Sitokaa nirudie katabia ka kutongoza demu aliyekosea namba

Sitokaa nirudie katabia ka kutongoza demu aliyekosea namba

Binamu yangu aliniunganisha na huyu mkaka yuko serious anatafuta mke, nilipatiwa profile ya jamaa PhD holder ndiyo amerudi kutoka unyamwezini na ndiyo ameanza kazi mkoani. Tulianza kuchat na mkaka Ikawa kawaida kila siku lazima zila za 'morning'' na 'good night babe' si nimepata mchumba.

Baada ya miezi kama miwili ya mawasiliano akaniambia anakuja Dar na angependa kufikia k wangu. Wakati huo hakuna smart phones ikumbukwe. Siku nilifika airport kumpokea mgeni wangu miguu iliishiwa nguvu. Uchumba uliishia pale.
Ss binamu yako hakuwahi kukuelezea hata wajihi wa mshikaji yupoje labda au ulimwamini kwasababu ni binamu ameunganisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ss binamu yako hakuwahi kukuelezea hata wajihi wa mshikaji yupoje labda au ulimwamini kwasababu ni binamu ameunganisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] eno ya binamu.[emoji23] [emoji23]
Kwakweli alinieleza hivi, 'si handsome lakini si mbaya kama Remmy ' lakini nilipomuona ndiyo nilielewa maana ya maneno ya binamu
 
Kwakweli alinieleza hivi, 'so handsome sana lakini si mbaya kama Remny' lakini nilipomuona ndiyo nilielewa maana ya maneno ya binamu
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Hahahahahah pole yako
 
Habari kwenu wanajukwaa. naenda direct kwenye ajenda

Mwaka 2010, nilikuwa nasoma chuo flani Arusha. Kuna siku sms iliingia ya "tafadhali nipigie", bila hiana nikapaa hewani nikampigia.

Alipopokea nilisikia sauti nyororo ya binti nikamuuliza nani mwenzangu? Akajibu anaitwa {jina}. Katika mahojiano nilipoteza lengo la alichokuwa anakitafuta tukaanza kuchat.

Zoezi likawa la kila siku, bahati nzuri yule binti alikuwa ni wa ar palepale. Siku moja tukapanga kuonana, mambo yakaenda kama tulivyopanga. Siku hiyo ilikuwa ni wkend, sehemu tuliyopanga kuonana ilikuwa ni garden moja {jina} ambapo wanafunzi wenzangu wanapenda sana kwenda pale kurefresh.

Nilitangulia mimi kukaa, na kumsubiri kwa hamu kubwa na ikibidi nikafanye kwichi kwichi. Ikawa washkaji wakija nilipokaa nawajibu leo shemeji yenu anakuja wakakae sehemu nyingine.

Hawakuwa na kinyongo washkaji zangu. Muda ulipofika nikaenda kumpokea..... kwa kweli MUNGU ANISAMEHE,,,, SAUTI ZILIKUWA HAZIENDANI NA UHALISIA.

NILIAHIRISHA KILA KITU SIKU HIYO, Mbaya zaidi washkaji wengi walikaa kwa mbali waone kifaa,, sikuonekana chuoni wiki nzima, baadae ilibidi niwe tu muwazi kuwa nilikuwa simjui ndo nimemuona siku hiyo.

Tulikuwa tunachat tu kabla
Kwanini hamkubadilishana picha kabla ya kuonana? Au mlikuwa mnatumia NOKIA za tochi !
 
Binamu yangu aliniunganisha na huyu mkaka yuko serious anatafuta mke, nilipatiwa profile ya jamaa PhD holder ndiyo amerudi kutoka unyamwezini na ndiyo ameanza kazi mkoani. Tulianza kuchat na mkaka Ikawa kawaida kila siku lazima zila za 'morning'' na 'good night babe' si nimepata mchumba.

Baada ya miezi kama miwili ya mawasiliano akaniambia anakuja Dar na angependa kufikia k wangu. Wakati huo hakuna smart phones ikumbukwe. Siku nilifika airport kumpokea mgeni wangu miguu iliishiwa nguvu. Uchumba uliishia pale.
Daaah! Ulimdhalilisha bora ungempotezea taratibu taratibu.
 
Binamu yangu aliniunganisha na huyu mkaka yuko serious anatafuta mke, nilipatiwa profile ya jamaa PhD holder ndiyo amerudi kutoka unyamwezini na ndiyo ameanza kazi mkoani. Tulianza kuchat na mkaka Ikawa kawaida kila siku lazima zile za 'morning'' na 'good night babe' si nimepata mchumba.

Baada ya miezi kama miwili ya mawasiliano akaniambia anakuja Dar na angependa kufikia k wangu. Wakati huo hakuna smart phones ikumbukwe. Siku nilifika airport kumpokea mgeni wangu miguu iliishiwa nguvu. Uchumba uliishia pale.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] why..
tell me moreeeee
 
No tulikwenda home lakini kulikuwa na mabadiliko alilala chumba cha wageni asubuhi yake alikwenda wizarani kushughulika na yaliyomleta baada ya siku mbili alipanda ndege kuondoka
Kumbe kuna wengine pesa sio kipaumbele? Kwa maelezo inaonekana jamaa alikuwa nazo. Na ninavyojua nyie kwa pesa hamuangalii sura.
 
No tulikwenda home lakini kulikuwa na mabadiliko alilala chumba cha wageni asubuhi yake alikwenda wizarani kushughulika na yaliyomleta baada ya siku mbili alipanda ndege kuondoka
Nahisi ulimnyanyapaa mpaka akajishtukia aisee lkn nnavyoelewa mwanaume hasifiwi sura bhana au kipindi hicho bado mwili ulikuwa bado upo hot unataka mambo ya six packs na nin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom