Sitasherehekea kabisa Christmas, Mungu nisamehe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
75,943
2,000
Nawatakia kila la heri wenye uwezo wa kusherehekea , sina kinyongo nao .

Hali ya nchi yetu ni tete , watu wanaonewa kishamba mno , wengine wanapotea bila maelezo yoyote , wengine wanakamatwa kwa sababu dhaifu sana .

Inasemekana Bwana Yesu alikuja duniani ili kuwakomboa wanadamu , lakini mbona Tanzania dhuluma imezidi ? Ina maana watesaji hawa wamemshinda Mungu ? Si lengo langu kukufuru Mungu , lakini ni Mungu Mwenyezi aliyetupa maarifa na akili ya kuhoji na kutafakari .

Nimechagua kuitumia siku ya kesho kutafakari kuhusu hali ya nchi yetu badala ya kusherehekea .
 
smileagain

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
564
1,000

Uiombee pia
 
Copenhagen DN

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,054
2,000
Mungu kutuletea huyu mtu huenda ana makusudio yake ili 2020 tusirudie makosa.
Ni sisiwatanzania tutubu tuuangame makosa yetu tumezid mno kutenda dhambi wizi wakutisha sababisha ajali nyingi bararan kwa ajil ya dam kusafisha hazina umiliki wa Mali za umma kama uda escrow babu Seya Simba Trust iptl kila siku million 400. Zamani mungu aliadhibu watu wake na moto na gharika sisi kaamua kutuadhibu KWA KUMLETA HUYU NA KUMUACHA AENDELEE KUWA HAPO kama adhab na fundisho.

Mpaka tutakapo tubu na kuungama atatuondolea hili ZIMWI
 
REAGAN C.MABOGO

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,266
2,000
Nawatakia kila la heri wenye uwezo wa kusherehekea , sina kinyongo nao .

Hali ya nchi yetu ni tete , watu wanaonewa kishamba mno , wengine wanapotea bila maelezo yoyote , wengine wanakamatwa kwa sababu dhaifu sana .

Inasemekana Bwana Yesu alikuja duniani ili kuwakomboa wanadamu , lakini mbona Tanzania dhuluma imezidi ? Ina maana watesaji hawa wamemshinda Mungu ? Si lengo langu kukufuru Mungu , lakini ni Mungu Mwenyezi aliyetupa maarifa na akili ya kuhoji na kutafakari .

Nimechagua kuitumia siku ya kesho kutafakari kuhusu hali ya nchi yetu badala ya kusherehekea .
Tupo pamoja
 
chongchung

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,760
2,000
Niombeeni Mungu anitie nguvu 2020 nije kuleta ukombozi Tanzania ni mimi niliengojewa kwa muda mrefu kuja kuwakomboa kwenye kongwa la namba.
 
Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
567
500
Ewe Mungu Siyo Nakufundisha Hapana Lakini Muda Mwingine Ukiona Mtu Anataka Kuumiza Watu Wengi Uwe Unamchukua Fasta Kabla Hajaumiza Viumbe Wako Japo na yeye ni Wako.
Nadhani Dua yangu Utaipokea Amin.

Sijui nimechochea Potelea Mbali.
 
Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,718
2,000
Ni sisiwatanzania tutubu tuuangame makosa yetu tumezid mno kutenda dhambi wizi wakutisha sababisha ajali nyingi bararan kwa ajil ya dam kusafisha hazina umiliki wa Mali za umma kama uda escrow babu Seya Simba Trust iptl kila siku million 400. Zamani mungu aliadhibu watu wake na moto na gharika sisi kaamua kutuadhibu KWA KUMLETA HUYU NA KUMUACHA AENDELEE KUWA HAPO kama adhab na fundisho.

Mpaka tutakapo tubu na kuungama atatuondolea hili ZIMWI
ZIMWI
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,808
2,000
Bora ungesema unaenda hata kutoa zawadi kwa watoto yatima.

Uamuzi wako ishi uwezavyo, vya pesa za dezo za serikali kuishi maisha ya juu huku haujiongezi yamewakamata haswa.

Wengine tupo tunamshukuru Mola kwa yote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom