Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sasa nimekuelewa kwanini ulitaka kunywa Sumu....
Pole kwa yaliyokukuta, Na pia Hongera kwa kuweza kupata Nguvu za kuvuka yote salama.
Shukrani wa ku share nasi.
aseeeh.....
 
Pole sana Mungu azidi kukutia nguvu na kukusahaulisha akusaidie kupata mwanaume wa kufanana nae akupende kwa kila kitu

Ila wanaume nyie hapana simu 4 usikute hapo kila mwanamke na simu yake
Mimi mwema namfaa Grace kbisa. hadi upole tunaendana... maskini Grace wa watu huyu jamaa wa ngambo hafai
 
Pole sana ndo maana nawaambiaga wanawake wenzangu msithubutu kujitia kiherehere cha kupenda penda....habari ya kupendana iliishia miaka ya tisini huko ...sa hivi mtu akikwambia nakupenda mwambie nakupenda pia basi habari iishie kwenye maneno sio mpaka kwenye nafsi mtakufa bureeeee.....kwangu Mimi hapendwi mtu moyo ulishakufaga ganzi kitaaaambo ....

Pole sana mpenzi mungu akutie nguvu tu
Hivi kupenda anaamua mtu eeh
 
Grace ukuje unaitwa mume mwema ametoka kwa bwana huku
Mimi mwema namfaa Grace kbisa. hadi upole tunaendana... maskini Grace wa watu huyu jamaa wa ngambo hafai
 
Utwambombo Grace. Pole sana. Hayo ndio maisha yenyewe..usione vyaelea ujue vimeundwa. Ukiona watu wawili wameoana na wanaishi pamoja ujue kila mmoja kapita njia zake..Ni kama mchezo wa mpira wa miguu...wapo wengine wameingia fainali kwa matuta...take heart kwamba hukuendelea kuumizwa zaidi ya hapo...better late than never.You should move on
 
Mapenzi hayana kuishi nje wala ndani ni vile mioyo itakavyoendana
sema mim sisomi nje sasa... nipo naranda mbao hapa keko.


nitapendwa kweli kwa unavyoona
 
Jamaniiiiiii!
Pole sana mwaya,yamekukuta mazito kumbe ndio maana ulitaka kujiua!

Ila jamani kwani haiwezekani watu kuachana kwa amani? Yanini kusema madhaifu ya wengine kiasi hicho?

Halafu huyo nae alikuwa na roho ya kimasikini sana,hadi chips alizokununulia anasema? Khaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ana roho yake hadi chipsi khaa
 
sema mim sisomi nje sasa... nipo naranda mbao hapa keko.


nitapendwa kweli kwa unavyoona

Unajua Grace yuko na Jakamoyo, halafu wewe waleta utani....Mume mwema atapewa na Mungu.
 
Back
Top Bottom