Sitoisahau hii picha

Sitoisahau hii picha

Jamani kwani KUTAFAKARI HOTUBA ni Bungeni Dodoma tuu??Hata vikao vya nje sheria ya KUTAFAKARI (kama itumikavyo kujitetea bungeni kwetu) inatumika pia!! Mh HAJALALA HUYO..UTAUWAWA BUREEEEE🙂
 
hahahahaaa anamwakilisha waziri mkuu bwana na hapo anatafakari jambohawa
wasaidizi wa jk kinomanoma!!!!!!!!!!!!!!
 
Madhara ya Posho hayo! Too much Posho is harmful!
 
Halafu ndio wa kwanza kulilia posho na safari!kulikua na haja gani ya kuomngozana nae wakati analala kwny mkutano...huo ni ufisadi ambao CDM wanaoupinga...kwani hapoamelipiwa tiketi ya ndege first class ana perdiem zaid ya 500$...hadi hawa jamaa waondoke 2mekwisha kabisa..
 
JK is a realy Statesman every Tanzanian should be proud of. He command respect because of his inteligence and personality.
 
Waeshimiwa wanapo "TAFAKARI KWA KINA" huwa katika pose hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom