Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,650
- 63,166
- Thread starter
- #21
Wazee wetu walifanikiwa kwenye hili, kwa sababu walikuwa wanalima na kufuga; ila kwa kizazi chetu inakuwa ngumu kwa sababu kuanzia mchicha mpaka yai tunanunuaFamilia zenyewe tunaishi chini ya Dola Moja na elimu bure wala hukongoroki...weka vitu