Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,421
Endelea na post hapo chini utaelewa kwanini ulikosa shemejiTehteh kisaaa [emoji3][emoji3]. Malizia basi kwanini ulimkaushia
Endelea na post hapo chini utaelewa kwanini ulikosa shemejiTehteh kisaaa [emoji3][emoji3]. Malizia basi kwanini ulimkaushia
[emoji23][emoji23]Sasa wewe mbona issue yako ilikua ndogo sana........[emoji69] [emoji69] [emoji69]
Mwenzio haya mahusiano ya mbali na kuonana kwenye picha, yaliwahi sababisha nikaenda kumpokea mtu airport, na alipo shuka kumbe kiwete.......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kilicho tokea naomba nisikiseme...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha nimeona bwana [emoji3][emoji3]. Uzi umenichekesha saana.Endelea na post hapo chini utaelewa kwanini ulikosa shemeji
Nipo kwa mtogole hapa.. Pilau limeisha?Endelea na post hapo chini utaelewa kwanini ulikosa shemeji
Wewe hufuati tamko la BAKWATANipo kwa mtogole hapa.. Pilau limeisha?
Comrade......[emoji23][emoji23]
Comrade yakwako ilikuwa kaliComrade......
Usiombe haya mambo yakukute aiaeeeeeee......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Huyo kiwete alikuwa mtoto wa visiwa vya shelisheli nini ?Comrade......
Usiombe haya mambo yakukute aiaeeeeeee......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Amigo.....Comrade yakwako ilikuwa kali
Mkuu kutongoza hukukosea ila approach uliyotumia kuonana nae ndo umekosea ulitakiwa ufanye juu chini wewe umuone kwanza kabla hajakuona then ungejua cha kufanya kama ni kusepa au la mwenyewe nilushagafanya hivo kwakwwli sauti kwenye simu si ya kuaminiHabari kwenu wanajukwaa. naenda direct kwenye ajenda
Mwaka 2010, nilikuwa nasoma chuo flani Arusha. Kuna siku sms iliingia ya "tafadhali nipigie", bila hiana nikapaa hewani nikampigia.
Alipopokea nilisikia sauti nyororo ya binti nikamuuliza nani mwenzangu? Akajibu anaitwa {jina}. Katika mahojiano nilipoteza lengo la alichokuwa anakitafuta tukaanza kuchat.
Zoezi likawa la kila siku, bahati nzuri yule binti alikuwa ni wa ar palepale. Siku moja tukapanga kuonana, mambo yakaenda kama tulivyopanga. Siku hiyo ilikuwa ni wkend, sehemu tuliyopanga kuonana ilikuwa ni garden moja {jina} ambapo wanafunzi wenzangu wanapenda sana kwenda pale kurefresh.
Nilitangulia mimi kukaa, na kumsubiri kwa hamu kubwa na ikibidi nikafanye kwichi kwichi. Ikawa washkaji wakija nilipokaa nawajibu leo shemeji yenu anakuja wakakae sehemu nyingine.
Hawakuwa na kinyongo washkaji zangu. Muda ulipofika nikaenda kumpokea..... kwa kweli MUNGU ANISAMEHE,,,, SAUTI ZILIKUWA HAZIENDANI NA UHALISIA.
NILIAHIRISHA KILA KITU SIKU HIYO, Mbaya zaidi washkaji wengi walikaa kwa mbali waone kifaa,, sikuonekana chuoni wiki nzima, baadae ilibidi niwe tu muwazi kuwa nilikuwa simjui ndo nimemuona siku hiyo.
Tulikuwa tunachat tu kabla
Duhhh......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Huyo kiwete alikuwa mtoto wa visiwa vya shelisheli nini ?
Kipindi hicho haikuwa rahisi... technology ilikuwa chiniKwanini hamkubadilishana picha kabla ya kuonana? Au mlikuwa mnatumia NOKIA za tochi !
Kwani Wewe una umri gani bro[emoji78]Nilikoseaga Namba Kwa Jidada Nikaanza Kuwasiliana Nalo. Nikachombeza Likaniambia Mie Mkubwa Nina Kama 34 Nikakomaa "Kwani Kama Mkubwa Ndo Haiingii" Likaelewa. Siku Ya Kukutana Na Mgegedo Nakutana Nae Saa 6 Mchana,Kudadadeki Bonge La Jidada,Yani Kama Vile Queen Latiffa Au Isha Mashauzi Yani A Giant Woman.Hajaamini Ananiona Mdogo Kiumbo Alafu Mambo Yangu Na Stori Za Kikubwa Akaanza Kusema Alikua Anachat Na Kaka Yangu Eti Sio Mimi. Nmekaa Nae Cafe Hapo Kagoma. Nkamuambia Ndo Mimi Na Nikamthibitishia Kwa Kumuonesha Convo Zetu Na Picha.Akakubali Kugegedwa Koz Nlimtiaga Nyege Sana Ktk Chats Zetu Ila Aliniambia Hatuwez Kuongozana Lodge So Nitangulie. Nikamuambia Nitangulie Ili Usije,Nkamuambia Natangulia Hatua 10 Nifuate. Akanifuata Bwana. Ila Kuanzia Siku Iyo Nikawa Namgegeda Usiku Tu Asubuhi Anasepa Zake Ananiacha. Eti Anaona Aibu Kuongozana Na Mimi.
30Kwani Wewe una umri gani bro[emoji78]