Hata asingekuwa hivyo bado wangemsema tu, kuna watu ni kawaida yao kufuatilia maisha ya watu na kusema sana.Hahahahahaaa
Nimejikuta nawaza kwa sauti, binadamu aliyekamilika mwenye pesa kula kulala pazuri familia iko safi...... Huna mke wala mtoto wala G. Friend. .... basi dunia itakuzawadia jina......
Si bure yule kaka atakuwa gasho tuu.... wengine watasema heee yule kaka shaba. .... wengine watasema maskini. ... yule kaka anakila kitu ila si rizki.... Haya yule mtoto anayelea na kumsomesha sio wake kumchukua vituo vya kulelea mayatima. .....
Utakwepa kadhaa za mke au mpenzi ila hutokwepa za walimwengu.
Kila la kheri.
"No Hero to a woman"Heeeee! Eti Grace alimtandika Bob Kofi, huyu Bob ninayemsikia kwa ubabe, siamini macho yangu. Kila mmoja na mbabe wake lol!
Nimejitolea nipende mimiHAYA..........Ahsante kwa Taarifa...
Una maamuzi magumu sana,Pia inawezekana ikawa ni pepo au jini kisirani ndugu jaribu kufikiri tena mara mbili.
Field ya nini
Pole sana kwa yaliyokukuta....! Lakini tafadhali uwaombe wazazi wako msamaha kwa kuwakosoa kuwa walifanya vibaya kuoana na kukuzaaa wewe...!
Again take note that;
- It is better to expect "the good" and getting "the very good" than expecting "the most excellent", and getting "the excellent". So, never look for the most perfect partner, because you will end up crying in your lifetime....!
- The most complex animal in the world is the human being....! So, Never trust a human being, even yourself because only LORD deserves to be trusted...! And only fools may trust a human being....!
- Whenever you find right to change your mind, come back and tell us so and why, as you did now.....!
Hamna kaka tatizo wengi tunaishi kwa kukariri lakini kiukweli maisha ni vile wewe unavo yapangilia!Dah.,, kwanza tuwekane sawa, upo Dar au Mkoa? Hata hivyo maisha yana sehemu 4 ili yakamilike
1. Uwe na ujuzi fulani ili uweze kuwa saidia binadamu wengine.
2. Uwe na namna ya kupata kipato.
3. Uwe na mahusiano.
4. Uwe na imani/dini
![]()
Siogopi chochote na uwezo wa Kuzalisha ninao Kabisa ila sitaki tubishane katika hilo maana mtataka nidhibitishe na njia pekee ya kudhibitisha ni kupata mtoto kitu ambacho sipo tayari!Mi naona kinachokusumbua ni uwoga wa Maisha tu. Na kama si hivyo huna uwezo kwa kuzalisha sasa unatafuta sbb toka kwa wanawake. Jitambue tu na kujiamini.
Nimewaachia mkuuTuachie sie tuendelee kupakiwa siag kwenye mkate
wewe hutaki kuoa kama mwenzako wa hapo juubora kutokuoa kuliko kuwaka tamaa.... ongera zako ...