Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,246
- 7,110
Mimi ni miongoni mwa watu wa maono.
Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani.
Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha.
Kila kitu kina wakati wake.
Watanzania wamechoka na huu sasa ni wakati wake.
Wala ishu sio Samaia,Bali kwamba inaenda kukatikia kwakwe.
Sio kwamba Tanzania haijawahi kua na maandamano,Bali kuliwahibkua na maandamano mengi TU ila tofauti maandamano hayo yalikua yanahusu taasisi au watu wenye mahitaji yanayofanana mfano maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu,maandamano ya waislam kuhusu mabucha ya nguruwe,maandamano ya waislam kuhusu BALUKTA,maanadamnao ya Chadema kuzuia wizi wa ushindi wao wa majimbo ya uchaguzi wa wabunge mfano wabunge wa Chadema walioshinda ubunge lkn wakaobiwa ubunge wao ndipo wakaandamana na kufanya fujo Hadi wabunge wao wakarudishiwa ubunge wao,mfano Wenje jimbo la Nyamagana Mwanza,Lema Arusha mjini,Mnyika ubungo,Kasulibayi Shinyanga,Sugu,mbeya mjini,Machemli,Ukerewen n.k
Maandamano mengine ni ya Chadema yaliyopelekea mwanachuo Akwilina kupigwa risasi.
Kuna muda ilikua Kila ijumaa ikifika defender za polisi zilikua zikizunguka misikiti ya ijumaa na kwa mtoro kariakoo zikijiandaa kuzima maandamano ya waislamu waliokua wanajiamdaa kuandamana kudai haki zao.
Zama hizo hapakua na simu za mkononi kuweza kuhamasishana,lkn watu waliweza kuandamana,je Sasa hivi itakuaje?
Hapakua na Twitter, TikTok, Whatsapp l, Instagram, telegram wala face book lakini waliweza.
Sasa kwa kweli maandamano yote hayo yalihusisha watu wenye madai Yao TU,lkn safari hii naona maandamano ya safari hii ya oct 29 naona yatahusisha watu wengi wenye mchanaganyiko wa madai mbali mbali ,hivyo haya yatakua maandamano ya watu we gubkuliko hayo niliyoeleza hapo juu.
Kwa mfano maandamano hayo yatahusisha Chadema wanaodai no reform no election,yatahusisha wahitajibwa usafiri Dar,wafanyabiashara,wakulima,wafanyakazi,wanafunzi waliomaliza vyuo bila ajira,wahanga wa huduma duni,wahanga wa utekaji,kuuawa kisiasa na uhalifu,uonevu wa polisi na mahakama,dhulma,rushwa,wapinga ufisadi kama wa Bandari,wapigania haki za binadamu,wapinga Viongozi kujilimbikizia mali wao na watoto wao na Wana mtandao,wataka katiba Mpya na Kila aina ya madai pamoja na wapenda mabadiliko walioichoka CCM.
Haya makundi yote yanaenda kutoka kwa pamoja Kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo.
Ninaona Mapolisi wanaenda kuungana na wananchi kiaina baada ya kuona wananchi wana hoja na wanatetea maslahi ya taifa Zika na wao wakiwemo.
Naona kabisa Jeshi safari hii haliko tayari kutumika kuzima vilio vya wananchi ambao wao ndio jukumu lao kuwalinda.
Naona vyombo vingine pia vikiingia katika mkubo huo wa kua upande wa wananchi..
Ushauri,
Sitisheni uchaguzi itisheni mchakato wa katiba.
Bahati nzuri katiba pendekezwa ya Jaji Warioba ipo ,ifufueni tuliokoe taifa lisije likaingia katika historia ya umwagilaji wa damu.
Kitu kibaya zaidi hili ni wimbo,ni kwamba,Gen Z wa TZ wanataka kuionesha Dunia kwamba wao sio dhaifu,kwamba wao ni sawa na Gen Z wa Kenya ,Nepal, Egypt,Tunisia,Libya na Sasa Morocco na Madagascar.
kibaya kingije ni kua Capt Ibrahim Traole ameongeza ufahamu kwa waafrika kua ala!
kumbe inawezekana?
Na kibaya zaidi ICC wako on high alert.
Naiona colabo ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikiungania kiaina na wananchi kuleta mabadiliko.
Haya ni maoni yangu kua maandamano yapo na ni real na msipuuze.
Okoeni taifa mapema muda bado upo.