Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

ktk simu ya boy wenu liliseviwa jina la huyo bint bila namba mpaka uteseke hivyo kuipata?

Anyway pole sn.
Alipoona namuuliza nani huyu??akaninyanganya Na pia INA Password. Ujumbe niliukuta nilipofungua simu ni simu ile ya kufungua.Na Sijajua ndo alivyoset ukiifungua Na kama kuna Ujumbe unauona.Hivyo niliambulia jina.
 
Wee dada unaonekana peace sana ....basi tu jamaa kaamua kukuvuruga[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nashukuru Mungu kaniumba MTU wa kifurahi kucheka wanizungukao siku nikiwa Na huzuni ni rahisi kunijua.Mana ni MTU wa utani Na kucheka..
Pia kwenye maisha yangu ni rahisi kusamehe sana.
Mfano.Nilikuwa Na ndugu yangu aliyenidhurumu urithi akanunua Nyumba kwa Pesa za wote(hata nilipojua mpaka Leo nipo kimya)
Watu walishangaa sana.
Mungu kanijalia hivyo. Huwa nasamehe hata magumu.Ndo Mana watu wanachukulia Advantage.. Naona ndo Mana Mungu hunisaidia kujua ukweli mapema.Naona Mungu hunisaidie Ili nisiumie sana.Ninachofanya hunyamaza kimya.
 
Daaah...pole sana, kwa sasa hivi tulia kabisa achana na mapenzi kabisa...ukijiingiza now umekwisha!

Kikubwa zaidi mshirikishe M/ Mungu
 
Grase kama ni jina lako halisi liko traceable sana some can take advantage but all in all pole sana. Wanaume waamunifu tupo wachache sana.
Mi Naamini Wanaume waaminifu wapo wengi.Huenda hata huyo wangu ni mwaminifu ila labda aliona anibadilishe(kitu ambacho Sio kibaya)
Ila njia aliyotumia ndo haikuwa ya kiungwana au haikuwa ya kibinadamu.
(Kuacha nikiwa gizani akiendelea kuniita Wife,my love,miaka inaenda.Huku wazo keshalibadili zamani.Hapo ndo palipoleta shida kidogo.(Au alikuwa anaona Aibu kuniambia au Roho ilikuwa inamsuta akikumbuka nilivyomvumilia kwa shida Na raha(I Don't know)ila kama angeamua kuniambia wazi mapema Na Mimi nikaendelea Na mambo mengine.Kidonda cha moyo kisingekuwa kikubwa.Na wala mpaka Sasa nisingekuwa nakunywa Vidonge Na kushindwa kwenda kazini
Mana ilibidi niombe Tena ruhusa japo nilitoka likizo..
Baada ya kuona hali yangu kila siku inabadilika Na kuwa dhaifu Na msingi wa mawazo nilikwenda hospitali.Nikamsimulia Daktari yote yaliyonitokea.Akanipa Dawa ya msongo.Ile ya kupunguza msongo.Na kutokana Na hali niliyokuwa nayo siku Naomba ruhusa Kazini.Boss aliniruhusu Mara moja.
(Ila aliuliza tu vp ulikosema unaenda kutambulishwa nikamjibu Bado kwa kuwa niliumwa(Mana ningeanzia wapi kumsimulia)
So mpaka Sasa naandika hapa Bado nipo mapunziko Ili niweze kurejea hali yangu ya kawaida Na nirejee kazini.
Tukio hili limenifanya nijione mnyonge sana sana.
 
I feel sorry but if that is your true name huna haja ya kumficha bosi wako perhaps ktk watu 7000+ waliosoma huu Uzi bosi wako alikuwa wa kwanza. Again I feel very sorry for what happened.
 
Sio jina langu Common.Na sidhani kama ni MTU wa Jf.
Ila ninachojua kwa hakika ni kwamba mhusika JF ni sehemu yake ya kupitia kila siku.Na hii thread atakuwa amesoma ama anasoma.Hii ni muhimu kwa siku za usoni asimtendee MTU mwingine hivi .
Kama nilivyomwambia siku ile kwamba Namwachia Mungu.Kwa sababu kila binadamu aliyekamilika anaitaji aanzishe familia yenye furaha.Nilikuwa Na nafasi nyingi za kufanya hivyo nilipoyoka chuo au wkt nasoma .Nikamfikiria yeye.Hata niliposema No let me move on.Alinijia kwa nguvu zote nikamrudia nikamsubiria.
Nikawa loyal to him.
Na Bado aliporudi Hakuona kama ni binadamu.Akaendelea kupanga mipango fake Na Mimi.
Nashukuru.
 
Pamoja na yote, mapenzi haya ni magumu sana usiombe yakukute! Kuna watu wapo kwenye hii dunia kwa malengo ya kuumiza wengine... Pole my dear!
 
Kwa asilimia nyingi naye wakati yupo nje nawe kuna jamaa walikuwa wanakusalandia.Uligoma tu kuolewa nao Ila kupiga walipiga.kuna vitu vingine umeficha
 
Back
Top Bottom