Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Mara sitaoa, mara mwanamke awe amethibishwa kuwa hana kizazi ili asinizalie mtoto. Upo kama sitaki, nataka. Amua moja ueleweke.

hata huyo mtoto utakaye adapt anaweza kukupelekesha hadi ukachanganyikiwa kuliko ulivyochanganyikiwa sasa hivi. Huyo mtoto Anaweza kuwa noma kuliko mtoto wako wa kumzaa. nafikiri hapo utaamua uage dunia tu
 
Back
Top Bottom