Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Hongera man...tuko wengi kwenye hii decision ulochagua....nikupe tu moyo kua ...na mimi pia niko kwenye mrengo huu...na kwakweli...everything is fine kabisa...asikudanganye mtu..
Mimi ni mwamaume mwenye wivu...hizi kauli "kugongewa ni kawaida" ndo kabisaaaaa..zinaniaminisha kua uamuzi wangu ni sahihi...

heri puli kuliko "kugongewa ni kawaida", welcome to the stress free world bro.

NB: ninazo forms za adoptions kwa ajili ya kupewa mtoto..(kwa sababu mimi nilishaanza hizi taratibu) ila ni gharama kidogo..andaa not less than 5M, wanasheria..survey etc.
Pamoja sana kaka maisha ni popote na maisha ni vile unavo yataka yaweee hope huku nita enjoy sana kuliko Stress za Kuoa
 
Hongera sana mkuu, Kila mara nasema kuwa hakuna umuhimu wowote wa kuoa zaidi ya kupata stresses.

Ila jitahidi upate mtoto na mwanamke yeyote tu halafu umlee mtoto na mama yake bila mkataba wowote wa kindoa.

Hongera sana.
Mkuu nacho kataa kupata mtoto ni kuwa familia wanaitaka nimuoe kabisa sasa sifanyi vyoye
 
nimekuunga mkono, mwanamke ni kiumbe asiye ridhika labda atafute mwenyewe. vya kupewa kwake siku zote havitoshi. mpk dushe haiwatoshagi
 
Dah.,, kwanza tuwekane sawa, upo Dar au Mkoa? Hata hivyo maisha yana sehemu 4 ili yakamilike
1. Uwe na ujuzi fulani ili uweze kuwa saidia binadamu wengine.
2. Uwe na namna ya kupata kipato.
3. Uwe na mahusiano.
4. Uwe na imani/dini
 
Hahahahahaaa

Nimejikuta nawaza kwa sauti, binadamu aliyekamilika mwenye pesa kula kulala pazuri familia iko safi...... Huna mke wala mtoto wala G. Friend. .... basi dunia itakuzawadia jina......
Si bure yule kaka atakuwa gasho tuu.... wengine watasema heee yule kaka shaba. .... wengine watasema maskini. ... yule kaka anakila kitu ila si rizki.... Haya yule mtoto anayelea na kumsomesha sio wake kumchukua vituo vya kulelea mayatima. .....
Utakwepa kadhaa za mke au mpenzi ila hutokwepa za walimwengu.
Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom