Sitashiriki maandamano CHADEMA

Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.

Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.

Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.

Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.

1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.

Umeombwa kushiriki au unajishombezashombeza tu wakujue nawe bado upo?
 
kwani wewe bado ni mwanachama wa cdm? mbona kama wao wakususa ila unajipendekeza kwao, na je hapa umetuambia ili sisi tufanyeje? tukubembeleze au? ndugu uwe unafikirisha ubongo wako, au ndio umeliwa na kubaki fuvu tu?
 
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.

Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.

Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.

Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.

1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.

Nakaribia kupata ban. aya ban aaaaaah dah mod utanipa ban inaudhi jamani huyu jamaa vipi?
 
Kumbe ni Ludovick! Haishangazi kusikia haya kutoka kwake, tukishangaa kama kinywani mwake ingetamkwa jambo lolote la hekima. Hongera Ludovick kuutunza wasifu wako kwa vitendo.
 
Ludovick anajua kabisa, kwa huu utumbo alioandika kila mwenye akili atakuwa kinyume naye, lakini hana namna malipo ya pesa toka CCM hayaji bure bila ya kwanza kuwa tayari kujitoa ufahamu na kupost ujinga ujinga kama huu..

unaleta uharo hapa so what?/
 
Hoja zako juu ya chadema na maandamano ni nzuri sana hasa ukimuelisha mama yako mchovu saa umempelekea sukari robo atakushangilia kwa hoja zako, ukimchunguza kwa undani utakuta anashangilia kasukari na sio hoja zako dhaifu. POLE.
 
Alipokufa mbwana masoud kule igunga, ni mimi nilipeleka sh laki moja na 80 elfu.zilichangwa na wanachadema wa bukoba. nyumbani kwao mburahati hakuna kiongozi aliyekuwepo wa chadema isipokuwa lwakatare aliyekwenda binafsi kuwasilisha zile hela zilizochangwa bukoba ambazo mimi ndo nilipewa kuzipeleka.
mbwana masoud alijitolea kwenda igunga kuwa wakala akitokea dar. hakuna msaada wa chadema zaidi ya 180,000.
juzi nimesikia akiorodheshwa kati ya mashujaa.

Kwani makubaliano yalikuwaje, in case mwanachma akifia field? Na gharama za kumsafirisha zilitolewa na nani? Je, wewe na Lwakatare si Chadema? Vp mbona husemi vifo vya Mwangosi, Alizona, Wale wa Arusha, Mwambo wa Arumeru na wenachma wengine? Mchango wa Chama ulikuwaje? Ebu tupe majibu ili tujue then tujetengeneze conclusion.
 
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.

Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.

Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.

Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.

1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.
Hahahahahahaahaha.Ludo umenivunja mbafu sangu..kwamba ukipelekwa rumande na Lissu utakula virugu yeye haguswi..hahaha
 
hata hivyo maaandamano yetu hayashirikishi magamba kama wewe. huna nia ya kuwapambania wananchi kuokoa mabilioni yanayoteketezwa NA Bunge la katiba
 
bora mchawi kuliko mnafiki wewe ni mnafiki mkubwa wewe ndani ya chadema ulikuwa sisimizi mdogo sana kuandamana ni haki ya kila mtu kama hutaki kaa nyumbani uoshe vyombo na kupiga deki nyumbanin..
 
......Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati, ......siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.

Ludovick hueleweki. Yaani unasema wewe ni Mwana Chadema, lakini unachukia tabia za Chadema. Sasa kwanini bado umo Chadema wakati unachukia tabia zake? Hivi wewe ndiye yule uliyepata ajali Dodoma ukiwa ndani ya gari la chama kipya cha ACT pamoja na Samsom Mwigamba? Uchadema wako hapa unakujaje wakati ulilkuwa na wasaliti wa Chadema, au angalau tuseme ulikuwa na viongozi wa ACT? Kama si kupata ile ajali tusingejua haya. nakutamkia wazi sijawahi kuona mtu hatari kama wewe. Ulikaribia kutoa roho ya Kibanda na inawezekana uliwahi kushiriki kwa njia ya moja au nyingine kutoa roho za watu. Lakini nimeshtuka zaidi kwa hizi kauli zako tata. Eti Mwana Chadema anayechukia tabia za Chadema.
 
Kuwa mwanaharakati ndio nini? Ni kazi mpya tulioigundua watu wa kizazi hiki? Maana hata wanaoandamana wanasema nao ni wana harakati. Kazi ipo...
 
Bwana Ludo watakaokuelewa ni wachache make hata hao unaowafikishia ujumbe hawana tofauti na wake au watoto wa viongozi wa vyama vyao. Wao wapo busy kuchochea vurugu kwa kufarijiana huku nyuma ya keyboard lakini hawana ujasili wa kukanyaga barabarani kwan wengi wao watoto wa mama na wako soft-soft na viyoyozi ya maofisini au feni za hostel.

Watu wakishakufa haohao ndo utawaona wako hapa busy kutoa lawama kibao.

Acheni siasa za kitoto zenye hasara za kupoteza uhai wa watu. Kabla hujashadadia wenzio kuandamana toa mfano kidogo kwa kuanza kuandamana wewe ili tuamini kama ukiongeacho ndo unachokimaanisha.

Poa nimekusoma sana bwana Ludo.
 
we kwanza ungeenda kumaliza kesi yako kabla ya kuleta pumba zako...ni msimu wa kumpa mimba mkeo nenda kawajibike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom