Sitasherehekea kabisa Christmas, Mungu nisamehe

Bora ungesema unaenda hata kutoa zawadi kwa watoto yatima.

Uamuzi wako ishi uwezavyo, vya pesa za dezo za serikali kuishi maisha ya juu huku haujiongezi yamewakamata haswa.

Wengine tupo tunamshukuru Mola kwa yote.
Hongera .
 
Yani unatumaini sanduku la kura litakupa unqchokihitaji??? Kwa mawazo hayo utasubiri sana
Kama Sanduku la kura lilinipa mbunge huyu niliyenaye, naamini hata Rais nitampata nitakayempigia kura. Unajua kupiga kura ni pamoja na kuhakikisha idadi ya kura ni sahihi na hakuna uchakachuzi wowote. Kama Balozi Kagasheki aling'oka, yule Mhindi wa Mtwara aling'oka, Dr. Masaburi alichemsha, Dr. Fenela Mukangala alichemsha, aisee sitafanya fujo hivi sasa isipokuwa naisubiri 2020 Inshallah
 
Maneno mazito sana .
 
pigeni kelele humu kwenye mitandao lakini ikifika 2020 tunawachinja tena......
 
Wewe dada huwa ni kanafiki sana nimeanza kukufuatilia coment zako hapa jamvini muda mrefu sana kipindi kile ulijuwa unasema fulani hafai kuwa rais wa nchi hii cha ajabu umekuwa mtu wa kusifia wewe usiposherekea ni juu yako wenzio ni mitungi mpaka majogoo kesho kazi kama kawa
 
Vijana wanawaza pombe kwenye nchi ya viwanda , kazi ipo .
 
Tulikuwa tunakunywa pombe kabla hata ya kauli mbiu ya nchi ya viwanda kwahiyo usitupangie
Matumizi ya pesa zetu panga bajeti kwa pesa yako sawa dada
 
Back
Top Bottom