Sitashiriki maandamano CHADEMA

Sitashiriki maandamano CHADEMA

Huyu kaka hana aibu kama mchawi, au anafikiri watu wameshasahau aliyoyafanya kwa Kibanda na Lwakatare?
 
Tokea umemtoboa kibanda macho na kushirikiana na Gaidi Mwigulu kumbambikia lekwatare kesi naona hizo laana zimekufanya ukawa kama mwehu na bado utaanza kuokota makopo muda si mrefu pambaf mkubwa.
Kamanda upo?? gongo mbaya nenda ukivunjwa miguu tutakuja kusalimia MOI
 
Sio kila maoni lazima ushirikishe watu hayo maamuzi ya binafsi na hakuna mtu atakulazimisha asante.Kuna lingine ulikuwa nalo?
 
Hivi kwa waliofukuzwa kwenye uanachama wa chadema huyu alisahaulika??maana anaongea as if ni chadema.
 
Mkuu Ludovick tuko wengi tunaochukia huu upuuzi wa CHADEMA. Nakuunga mkono 100%
 
Hivi yule mtoto mwenye ulemavu wa ngozi unayemtumia kuomba msaada huwa unampa pesa ukikusanya? Au ndio fursa
 
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.

Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.

Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.

Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.

1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.

kaka hata mimi sitashiriki.Kwani wakati wa kuandamana akina Mbowe,Silaha,Mnyika,Prof.Safari huwa hawapati kipigo km tunachopigwa sisi.Wao wanakinga ya kisiasa.Anapokamatwa faster anahifadhiwa sehemu salama akilindwa na kinga ya uanasiasa.Na hata ikitokea ameuawa jumuia ya kimataifa huiandama serikali kuwa imekiuka mikataba ya kimataifa ya ulinzi kwa wanasiasa.Mm nawewe je,tunayo hiyo kinga?utatambulika na nani?km sio kuonekana vibaka waporaji na wahuni tunaohatarisha usalama wa nchi.Pia ndugu mbona watoto wao akina Slaa,Mbowe na Prof.Safari huwa hatuwaoni kwenye maandamano au familia zao hazihitaji mabadiko ya utawala ktk nchi?achilia mbali watoto wao,je ndugu zao wa karibu mbona huwa hatuwaoni kwenye hekaheka za maandamano.Hivi maandamano nchi nzima kwa watoto wa wenzenu tu ilhali wa kwenu wanatuangalia jioni kwenye TV namna tunavyopigwa na kuuawa kinyama.Tumeshtuka sasa tunahitaji ushiriki wa wake zenu na watoto wenu pamoja na ndugu zenu kwenye haya maandamano.Hii ni kwasababu hawa wote ni watanzania na wanahitaji mabadiliko km tunavyohitaji sisi.Sasa kafara iwe ya wote watanzania na sio sehemu ya walalahoi kutolewa kafara ili watoto wenu matajiri na wanasiasa washike hatamu katika nchi hii.
 
uzuri wake ni kwamba Mungu hajawahi kumficha mnafiki hata mara moja .
 
by Joseph Ludovick;
Alipokufa mbwana masoud kule igunga, ni mimi nilipeleka sh laki moja na 80 elfu.zilichangwa na wanachadema wa bukoba. nyumbani kwao mburahati hakuna kiongozi aliyekuwepo wa chadema isipokuwa lwakatare aliyekwenda binafsi kuwasilisha zile hela zilizochangwa bukoba ambazo mimi ndo nilipewa kuzipeleka.
mbwana masoud alijitolea kwenda igunga kuwa wakala akitokea dar. hakuna msaada wa chadema zaidi ya 180,000.
juzi nimesikia akiorodheshwa kati ya mashujaa.




1. Lwakatare wa binafsi yupoje na wa chama yupoje?
2. Mara hela ulipewa wewe na kuziwasilisha mburahati, Mara Lwakatare ndiye aliyezipeleka hizo hela? tukuelewe vp wewe mbululaz???

Jicho na damu ya Kibanda Itaendelea kukuandama milele! Joseph Ludovick
 
Last edited by a moderator:
Maandamano hayawezi kustisha mchakato wa katiba kwani Mahakama imetupilia mbali ombi la kusitishwa bunge na Mahakama ndo chombo chenye mamlaka ya kutoa haki inaaminika hivyo.

Kwa maana hiyo maandamano yangeelekezwa Mahakamani kwani Bunge lipo kisheria pale Dodoma hata kama hatuelewi kinachojadiliwa pale.


La msingi kuisubiri mtaani hiyo katiba kama ufisadi umeisha fanyika zimebaki siku chache bunge kuisha tuvumilieni maumivu ila 2015 tufanye maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom