Kaka nimependa maamuz yako kama ulivyoeleza,,,naamin ktk maamuz ya mtu,,,,,Habarini,
Mimi ni mtu mzima na nina Akili timamu nimefikia maamuzi ya kutokuja kuoa wala kuwa na moto maisha yangu yote! Sio kwamba sina uwezo wa kuoa lahasha nina uwezo wa kuoa hata wanawake wa 5 na kupata watoto chungu nzima lakini nimekaa nimetafakari sana nimeamua kufikia mamuzi hayo.
Baada ya kuteseka sana na mapenzi ya umri wetu, baada ya kushuhuduia ujinga na usaliti wanao fanya akina dada wa miaka hii, mateso ya kwenye ndoa wanayo yapata watu na adha zingine chungu nzima mimi nimefikia hatua kutotaka kuoa wala kupata mtoto
Nina kazi yangu nzuri tu ambayo naweza kumudu kulea familia hata ya watu 10 lakini kamwe sitokaa kudhubutu kuoa na kuwa na mtoto na sitaki utani katika hili! Nimesh ichosha sana akili yangu katika mapenzi na nimeshuhudia mengi sana katika mapenzi sasa bahati mbaya yote niliyokuwa nayashuhudia ni ya usaliti na mateso katika ndoa na hii inatoka na akili walizonazo dada zetu.
Hivyo sina mda wa kukaa kuchambua kupata huyu anafaa huyu hafai huo mda sina nitahakikisha nafanya kila niwezalo kwa kutumia uwezo wangu wote niwe na maisha mazuri miaka yote! Jasho langu watafaidi wadogo zangu na wazazi wangu, nitapigania kufa na kupona katika kusaka pesa! Katika kumshukuru Mungu kwa pale alipo nifikisha nita adapte mtoto mmoja yatima nitamsomesha na kuishi naye miaka yote tena shule nzuri nitampeleka! Nyumba yangu itakuwa na mfanyakazi mmoja na mtoto mmoja na mimi basi.
Dada yoyote hatadhubutu kuja kwangu kwa namna yoyote ile na wala asijipendekeze kuja kwangu labda awe hana uwezo wa kuzaa ambao hospitalini wamethibitisha ili asije kunikeletea vimimba vya uwongo na ukweli.
Sitaki stress siku hata nikiwa sina hata mia nitaishi kwa amani hakuna wakunisumbua kuliko kuwa na mke sa nne usiku kakuomba hela unamwambia sina mnalala wote sa kumi na mbili asubuhi anakuomba tena hela hivi usiku anadhani alilala peke ake? Mimi nilikuwa kutafuta pesa? Mwisho wa siku mnaishia kugombana na kununiana hiyo mimi hapana sitaki kabisa.
Mwisho haya ni maamuzi binafsi nimeamua kushare nanyi.
....swimmingUnaenda wapi werason
Ichi kineno chako kimenifanya nikitafakari lkn nimeshindwa kuelewa,ni kineno kidogo sana lkn ukisoma kwa makini utagundua ni neno lenye maana kubwa saaaaaana na hakuna mtu wakuweza kufikiri akapata muongozo wake leo ama kesho,,Usijifunze kwa walioshindwa maana hata hapo ulipo wapo walioshindwa kufika.
Kwa namna ulivyoeleza unaonekana umeelewa kwa sehemuIchi kineno chako kimenifanya nikitafakari lkn nimeshindwa kuelewa,ni kineno kidogo sana lkn ukisoma kwa makini utagundua ni neno lenye maana kubwa saaaaaana na hakuna mtu wakuweza kufikiri akapata muongozo wake leo ama kesho,,
Pole sana kwa yaliyokukuta....! Lakini tafadhali uwaombe wazazi wako msamaha kwa kuwakosoa kuwa walifanya vibaya kuoana na kukuzaaa wewe...!Habarini,
Mimi ni mtu mzima na nina Akili timamu nimefikia maamuzi ya kutokuja kuoa wala kuwa na moto maisha yangu yote! Sio kwamba sina uwezo wa kuoa lahasha nina uwezo wa kuoa hata wanawake wa 5 na kupata watoto chungu nzima lakini nimekaa nimetafakari sana nimeamua kufikia mamuzi hayo.
Baada ya kuteseka sana na mapenzi ya umri wetu, baada ya kushuhuduia ujinga na usaliti wanao fanya akina dada wa miaka hii, mateso ya kwenye ndoa wanayo yapata watu na adha zingine chungu nzima mimi nimefikia hatua kutotaka kuoa wala kupata mtoto
Nina kazi yangu nzuri tu ambayo naweza kumudu kulea familia hata ya watu 10 lakini kamwe sitokaa kudhubutu kuoa na kuwa na mtoto na sitaki utani katika hili! Nimesh ichosha sana akili yangu katika mapenzi na nimeshuhudia mengi sana katika mapenzi sasa bahati mbaya yote niliyokuwa nayashuhudia ni ya usaliti na mateso katika ndoa na hii inatoka na akili walizonazo dada zetu.
Hivyo sina mda wa kukaa kuchambua kupata huyu anafaa huyu hafai huo mda sina nitahakikisha nafanya kila niwezalo kwa kutumia uwezo wangu wote niwe na maisha mazuri miaka yote! Jasho langu watafaidi wadogo zangu na wazazi wangu, nitapigania kufa na kupona katika kusaka pesa! Katika kumshukuru Mungu kwa pale alipo nifikisha nita adapte mtoto mmoja yatima nitamsomesha na kuishi naye miaka yote tena shule nzuri nitampeleka! Nyumba yangu itakuwa na mfanyakazi mmoja na mtoto mmoja na mimi basi.
Dada yoyote hatadhubutu kuja kwangu kwa namna yoyote ile na wala asijipendekeze kuja kwangu labda awe hana uwezo wa kuzaa ambao hospitalini wamethibitisha ili asije kunikeletea vimimba vya uwongo na ukweli.
Sitaki stress siku hata nikiwa sina hata mia nitaishi kwa amani hakuna wakunisumbua kuliko kuwa na mke sa nne usiku kakuomba hela unamwambia sina mnalala wote sa kumi na mbili asubuhi anakuomba tena hela hivi usiku anadhani alilala peke ake? Mimi nilikuwa kutafuta pesa? Mwisho wa siku mnaishia kugombana na kununiana hiyo mimi hapana sitaki kabisa.
Mwisho haya ni maamuzi binafsi nimeamua kushare nanyi.
haaaaa haaaaa dah ivi umewaza nn had ukamjib hiv? JF is so FunnyUtapiga punyeto mpaka ujute
ulikuwepo wakati anaongea??Desperate mind!
Wish u lucky mkuu
Ila kuoa siyo lazma hata mtume petro alisema.
duuuuuuuuuh acha kahasira mama huenda angekuoa wewe hahahahaSasa unamtangazia nani
duuuuuuuuuh acha kahasira mama huenda angekuoa wewe hahahaha
Pole ngoja mimi nisioe lakini nijipange kutofikia wewe ulipo fikia wewe uliendekeza starehe lakini mimi sijasema sitaoa ili nifanye starehee! Hapana nitaishi maisha ya kawaida na kushiriki kila sehemu nayo takiwa kushirikiiYalishawahi kunikuta maisha kama yako,pesa ndiyo iliyokuwa inanipa kiburi cha kuongea kama unavyoandika,nilikuwa na mlinzi,madereva wawili,mpishi aliyekuwa ananipikia,tena nilimtoa hotelini baada ya kupendezewa na chakula nilichokuwa nakula pale,mwisho wa siku niliishiwa kila kitu,nikaanza kujificha rafiki zangu wasinione,wafanyakazi walinishitaki,maana nilishindwa kuwalipa mishahara,wanawake wale wa zamani niliokuwa nawakataa nikawa nawakimbia,mwisho wa siku nilikuja kusaidiwa na mwanamke ambaye,alinipa chakula,nikawa nalala kwake,yaani nikiwa sina hata kitu,analipa kodi,ananunua chakula,ananinunulia mpaka nguo.Basi ikabidi nimuowe,maisha yangu yameludi upya kwa kushilikiana na yeye leo nina watoto wawili nawapenda sana kuliko kitu chochote kile,nina mali nyingi tu,zaidi ya zile nilizopoteza,
Najua mtasema hivyo na wala haya maneno hayata nitisha hadi kufikia kupata mtoto msimamo utabaki pale pale lakini ukweli mimi naujua kwani najua nyumbani mwanamke nitakaye pata naye mtoto watataka nioeHuna lolote mbegu zako zimebunguliwa na dumuzi