Sitokaa nirudie katabia ka kutongoza demu aliyekosea namba

Sitokaa nirudie katabia ka kutongoza demu aliyekosea namba

Sasa wewe mbona issue yako ilikua ndogo sana........[emoji69] [emoji69] [emoji69]
Mwenzio haya mahusiano ya mbali na kuonana kwenye picha, yaliwahi sababisha nikaenda kumpokea mtu airport, na alipo shuka kumbe kiwete.......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kilicho tokea naomba nisikiseme...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa wewe mbona issue yako ilikua ndogo sana........[emoji69] [emoji69] [emoji69]
Mwenzio haya mahusiano ya mbali na kuonana kwenye picha, yaliwahi sababisha nikaenda kumpokea mtu airport, na alipo shuka kumbe kiwete.......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kilicho tokea naomba nisikiseme...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] malizia mkuuu tujifunze kitu

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Hahaha ila sio vizuri kumkimbia aisee. Unamfanya ajisikie vibaya sana. Bora uonane nae mpige story then baada ya hapo unaanza kupoteza mazima
Hakuna kiumbe kilichoumwa na mungu kikawa kibaya
Arekebishe tu kauli aseme hakunivutia vile anavyotaka yeye
 
Kilichontokea jana kwa demu wa badoo stasahau maishani mwangu. Saa nyingine uzinzi sio dili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom