Sitashiriki maandamano CHADEMA

Sitashiriki maandamano CHADEMA

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
382
Reaction score
506
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.

Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.

Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.

Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.

1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.
 
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa. hata hivyo katiba mpya haijapatikana. kama mwana chadema na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja. ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa chadema siyo moja na sisi. wanachama.
maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa. napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za chadema.
1: inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2:majeruhi hutelekezwa na chama
3:watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4:treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa. so mkikamatwa na lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu,yeye hagongwi.
5:sababu ya maandamano haya siyo genuine
kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid

Ww jamaa akili zako zitarudi lini????!!!! Mbona km umelaani hv kwenye haya mambo ya kisiasa!!??
 
dogo unajiona kama vile uko smart kumbe ni mjinga na mpumbav........................If you know wewe ni mjinga kaa kimya ulinde heshima yako
 
Ludovick, wewe huko CHADEMA unafanya nini? Kwani na wewe ni mwana CHADEMA? Au kuna mtu chadema kakuomba maoni yako?

Wewe ulipokuwa ndani, ulikwenda kwa madhumuni ya kukiua CHADEMA, kwa nguvu ya ccm. Sasa kwa nini unataka CDM wakutetee wakati ulikuwa mtumishi wa ccm? Usijitie wehu.

Achana na CDM kwa sababu unayoyatafuta huyawezi. Songa mbele na ccm yako.

Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa. hata hivyo katiba mpya haijapatikana. kama mwana chadema na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja. ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa chadema siyo moja na sisi. wanachama.
maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa. napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za chadema.
1: inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2:majeruhi hutelekezwa na chama
3:watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4:treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa. so mkikamatwa na lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu,yeye hagongwi.
5:sababu ya maandamano haya siyo genuine
kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid
 
Nimekutambua ww ni sisiem ndo maana unaleta porojo zako hapa
 
Tokea umemtoboa kibanda macho na kushirikiana na Gaidi Mwigulu kumbambikia lekwatare kesi naona hizo laana zimekufanya ukawa kama mwehu na bado utaanza kuokota makopo muda si mrefu pambaf mkubwa
Kweli ana laana huyo. Pamoja na kutajwa kushiriki kumtoboa jicho yule mwandishi kweli bado anajitokeza hadharani na utumbo kama huo alioandika? Ajue maumivu aliyopata Kibanda pia familia yake,ndugu na jamaa hata sisi wapenda haki lazima atayalipa siku moja. Na hii tabia yake ya kuleta mada za kiuchokozi inasaidia kumfanya tusimsahau ili siku ya kisasi ikifika akumbukwe. Haoni mwenzake yule mzee wa Iringa kajinyamazia baada ya kuhamishwa hiyo ni ishara ya kujutia kosa na hasira za watu huwa zinapungua.
 
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa. hata hivyo katiba mpya haijapatikana. kama mwana chadema na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja. ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa chadema siyo moja na sisi. wanachama.
maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa. napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za chadema.
1: inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2:majeruhi hutelekezwa na chama
3:watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4:treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa. so mkikamatwa na lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu,yeye hagongwi.
5:sababu ya maandamano haya siyo genuine
kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid

Sasa nimeamini wewe ni Mbururaaaaaaaaaaaaa Tena usiye na haya, hivi bado unajihesabu mwanachama wa CDM? Chizzz kabisa wewe. Hata mkutato mkuu hukuhudhuria na ole wako wana CDM wangekuona!!!!! ungetoka Mlimani City kama risasi. Pambaffffff
 
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.

Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.

Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.

Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.

1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.

Sawa sawa Gaidi Ludovick umenena. Vipi nani anafuata kung'olewa kucha na macho?
 
Kuandamana hutaki ila kucha unangoa na kutia upofu binadamu wenzio..
 
Sasa kama hutashiriki JF kuna mabwana zako mpaka uje kutuambia???
 
Hujaulizwa Wala Hujaombwa Kushiriki,au Unamimba Changa Inakusumbua? Tafuna Embe Mbichi,limao,mkwaju Pia Kula Na Udongo Humo Ndo Mwake,
 
Back
Top Bottom