na ukizaa nao tayari unapata tiketi ya kupasha pasha kiporo.
DNA lazima ifanye kaziTrmbelea wanaposhindaga hao KE zako uchukue chukue picha za majita utaona tu Kama watoto wanafanana na mtu eneo hizo.
Strategic use of Evidence.
Hofu ni muhimu, na kujiridhisha pia ni muhimuMko nane mmeambiwa ana ujauzito wenu. Kazi kwenu wafadhili.
DNA haitaki Junio akose baba.DNA lazima ifanye kazi
Tutaangalia mfananoDNA haitaki Junio akose baba.
Ebu nipe location kwanza nianze kujipanga kwa mashambuliziThubutuuuuu!!![]()
Hawashindwi kukwambia mmefanana Migongo au Magoti yake Kama ya baba yake😂😂Tutaangalia mfanano
Ebu nipe location kwanza nianze kujipanga kwa mashambulizi



😀 😀 hapo unanishaurije sasaHawashindwi kukwambia mmefanana Migongo au Magoti yake Kama ya baba yake😂😂
Kwa uzuri ulionao, sidhani kama utakuwa huko 😀Namtumbo nipo![]()