Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Tatzo ulivutiwa na mtu anaesoma nje!

Mdada akisikia mtu anasoma nje ya nchi au aliwahi kua nje ya nchi basi anapoteana! Atashikiria hapo hata kama haoni dalili ya faida!

Mwanza to darbutasikia siwez long distance tuachane...

Ila Tz to UK or US utasikia baby usinisalitini...umbali sio tija mapenzi ndo kila kitu

[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Hapana.
Wala Sio kigezo.Sasa mbona walikuwepo waliosoma nje wengi Na wamerudi kama ingekuwa hivyo.
Labda nikutajie sifa za huyo
1. Anajua kumteka MTU kisaikologia Mfano.Anaweza akakwambia maisha ya Sasa ni kutulia usione nipo mbali ukaanza kushawishika Na mambo mengine, Mimi nakutegemea wewe tu..
Usihadaike Na walimwengu utajikuta unaanzisha uhusiano huu Na huu nivumilie mpenzi wangu.
Atahakikisha kila unaposhika simu SMS ya faraja unaikuta.
Mfano.Mimi ameniita majina yote ya Dunia.Queen, super bae, my love, my all..
Hata hivyo hivyo ni minor kikubwa ni ile kuona kwanza ni MTU mzima.Na alisema hapa Duniani nini hajafanya.Ameamua kutulia Ili tujenge maisha.
Mipango ya kuishi pamoja akinishirikisha mambo yake mengi akinishauri mengi hasa ya maendeleo
Mfano akahakikisha nakuwa Na sehemu yangu kwa kunishauri, kifupi.Sio Rahisi hata kidogo kusema angerudi akaanzisha mahusiano Na mwingine.
Na kama umesoma vizuri Hakuna mahali alipokuwa amenitamkia ameniacha.
Hata siku nilipoona ile SMS nilikaa naye Na kumuuliza kama aliamua kuniacha labda anaona aibu kuniambia akajibu siwezi kufanya hivyo Mana tumetoka mbali Na hata nilimwambia kama yupo tayari nikaanzisha uhusiano Na MTU mwingine. Akasema hawezi kuniruhusu Mana ni Mimi ni wake( Nilimuuliza makusudi baada ya Kuhisi kam tola ana MTU hivi nilivyoenda hasa baada ya kusoma Ujumbe uliyosema ' Mume wangu mbona hupokei simu yangu toka Jana?? Na wasiwasi aliopata.
 
mwanangu ni kweli ulizingua, tena ilikuwa ndio post ya kwanza kabisa. ila niamini nikwambiayo kwamba umefanya uungwana wa hali ya juu.

Big up kwa kuona kwamba uekosea na kuamua kumuomba grace msamaha, wewe mwenyewe tu ukiangalia wadau wamekudiss ila BIG UP sana mwana wewe ni muungwana

pamoja
ubarikiwe sana
 
Naomba Elewa.Si kujua kama ana MTU ana watoto naye wawili zaidi ya kujua alizaa penzi za ujana.
Baada ya kujua Baadaye sana nikagundua mama mwenyewe mwenye watoto ndo anayetaka kuondoka kwa kupata mwingine.Si kujua naye aligundua au alikasirika nini.Ningejua toka mwanzo pengine ingesaidia.Na kilichofanya nisijue mapema ni kukaa mikoa tofauti
Pole sana.
 
Yan Dada zetu sometimes huwa mnatia hasira sana.

Kuna Mdada nae anaitwa Grace mapunda,aisee huyu Mdada na mtoa mada nahisi Ni ndugu...Ameninyanyasa sana kwa kisingizio cha kuwa ana mtu wake.

Yaan mpaka matusi kanitukana,kejeli zote.Nilikubaliana na msimamo wake lakini nikawa nilikutana nae namsalimia kwa mbali but alikuwa ananichunia hata salam yangu!!!

Aombe sana yasimkute yaliyomkuta wajina lake.
 
Jamaniiiiiii!
Pole sana mwaya,yamekukuta mazito kumbe ndio maana ulitaka kujiua!

Ila jamani kwani haiwezekani watu kuachana kwa amani? Yanini kusema madhaifu ya wengine kiasi hicho?

Halafu huyo nae alikuwa na roho ya kimasikini sana,hadi chips alizokununulia anasema? Khaaaaaaa
welcome back Nifah
 
Pole sana Mungu azidi kukutia nguvu na kukusahaulisha akusaidie kupata mwanaume wa kufanana nae akupende kwa kila kitu

Ila wanaume nyie hapana simu 4 usikute hapo kila mwanamke na simu yake
tuko very very unpredictable [emoji16]
 
Upendo unakujaga automatic ila moyo ukifa ganzi kitufe cha automatic kinajiswitch off ....hapo yanabaki maamuzi yako tu
hujakamatika bado tulia muda wako utakuja na wewe utakuja na machozi kama grace[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Funzo kwa wanaume wenzangu:Wanawake wakiamua kuchunguza ni zaidi ya FBI!![emoji30][emoji30][emoji30]
acha tu mkuu uspy wanauweza.....mimi wangu wamechunguzana ila hawajafika stage hiyo wameishia kupigana mikwara wao kwa wao[emoji23] [emoji23] kila moja kaja na mashtaka kivyake [emoji1] [emoji1] [emoji1]

sasa ili kuavoid msafara wa mamba kuingia kwenye wa kenge na wakenge nimezuia misafara yote....wote nimewatema[emoji4]
 
hujakamatika bado tulia muda wako utakuja na wewe utakuja na machozi kama grace[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wewe ndo unaongea usichokijua ...kimbelembele tochi kujitia unajua akili za watu kwendraaaaaa....aliyekwambia sijayapitia hayo nani au unadhani nimeropoka tu ...ovyoooo
 
basi subiri kulia kwa mara nyingine
 
Jamaniiiiiii!
Pole sana mwaya,yamekukuta mazito kumbe ndio maana ulitaka kujiua!

Ila jamani kwani haiwezekani watu kuachana kwa amani? Yanini kusema madhaifu ya wengine kiasi hicho?

Halafu huyo nae alikuwa na roho ya kimasikini sana,hadi chips alizokununulia anasema? Khaaaaaaa

jamani kuna wanaume ni viazi, halafu ni mshamba flani umefumaniwa jieleze yanayokuhusu sa mpaka ya skin jeans hahahaaa
 
ktk simu ya boy wenu liliseviwa jina la huyo bint bila namba mpaka uteseke hivyo kuipata?

Anyway pole sn.
 
Wasalaam wanajamiiForums,

Mkasa huu ama Kisa hiki ni cha kweli Na kimenikuta ninayeandika hapa.
Nilikutana Na mpenzi kama wengine wanapokutana Na wapenzi wao popote.
Tukapanga mipangi mingi sana ikiwepo ya kuishi pamoja baadae
Tatizo lilikuwa ya kwamba mwenzangu alikuwa anasoma nje ya nchi Na Mimi wakati huo nilikuwa nasoma .Tukakubaliana kila mmoja amalize masomo yake Na baada ya hapo mambo mengine yangeendelea.
Basi.Maisha yaliendeleaa yeye akija Mara moja moja wakati wa rikizo Na Mimi nikamaliza chuo..
Ahadi ya kuja kuishi kama mke Na mume ndio ilikuwa wimbo wetu.Na binafsi nilimpenda sana Na yeye kuonyesha kunipenda sana(kwa matendo)
Nataka niweke wazi hapa kwamba mwanaume unapokuwa Na mpenzi wa kike ukamwahidi mtaoana akakupenda Mara nyingi wanawake sisi huwa tunakuwa wakweli sana japo kuna baadhi Sio wakweli but most of us tunakuwa So innocent.Kwa maana kwamba along the way Hata akitokea MTU mwenye nia ya kuweka Uchumba Na wewe huwezi kwa maana una MTU tayari ambaye unaamini anasoma Na mtakuja kuanza au kuendeleza familia unakuwa unatunza ile ahadi mliojiwekea wenyewe(ndivyo ilivyotokea wakajitokeza wachumba nikawakataa wakatokea mpaka wale wanaoweza tumia mpaka Mali kukushawishi Mdada Mimi nikakataa nikiwatamkia wazi Nina MTU wangu anasoma. Kumbuka mchumba huyu tayari ni MTU ambaye alishayapitia maisha akaamua sasa kutulia Na kila mnapowasiliana kila siku Cha kwanza ni kusema Naomba usinisaliti Mimi nipo huku nikijua upo huko salama.Asubuhi,mchana,usiku tunawasiliana.Hayo yakawa maisha yetu.
Kutofautiana kwenye mahusiano au kujua udhaifu wa mwenzako havikwepeki mana Hakuna mkamilifu.Vyote vilitokea Na tukajua tunavumiliana vipi.Na mwisho wa siku kila mmoja alijua mwenzake ana udhaifu gani tukayabeba.
Basi,nilitangulia Mimi kumaliza chuo nikaendelea Na kazi,yeye ikawa anamalizia mwaka Jana.
Siku moja akatuma Ujumbe whatsaap akauliza Babe vipi ikitokea siku umesikia nimekuja Tanzania bila wewe kuja Airport kunipokea utajisikiaje??
Nikacheka nikasema inawezekana vipi wakati Mimi nipo hapa Dar Na Airport ni hapahapa Dar unaposhukia??nikamwambia ukifanya hivyo nitaamini kuna MTU kaja kukupokea Na utakuwa unanisaliti Na Mimi nitaumia Na ndo utakuwa mwisho wetu(niliongea nikijua ni utani)naye akajibu nakutania
Kumbe haikuwa utani ndicho kilichokuja kutokea..
Mwaka Jana mwezi wa 12 akawa amerudi Na kurudi mkoani.But akawa anatumia no.ya whatsaap ileile ya nchi aliyokuwa bila Mimi kujua kama yupo tayari nchini.
Kuna siku nikashangaa siku 2,hayupo Whatsaap Na Sio kawaida nikajaribu kumpigia mmoja wa ndugu yake kama a a taarifa yoyote akadai hajui Na hajawasiliana naye.
Baada ya siku 2 kupita akaandika Ujumbe mrefu sana kwenye no.ya Tanzania akiomba msamaha sana kwamba alipanda ndege ya ghafra akashuka SAA 8 za usiku JK nyerere Na kwa kuwa wadogo zake walimwambia mama yake amelazwa Na kuzidiwa akaamua kupitiliza Ubungo Na kuwai mkoani alipo Mama yake aliyedai alilazwa akiwa hoi.
Sijui nini I couldn't buy that story I knew from a start that is a fake one.
Niliumiaa sana mana mi nipo Dar Airport Na ninapoishi Sio mbali sana ningempokea akaendelea Na safari ya kwa mama yake kama kweli alikuwa anaumwa as he claimed.
Siku zikaenda mawasiliano yakaendelea.Atapiga simu usiku wa manane nitapiga usiku wa manane tunawasiliana masaa yote.Kidogo kigogo kuna kipindi kama simu Mara haipatikani Mara imezimwa.
Nikawa navumilia.Kuna wakati ikabidi Mimi nimfuate nikaona nisubiri rikizo ya kazini.Baadaye nikaona rikizo ya mwezi wa 6 ndo nzuri. Na yeye kutokana Na mradi aliokuwa amenzisha isingekuwa rahisi kuja kwa Mara moja.Tukakubaliana niende mwezi wa 6 Na mambo yote yaliyokwama ndio tungekamilisha.Yakiwepo ya Pete Na upande wa mama yake mana anakaa jirani Na mama yake wakitenganishwa Na ukuta.Kwakuwa naenda kwa mwezi mzima mambo hayo yangewezekana.
Siku ya safari ikawaidia akanipokea usiku wa SAA 5 .Akanipeleka mpakq nyumbani kwake(Ikumbukwe hili Nyumba ni mpya aliyokuwa anaijenga kidogo kidogo akiwa nije masomoni.
Sikukuta mabadiliko makubwa kama ana mtu yoyote wala dalili ya mwanamke yoyote..
Siku ya pill tukiwa tumelala mida kama ya SAA 4 au 5 siku yake ilianza kuita sana.Nukauliza kwa nini usipokee akajibu siwezi pokea simsimu usiku watakuwa mafundi wanasumbua.Tukapuuza tukalala,asubuhi yake wakati anajiandaa kwenda kazini nikaona mbona ana simu nyingi 4 nikamuuliza kama haoni uzito akadai simu za Ulaya ni nzuri ndo mana kila simu Na laini yake hataki za Kibongo za laini mbili.Sasa ile nichukue niangalie uzuri wa simu
Nikakutana Na ujumbe wa whatsaap
'Mume wangu mbona napiga simu sana toka Jana usiku hupokei what is going on???
Niliumia nikaumiaaaa(katika hali ya kawaida Hakuna mwanamke anayeweza kumwita mwanaume mumre wangu Hata kama hawajafunga ndoa INA maana wamezoeana Na wamefika mbali
Nilala Tena nikaanza kulia akadai ni wadada tu wa mitandaoni Na hiyo amezoeana naye anahajawai kuonana naye ila amezoea kumwita mume wangu.Nikasema Hakuna kitu kama hicho tayari nikaanza kuunganisha baadhi ya matukio.Nikamuomba akanikatie Tiketi ya Kurudi Dar.Akadai nimpe muda nikamsisitiza kama kakata tiketi akaikata kweli Na asubuhi nikarudi Dar.
Lengo la Kurudi Dar ni kutaka kumfatilia hiyo Dada Ili nijue mengi zaidi..Kwa kuwa nilikariri jina.Nikamsearch kwenye FB nikampata japo yalitokea majina mengi lakini ikatokea moyo ukasema atakuwa huyu..
Sasa tatizo nitampata yupo wapi Na no yake mana mle hakukuwa Na information nyingi.Nikapiga simu kwa rafiki yangu Wizara inayohusika Na wafanyakazi akaweka jina lake ikaonyesha anapofanyia kazi.
Ni kaenda.Kufika Kumbe wana matawi mengi.Ana amehama Dar.Nikaambiwa ni mkoani.(kumbuka hapo baada ya kupitia FB yake niligundua kwamba amewai Fanya kazi mahali so nilipofika branch ya Dar nikajitambulisha kama rafiki yake toka alikokuwa anafanya kazi mwanzo kwa jina common kidogo(akakubari akiamini ni kati ya wafanyakazi wenzake wa zamani.Akawaambia wanipe no..Basi nikapata no.yake Na shida ikawa yupo mkoani.
Nikawaza What should I do.Hapo sina uhakika kama ni yeye kweli.Kumbuka kwenye simu ya mchumba alisaviwa jina la kwanza.FB yalitoka mengi bila nikahisi atakuwa huyu Na moyo ukahisi ni huyu huyu.So niende branch ya mkoani what if Sio hiyo???
Basi kwa kuwa moyo wangu uliamini ni hiyo nikaamua kuufuata kesho yake asubuhi nikapanda bus la mkoa .
Mungu saidia nikafika.Kumbuka hapo Nina no.yake lakini sikutaka kumshtua kama sasa nakufuata niliamua kwenda kimya Ili ajue nimeenda kwa mambo mengine yeye kama namsalimia tu lakini the aim was Her.
Mungu saidia nikafika salama.
Ni kaenda mpaka shirika lao.Napo Kumbe sipo wana tawi jingine.Kwa ma msaada wa mlimzi akaniunganisha kwa mlinzi wa tawi lingine akapatikana kwa simu nyingine mana ile niliyokuwa nayo ikawa Tena haipatikani
Dada alipoambia kuna Dada mmoja Toka Dar anakutafuta Na yupo Hapa mkoani akaunganieha matukio.Jana nilikuwa Dar namtafuta kwenye ofisi zao.Leo Mkoani kwenye ofisi zao. akahisi kitu.Alichofanya ni kupanda Bodaboda mpaka kazini mana ilikuwa jmos Na alikuwa nyumbani.
Kweli akaja kwa wasiwasi sana kila hatua anayopiga Sura hajawai kuiona.
Akakaa pembeni tukasalimiana.Kwanza nikamwomba samahani kama ntakuwa nimemchamganya Na niliyemkusudia.Mana sina uhakika.Na Ili mazungumzo yaendelee nikamuomba aangalie picha ya mhusika kama anamjua.
Ile natoa picha kwenye mkoba na kumuonyesha akasema huyu ni mchumba wangu.
Hapo ndo palikuwa patamu.Maana Hata siku hiyo mchumba wetu huyu kila mmoja alikuwa anamwandikia SMS ya kwamba my love Na maneno matamu.Huyu mke wangu Na huyu mke wangu.
Akaenda mbali kwamba tarehe Fulani alitoka kwa mchumba Kurudi. Mkoani Na ndo siku ile ile niliyofika mkoani kwake Hata kuku wa Nazi niliokuta Na mchumba kuniandalia alipika huyu Dada.Shuka waliolalia usiku nikaja kulalia Mimi.!!
Nikagunduaa mengi mengi kwamba Kumbe alishampeleka mpaka kwa mama yake wkt Na Mimi ndo mpango uliokuwepo kwa rikizo hiyo.Na kwamba wamejuana ndani ya miezi 6 Na tayari ana ujauzito wake..
Wakati tunazungumza tumfanyeje huyu bwana .Dada akampigia simu mchumba wake wa Kibaha Ili tu walau aendelee naye Na Mimba ya huyu bwana anaitoa nikamsihi asiitoe akadai kwa jinsi story ilivyo hapo hajapata MTU Na pia akiwa huko kwa Bwana aligundua ana mwanamke mwingine mbali Na sisi akanisimulia ilivyo.Na lengo la kumpigia simu bwana wake wa Kibaha ni kutaka kitandani. kwamba alikuwa Na MTU ila mchumba wangu huyu kwa ahadi zake Na Mali Na usomi wake akataka aitumie nafasi yake afaidi Na wkt huo huo anayempenda yupo.Kumbuka mpaka wanapeana Mimba ilikuwa ndani ya miezi 2 so You can imagine huo uharaka ulitokana Na hali ya mhusika kujua angepata alichotaka.Mana kwa maelezo yake alisema mchumba wa Kibaha ni Engineer Na wapo wote bila akataka awekeze kwa huyu mpya.Sasa Sijui mbele angefanyaje lakini ni kwamba wote wawili alikuwa nayo wa Mkoa Na wa Kibaha.
Basi akaniomba tuende kanisani kwao ambapo alishaenda kusema amepata mchumba.Lengo tukatoe ushuhuda.
Ikumbukwe ikuwa siku ya jumamosi.Tukamkuta mchungaji Ofisini kwake akiwa Na mkewe Na Pastor .Akasimuliaa nikasimulia wakaona mapicha SMS anazotuma huku Na huku wakati mmoja ahadi tamu tamu wakati mmoja.Ikaafikiwa kwamba Bi Dada ampigie simu amsalimie kwa sauti ya kawaida kabisa As if nothing happened. Akanpigia akamwambia yupo kanisani.Msalimie mchungaji akamsalimia simu ilipirudishwa kwake akasena naomba msalimie Rafiki yangu.
Nikapewa Mimi simu.
Hallo,halooo mambo.Za huko.. Nashukuru kukufahamu .(sauti nilijitahidi iwe tofauti)Mana anaijua kama njaa.Mwisho nikamuuliza harusi lini??akadai mambo mazuri hayataki haraka.Mwisho nikajitambulisha naitwa... .......
Alivyosikia nataja jina langu akakata simu..
Baada kama ya Dk 5 akapiga Tena simu ile ile ya Dada
Kumbuka alikuwa anarekodiwa pia aliwekwa loud speaker
Akasema naomba... Utoke kanisani uende nyumbani nitakwambia kila kitu.
Tukapanga Tena deal kwamba Mimi nikalale kwa Ni Dada in case akipiga simu.Irekodiwe Tena pia aweke roud.Ahakikishe sipo Na aongee yote Halafu akishamaliza.Anipe nimalizane naye.
Why kwa sababu angeweza kuendelea Na mchezo wake wa huku Na huku kupotezeana muda(Mana ana maneno matamu sijapata ona ni rahisi kubuy his lies.
Basi kweli ni kaenda kulala kwa Bi Dada Usiku wa kama SAA 4 akapiga simu akadai kaweka vocha ya kuongea Hata Massa 6
Akauliza 'rafiki ako umemuacha wapi?Dada akajibu tuliachania kanisani.Akauliza Tena hujui kafikia wapi.Dada akajibu sikimfuatilia Tena.Kumbuka tulikubaliana sauti iwe ya kawaida asionyeshe kuchukia wala nini Ili tujue ukweli wote(Na hapo hapo kumbuka Dada aliaminishwa kwamba ndo katoka masomoni aliwai zaa tu mtoto mmoja enzi za ujana.Kumbe ukweli huko huko mkoani ana MTU ambaye ana watoto naye wengine wawili Tena wakiwa wadogo (Mimi alidai watamaliza Na hiyo mama watoto wake nikamwamini)
Baada ya kuhakikisha Mimi sipo akaanza sasa kunichambuaaaa
Jamani alinichambuaaa alinichambuaaaa nikiwa siamni kama ni huyu kila siku anayeniita my Queen,my Love,my Super Bae my World.My Miss World.I couldn't take it.I cried a lot.
Mmoja ya mashtaka yangu ni kwamba Mimi aliniacha kwa kuwa napenda sana kupiga mapicha Yaani nikiwa naye ni maselfie tu.Mara sina kitu nimeanza kazi muda mrefu sina Hata TV(TV yangu ya zamani ilipasuka kipindi tunakutana akaninunulia flat screen ndo anasemelea hapa Mara kuna siku nilinuna nikalala Na skin jeans kitandani akaenda nunua chips samaki cha ajabu nikaamka usiku nikafakamia chips samaki Na kuanza kumsumbua sumbua usiku
Mara aliwai nipa Pesa kwenda kusuka mwenge nikamaliza mpaka ya nauli.
Mara aliwai nipa Pesa jioni akakuta nimenunulia vyombo vya ndani.Akaongea mengi mengi yasiyo leta mashiko
Akamuuliza mbona leo Leo unamwita my love my sweet kama ulimwacha?Na mbona siku naondoka kwako mkoani ndo siku Iyoiyo aliyoingia mkoani unakoishi akadai alilazimisha.
Akamuuliza Tena .VP Na huyo mwanamke uliyezaa naye huko watoto??
Akasema ilikuwa nikwambie tu.Kweli nimezaa naye naye akaanza kutoa sifa zake why amemuachaa akamsemaa akamchambuaaa mengine ya ndani sana.
Mwisho nikamwomba huyo Dada nimalizane naye
Nikapokea simu nikamwambia Bado Mimi nipo Sikuondoka.Yote uliyosema nimeyasikia.Lengo la kubaki kusikia ukweli toka kwako.Sina la kuongeza namwachia Mungu.
Tukazima Na Simu .Tukalala huku akininisimulia Na ya kwake mengine.
Hiyo ndo ilikuwa sauti yangu ya mwisho kwake .
Fundisho.
Kuachana watu wengi wanaachana Na maisha yanaendelea Na wanakutana Na wengine Na maisha yanaendelea ni kawaida why aishi Double life??
Kilichoniumiza ni ile miaka yote hiyo najitunza nikiamini Nina mwenzangu matured nearly 39 years.Anakuwa anacheza michezo ya vijana wadogo.
Je miaka niliyopoteza nikimtegemea yeye naifanyaje..
Je alishindwa vipi kuniambia Im moving on??
Na Nina yake baada ya kunipotezea muda ilikuwa ni nini.
Na je Baada ya kuniumiza angepata nini.
Sasa hapo hatujui.Aliyezaa naye watoto ataendea naye au Na wengine aliogundua mwenzangu akiwa huko Au yupo..
Ushauri wangu kama kuna mwanaume mwenye Roho kama hili ni bora akamkumbuka Mungu japo kidogo.
Binadamu mwenzako anapokulilia kwa kitu kama hicho Huwezi jua Yatakukuta yapi.
It's like Come face to face with unknown person.
I believed, trusted and loved him with all my heart but at the end he did ,what he felt was right without taking a second thought of it.
But I thank God for his miracles...
Da

Dah pole sana dada Ila katika yote Mungu ni mwema na bora uligundua mapema maana angekukondesha sana kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom