Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Usijifunze kwa walioshindwa maana hata hapo ulipo wapo walioshindwa kufika.
rafiki unafikiri anakuelewa huyo thubutu ameshafungwa mwenzio kwenye kushindwa anadhani yuko sawa kumbe kaumia hhahahahaaaaaaa
 
Stress utakuja zipata uzeeni wakati unahitaji mtu awe karibu yako. Watoto ni faraja kubwa mno!
 
Very sad! umejifunza na kufanya hitimisho kwa walioshindwa, unataka uniambie hakuna succesful marriages? pole
 
Ungejua maana halisi ya maisha usingefikia huko but anyways nakushauri uende kwa dr akuhasi kbsaa!
 
Hutaki kupata mtoto ila unataka kuadopt?
Ndugu unaadopt jiwe au?

Kweli povu la mapenzi ni sheeeda
 
hahahaaaa!! nilivyoona kichwa cha habari nikajua unataka kuolewa, basi sawa kila la kheri.
 
Unajua mkuu usitake kutufanya sisi wajinga inshort hata mimi niliwaza uliyoyanena wewe na mwisho wa siku nikaona ni ujinga tu, ipo siku utanielewa.
 
Hapo umeongelea vitu viwili bila kujua. Kwanza kuoa, hilo ni Hiyari yako. Lakini pili mtoto, nakushauri uzalishe wa damu yako kuliko kuasili mtoto. Kwa kuwa ni wazi kuwa unapenda mtoto.

Nilichogundua kwa maelezo yako. Hutaki majukumu ya kukuwajibisha, unataka uwe na majukumu ya Hiyari siyo Yale uliyoyaamua wewe.

Hiyo ni hali ya kawaida sana linatokea watu wengi, waoga wa majukumu kama wewe. Na Mara nyingi inasababishwa na ubinafsi uliokuathiri utotoni, Has a kama umekulia mazingira ya kujitafutia sana, wewe binafsi.

Kifupi umeathirika kisaikolojia, kiasi kidogo Ndiyo maaana umeandika humu ili kuweka huru nafsi yako kwa kuwa hiyo hali huipendi. Pole sana hali hiyo itatoweka, ila kama utabaki ulivyo kinachofuata kwako ni kugawa m k u n d u. Take care of ure self & each other.
 
Utafute mkaka wako uolewe wewe sasa maana utafaidi penzi lakini hutopata mtoto
 
Nilivyopima maelezo yako nimegundua wewe utazaa na kuoa automatically kama mimi.
Nikiwa chuo miaka mitatu iliyopita nilimwita mtu njoo kama utani akaja wiki, mwezi, hana shida posa iiiiiooooo ndo nilioa ivooo
 
Nilivyopima maelezo yako nimegundua wewe utazaa na kuoa automatically kama mimi.
Nikiwa chuo miaka mitatu iliyopita nilimwita mtu njoo kama utani akaja wiki, mwezi, hana shida posa iiiiiooooo ndo nilioa ivooo
Ulioa kirahisi sanaa
 
Back
Top Bottom