Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Upumbavu mtupu,walitakiwa kumweleza Boss wao kuwa ile ni media na kama ilivyo media yeyote jukumu lake ni kutangaza habari kwa mujibu wa maadili ya sekta hiyo,ugomvi wao Manji na Mengi binafsi haupaswi kuingizwa kwanye kazi/business otherwise inaweza kuathiri sana ufanisi wa chombo hicho kama chombo cha habari,fikiria YusufMaka amejiapiza kutosikiliza tena hicho kipindi chao cha michezo,Dangonini sijui naye kaboreka,Nawaza naye hajaipenda na mimi Anselm pia naungana nao,nina uhakika wako wengi watakaokuwa wameboreka na ile act yao,wote tukitengeneza chuki siyo kwamba tutaacha kusikiliza tu bali hatutakaa tupeleke matangazo siyo ya biashara tu hata ya vifo...matokeo yake mapato ya Radio lazima yatateremka,yakiteremka kuna hatari ya hao wanaomwabudu huyo Mengi wao na kumyeyekea wakaathirika na wenyewe kwa namna moja au nyingine sasa mana'ke nini?
Kila mtu ana haki za kutekeleza maagizo ya Mwajiri wake lkn sote kama watu wazima na tulioelimika tuna nafasi za kuwashauri Waajiri wetu hasa katika masuala nyeti yanayoweza kuwa na impact mbaya kwa Kampuni/Shirika etc
Mambo mengine si utoto tu bali ni ujinga na uhaba wa kuelimika,(kina Kitenge) wangekuwa wameelimika kweli na kuwa na sifa zile stahili zinazohitajika na nafasi zao hizo walizozishika wangetafuta namna nyingine ya kutekeleza hayo maagizo ya Boss wao (kama yapo) kuliko kuutangazia Uma kuwa Makamu Mwenyekiti ndo Boss Mkuu wa Yanga huo ni us***e
Na mtu yeyote mwenye akili timamu (ukiondoa wapenzi wa Simba waliochukizwa na kuchaguliwa kwa Manji kuwa Mwenyekiti) hawezi ku'support us***e huo.