Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Kaka nimependa maamuz yako kama ulivyoeleza,,,naamin ktk maamuz ya mtu,,,,,
 
Kuoa haihusian na uwezo wa kulisha familia kumi.... Unaweza usioe na ukawa na uwezo wa kulisha mapera watu mia tano... Ni suala la kuwepo na miti ya mipera tuuu.
 
Usijifunze kwa walioshindwa maana hata hapo ulipo wapo walioshindwa kufika.
Ichi kineno chako kimenifanya nikitafakari lkn nimeshindwa kuelewa,ni kineno kidogo sana lkn ukisoma kwa makini utagundua ni neno lenye maana kubwa saaaaaana na hakuna mtu wakuweza kufikiri akapata muongozo wake leo ama kesho,,
 
Ichi kineno chako kimenifanya nikitafakari lkn nimeshindwa kuelewa,ni kineno kidogo sana lkn ukisoma kwa makini utagundua ni neno lenye maana kubwa saaaaaana na hakuna mtu wakuweza kufikiri akapata muongozo wake leo ama kesho,,
Kwa namna ulivyoeleza unaonekana umeelewa kwa sehemu
 
Kwa hiyo unataka tukubembeleze uoe? Kwanza nani alikuambia kuna uhusiano wowote kati ya kuoa na kupata watoto?
 
Pole sana kwa yaliyokukuta....! Lakini tafadhali uwaombe wazazi wako msamaha kwa kuwakosoa kuwa walifanya vibaya kuoana na kukuzaaa wewe...!
Again take note that;
  1. It is better to expect "the good" and getting "the very good" than expecting "the most excellent", and getting "the excellent". So, never look for the most perfect partner, because you will end up crying in your lifetime....!
  2. The most complex animal in the world is the human being....! So, Never trust a human being, even yourself because only LORD deserves to be trusted...! And only fools may trust a human being....!
  3. Whenever you find right to change your mind, come back and tell us so and why, as you did now.....!
 
eti mfanyakazi wa ndani na mtoto....kama sio kutuzuga nini.....unataka umle mzigo mfayakazi wa ndani af unadai hutaoa....
 
Huyu jamaa yuko radhi akasomeshe na kulea mtoto wa kuasili/ adapt kuliko kuhonga (au kuombwa hela na) mwanamke wake na akazaliwa watoto wake. Si bure ana jambo.
 
Hongera sana mkuu, Kila mara nasema kuwa hakuna umuhimu wowote wa kuoa zaidi ya kupata stresses.

Ila jitahidi upate mtoto na mwanamke yeyote tu halafu umlee mtoto na mama yake bila mkataba wowote wa kindoa.

Hongera sana.
 
Kwa experience yangu Na misukosuko niliwai kupitia kuna vitu viwili nimejifunza.

Kuna wife type na Girl friend type.
Hawa ni viumbe wawili tofauti sana kwenye hii Dunia.
Wanawake ni viumbe ambavyo wameumbwa Na tamaa iwe ya kimwili au ki Hali.
Kitu ambacho nimejifunza ni mpaka mwanamke atake mwenyewe kubadili status ndio atabidi Ila sio wewe umbadilishe kutoka Girl Friend kuwa Wife.

Wife material Waziri ni wale ambao walisha experience marriage halafu for some reason wakatoka Na itakuwa better zaidi kama akiwa Na mtoto au hata wawili, age kuanzia 25 kwenda mbele hadi 35. Kwani Ile haina makombo. [emoji1] [emoji1]

Hapo utaenjoy ndugu. Ila wasichana wa mjini watakuuwa.
 
Pole ngoja mimi nisioe lakini nijipange kutofikia wewe ulipo fikia wewe uliendekeza starehe lakini mimi sijasema sitaoa ili nifanye starehee! Hapana nitaishi maisha ya kawaida na kushiriki kila sehemu nayo takiwa kushirikii
 
Huna lolote mbegu zako zimebunguliwa na dumuzi
Najua mtasema hivyo na wala haya maneno hayata nitisha hadi kufikia kupata mtoto msimamo utabaki pale pale lakini ukweli mimi naujua kwani najua nyumbani mwanamke nitakaye pata naye mtoto watataka nioe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…