Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.
Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.
Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.
Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.
1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.
wewe naamini kabisa huwezi kuwa mhaya.mhaya hana usaliti kwa wenzake na pia anajuwa nini anaongea mbele ya jumuhia.katelwe enkuba.
Ludovick, wewe huko CHADEMA unafanya nini? Kwani na wewe ni mwana CHADEMA? Au kuna mtu chadema kakuomba maoni yako?
Wewe ulipokuwa ndani, ulikwenda kwa madhumuni ya kukiua CHADEMA, kwa nguvu ya ccm. Sasa kwa nini unataka CDM wakutetee wakati ulikuwa mtumishi wa ccm? Usijitie wehu.
Achana na CDM kwa sababu unayoyatafuta huyawezi. Songa mbele na ccm yako.
Huyo ndo mhaya original... anafikiri kabla ya kutenda. Hakuna mhaya mwenye akili mbovu kama wale mapimbi wa arachuga na mererani muda wote viroba na bange.... msukule mkubwa weye
Duh, asante kwa maoni yako. Nina yaheshimu sana.
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.
Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.
Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.
Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.
1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.
Yego wasu, ebhu mbwira ko abhanu whe ndeyo bhali kutiki murekhi awe!! Sawa mkuu ebu nieleze basi jinsi akili zetu zilivyo ili tujipe ufahamu zaidi. Awe mkerebhe awe, ai ka go au uli mjita mwana wasu!! Aika mwana wa maiOmuregi ni jnatu uejipachika au ni t wa huko kanda ya ziwa? Watu wa huo hwako na akili kaa hizi
Tokea umemtoboa kibanda macho na kushirikiana na Gaidi Mwigulu kumbambikia lekwatare kesi naona hizo laana zimekufanya ukawa kama mwehu na bado utaanza kuokota makopo muda si mrefu pambaf mkubwa.
mbona nyie pia mlimuua chacha wangwe kwa kuwa alikuwa anaulizia matumizi ya ruzuku