Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Huwa hamkubali nyie, yaani utaskia maneno ya ajabu ajabu! kwani huyo hakutoshi?? mimi sitaki ku-share. Nina wangu yaaani ndio tunaona eeehhhh tabu za nini?? tunadanganya mpaka wanashika adabu zaoHapana hatuwatosi, tunakubaliana tu.