ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,905
- 42,074
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binamu yangu aliniunganisha na huyu mkaka yuko serious anatafuta mke, nilipatiwa profile ya jamaa PhD holder ndiyo amerudi kutoka unyamwezini a mean za kazi mkoani. Tulianza kuchat na mkaka I kawaida kila siku lazima zila za 'morning'' na 'good night babe' si ni me path mchumba.
Baada ya miezi kama miwili ya mawasiliano akaniambia anakuja Dar na angependa kufikia k wangu. Wakati huo hakuna smart phone ikumbukwe. Siku nilifika airport kumpokea mgeni wangu miguu iliishiwa nguvu. Uchumba uliishia pale.
Siku hizi huwa wanapiga wring number kusudiHabari kwenu wanajukwaa. naenda direct kwenye ajenda
Mwaka 2010, nilikuwa nasoma chuo flani Arusha. Kuna siku sms iliingia ya "tafadhali nipigie", bila hiana nikapaa hewani nikampigia.
Alipopokea nilisikia sauti nyororo ya binti nikamuuliza nani mwenzangu? Akajibu anaitwa {jina}. Katika mahojiano nilipoteza lengo la alichokuwa anakitafuta tukaanza kuchat.
Zoezi likawa la kila siku, bahati nzuri yule binti alikuwa ni wa ar palepale. Siku moja tukapanga kuonana, mambo yakaenda kama tulivyopanga. Siku hiyo ilikuwa ni wkend, sehemu tuliyopanga kuonana ilikuwa ni garden moja {jina} ambapo wanafunzi wenzangu wanapenda sana kwenda pale kurefresh.
Nilitangulia mimi kukaa, na kumsubiri kwa hamu kubwa na ikibidi nikafanye kwichi kwichi. Ikawa washkaji wakija nilipokaa nawajibu leo shemeji yenu anakuja wakakae sehemu nyingine.
Hawakuwa na kinyongo washkaji zangu. Muda ulipofika nikaenda kumpokea..... kwa kweli MUNGU ANISAMEHE,,,, SAUTI ZILIKUWA HAZIENDANI NA UHALISIA.
NILIAHIRISHA KILA KITU SIKU HIYO, Mbaya zaidi washkaji wengi walikaa kwa mbali waone kifaa,, sikuonekana chuoni wiki nzima, baadae ilibidi niwe tu muwazi kuwa nilikuwa simjui ndo nimemuona siku hiyo.
Tulikuwa tunachat tu kabla
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Umenikumbusha mbali sana bro na mimi nilitokewa na situation kama hiyo unfortunately mimi nilimkaribisha chuo, washkaji wote wakamuona ilibidi nimzuge nimepigiwa simu ya msiba ili aondoke lkn nilitaniwa mpaka kumaliza chuo, in short nilikuwa SI unit ya vibovu
Uwwiiii, mi kwa mshituko nisingewezaNilikoseaga Namba Kwa Jidada Nikaanza Kuwasiliana Nalo. Nikachombeza Likaniambia Mie Mkubwa Nina Kama 34 Nikakomaa "Kwani Kama Mkubwa Ndo Haiingii" Likaelewa. Siku Ya Kukutana Na Mgegedo Nakutana Nae Saa 6 Mchana,Kudadadeki Bonge La Jidada,Yani Kama Vile Queen Latiffa Au Isha Mashauzi Yani A Giant Woman.Hajaamini Ananiona Mdogo Kiumbo Alafu Mambo Yangu Na Stori Za Kikubwa Akaanza Kusema Alikua Anachat Na Kaka Yangu Eti Sio Mimi. Nmekaa Nae Cafe Hapo Kagoma. Nkamuambia Ndo Mimi Na Nikamthibitishia Kwa Kumuonesha Convo Zetu Na Picha.Akakubali Kugegedwa Koz Nlimtiaga Nyege Sana Ktk Chats Zetu Ila Aliniambia Hatuwez Kuongozana Lodge So Nitangulie. Nikamuambia Nitangulie Ili Usije,Nkamuambia Natangulia Hatua 10 Nifuate. Akanifuata Bwana. Ila Kuanzia Siku Iyo Nikawa Namgegeda Usiku Tu Asubuhi Anasepa Zake Ananiacha. Eti Anaona Aibu Kuongozana Na Mimi.
nidokeze basi kidogo pachaYekeleuwiii umenikumbusha mbali kweliii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] haya mambo kumbe yapo tu.Umenikumbusha mwaka 2012 kuna binti alikoseaga no,kwa maelezo yake aliniambia ni mwenyeji wa Tanga basi tukawa tunachart ile romantic kbs,siku nisipomtafuta akinitafuta kujitetea namwambia sikuwa na voucher bas utangaa dk hizo hizo salio limesoma,na alikuwa na sauti ya kumtoa nyoka pangoni nakumbuka kipindi fulani cha Eid alinitumia mpaka hela ya thoda,basi bhana kuna mshikaji wangu ni mwenyeji wa Tanga tupo nae kwenye mihangaiko alipata matatizo akaenda home Tanga si nikampa mawasiliano ya huyo dem na dem nikamwarifu kuna mshikaji wangu anakuja huko fanya mpango unitumie hata zawadi za huko,dem alikubali na alifurahi kweli
Siku mshikaji amerudi namwuliza umemwonaje shemeji yako mtarajiwa alicheka saaana akaniuliza umetoka wap na huyo mmama?!,nikamuuliza mmama teena akaniambia ndio hivyo nilichoka mzee...,akawa akipiga sim nampotezea mara nipokee mpaka akajichokea kupiga sim...
Angalau leo umetoa kisa chako mwenyewe.Binamu yangu aliniunganisha na huyu mkaka yuko serious anatafuta mke, nilipatiwa profile ya jamaa PhD holder ndiyo amerudi kutoka unyamwezini na ndiyo ameanza kazi mkoani. Tulianza kuchat na mkaka Ikawa kawaida kila siku lazima zila za 'morning'' na 'good night babe' si ni me path mchumba.
Baada ya miezi kama miwili ya mawasiliano akaniambia anakuja Dar na angependa kufikia k wangu. Wakati huo hakuna smart phone ikumbukwe. Siku nilifika airport kumpokea mgeni wangu miguu iliishiwa nguvu. Uchumba uliishia pale.
[emoji6][emoji6][emoji35][emoji35][emoji6]sitaki kujua hizo habar za meeting na watu nisiowajua. mi nilimchomeshaa mahind had bas ile kufika nikaanza mim kumuona kabla yake. .nilichofanya ni kupanda gar na kusepa (tabia mbaya kwel kweli )