Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Yaan uniunganishe mwanaume hapana mm najiunganisha mwenyewe wa zurich atafute wa ukouko kwao
Wewe unanipoteza... hutaki kuongea na mupenzi ako Zurich? sema ukweli wako nikuunganishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu yupo toka jana si umeona kesho anageuza hivi ningekufa uko njiani mm nisafiri kweli halafu nife watu wanirithi hapana jamani
Halafu na warithi hawatokagi mbali shoga haohao wa jirani yako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati huo ww madudu vule yana kukula yeye anakulwa na vitam...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona eeenh hapana kabisa acha niendelee kula raha jiji la makonda
Halafu na warithi hawatokagi mbali shoga haohao wa jirani yako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati huo ww madudu vule yana kukula yeye anakulwa na vitam...
 
Back
Top Bottom