Sitasahau kaka yangu alipooa mshirikina

Joka jeusi anakomalia bikra. Mie nakomalia kuwa kijana unayejipenda sio ukutane na binti mjini unaoa haujui chimbuko na ukoo wake wote ukoje.rudi kwenu ulikozaliwa ulikolelewa ongea na wazazi sio kuwa kisa una elimu darasa kuwazidi basi na elimu dunia umewazidi.

Huko utakutana na babu zako wanaijua ukoo fulani a2z so ukipenda binti lete jikoni jadiliana nao ujue mbivu na mbichi.
Ila Kama unaoa sura,Mara elimu Mara kazi Mara kimo na unajiona wajua kuliko walioishi kabla yako wewe. Oa mjini mkuu afu kamuonyeshe kwenu.

Unaoa mtu hata haujui kizazi chake Cha nne kurudi nyuma kikoje.
Binafsi I was so sensitive na Koo nayotaka kuchanganya nayo damu ili niunde ukoo wetu.so wewe paramia kisa kadrigii kako sijui kamoja,tuwili,ama tutano unadhani ndo maisha.
Kuna nyanja ikifikaa unatakiwa uwe mjinga uwasikilize wakubwa.
 
Wakuu mmebarikiwa Sana sana na Mwenyezi Mungu.

Moja Kwa moja kwenye hoja. Aisee hizi ndoa hizi bro alioa mdada mmoja WA kisukuma toka kahama Dada alikuwa na mashauzi hatari kulinga Kama kote akaweza kumtawala na mama mkwe wake yaani akamaliza Kila kitu kwani Wana familia wote tukawa tunaonekana makapuku tuu.
Aisee wewe ni muongo wa hatari,uganga ni uongo na huyo mganga mliemleta nae muongo
 
isee wewe ni muongo wa hatari,uganga ni uongo na huyo mganga mliemleta nae muongo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sawa mimi NI MuoNgO MaanA wewe Ni MwAnaFamilia Yetu NA UkweLi Unaujua basi waelezee watu humu ukweli ni upi kuhusu bro na aliyekuwa mkewe na ueleze ukweli ni upi kuhusu huyo mganga.

Uzuri Mimi bnafs sipo upande WA waganga niliamua kumuamini Mungu toka nikiwa kidato cha sita nilijiweka pemben kbs na waganga lakini hainifanyi kuwabeza wanakwenda kutatua shida zao na bro hakuletewa mganga nyumbani Ila alisafiri Safari ya mbali toka huko alipokuwa mpk Kwa mganga kilichofanyika huko sjui Ila Mimi nimesema niliyoyaskia Kwa kunywa chake mwnyw. Kama ww unaona ni uwongo au pengne nashawishi watu waende Kwa waganga ndugu unanikosea maana Mimi hata huko kwa mganga siwezi kwenda
 
Wakuu mmebarikiwa Sana sana na Mwenyezi Mungu.

Moja Kwa moja kwenye hoja. Aisee hizi ndoa hizi bro alioa mdada mmoja WA kisukuma toka kahama Dada alikuwa na mashauzi hatari kulinga Kama kote akaweza kumtawala na mama mkwe wake yaani akamaliza Kila kitu kwani Wana familia wote tukawa tunaonekana makapuku tuu.

Kuna kipindi bro alienda kusoma mkewe akamuacha nyumbani tukawa Naye pale kwenye nyumba ya familia mmmh mdada muda wote kalala ye ni Sisi wanaume tumpikie na tumuamshe ale na tuoshe vyombo hazungumzi na mtu wala kucheka na mtu zaidi ya ma mkwe wake Tu.

Bro alipomalza masomo wakaenda mkoa mwingine kuishi huko aisee Kila mtu aliogopa kwenda kumtembelea bro hata kama tusikie anaumwa ni mama ake Tu ndo alikuwa anapenda.

Sister aliwahi pita zake huko akiwa njiani anaenda mkoa mwngn sjui walizinguana nini eeeh usiku nasikia alitupiwa mabegi yake nje na bro alikuwa Hana say yaani sjui Alifanywaje na Yule mwanamke.

Sasa matukio mazito yakaanza Kwa ma mkwe wake dada alikuwa ana Roho mbaya Sana kuna siku ma mkwe wake sjui walizinguana nn aisee naposema mkwe wake namaanisha mama ake na bro na mke WA bro sjui lilitokea nini huko wakaanza rushiana maneno mazito mwisho mdada akamwambia mama mkwe wake tutaona Kati yangu na wewe ni Nani zaidi Kwa mume wangu. Ilikuwa shughuri.

Siku moja Yule mdada alijifungua ikabidi mama mkwe wake aende kumsaidia eeeh tukaambiwa ma mkwe akipika uji au mtori mka mwana hanywi Naye anainuka anapika vya kwake anakunywa.

Ikifikia hatua ma mkwe akienda kuwatembelea anafikia guest kama ni wiki basi wiki atakaa guest na bro Hana say kbs yaani haelewi.
Aisee siku moja mtoto mkubwa WA bro ambaye ni binti alimuita baba ake akamwambia usione mama vile ananipiga Sana sababu si kwamba nakosea, Ila mara nyingi usiku huwa ananipeleka kusikojulikana Ila huwa naona watu wengi Sana wakiwa uchi na mama anachukua furushi kubwa ananipa nichukue mkononi mi huwa nakataa na sijawahi kukubali kabisa japo hakati tamaa hiki ndo kisa cha kunipiga mara Kwa mara.

Kauli Ile ilimstua Sana bro ikabidi akili ifunguke sasa kwani ilifikia hatua bro akawa analazwa chini na kufanyishwa kazi zote za ndani ilikuwa ukikutana Naye huwez Amini ukiambiwa anafanya kazi Fulani kubwa Tu Yuko chakali amekonda.

Hali ilikuwa Tete bro ilibidi apambane akishirikiana na mama ake wakampata mtaalam mmoja aisee kumbe Yule mkewe alikuwa mchawi na uchawi alirithishwa na mama ake Naye alitaka kumrithisha mtoto wake.

Bro anasema alikuwa anashangaa akirudi nyumbani mkewe anamwambia Kila tukio bro alilofanya kazini yaani Kila kitu mpka chakula alichokula ilimpa shida sana.

Baada ya kutoka huko Kwa mtaalamu aliambiwa akirudi pale kwa Yule mkewe ndo utakuwa mwisho WA maisha yake siku hiyo ikabdi bro apambane kutoa talaka jpo Yule mwanamke alisumbua Sana bt mwisho WA siku waliachana lakini Kwa jasho na damu.
Hizi ndoa hizi iweni makini mnapotaka kuoa chunguzeni Kwa umakini Sana.
Sikiliza weye shemeji wa mchawi;
Ukiwa unaandika, andika kama unaandika.Siyo kama unaongea.Umeelewa?
 
Ukitaka kumjua mwanamke mchawi fanya hv ikifika usiku saa 9 mmelala kitanda kimoja mshike mkono wa kushoto ukiona wa moto piga chin haraka sn tatizo lenu hamkai maskan mshana jr kaongeq sn humu hata udi kuchoma hujui
 
So wakeshe sababu ya kumchunguza MTU mkono wake wa kushoto.Yaan hapa tushauriane watu waache uchawi ..afu ni usen*e sana huo,maisha yatupige nanyi mtuzingue.Nasema coz jamii ndo hii hii wamo humuhumu,wanatuchora tu tunavyolalama
 
Eti watu waache uchaw never ever uchaw ulujuwepo miakq ming sn BC na unasemekana ulishushwa kutoka juu na malaika na kuna simulizi zinadai uchawi sio shida shida ni ww unautumiaje mfamo waganga wote ni wachaw ila wanautumia kusaidia watu wapo magwiji wa uchawi lkn hawakuwah kuzuru watu uchawi hutumiwa mpka na majesh kulinda nchi uchawi hautoisha kamwe cha msing kuomba mungu akupr uelewa japo kidogo tu
 
Ukitaka kumjua mwanamke mchawi fanya hv ikifika usiku saa 9 mmelala kitanda kimoja mshike mkono wa kushoto ukiona wa moto piga chin haraka sn tatizo lenu hamkai maskan mshana jr kaongeq sn humu hata udi kuchoma hujui
Hiyo saa tisa usiku utamshika mkono kwa namna ipi?mimi nilikuwa nikilala saa 5usiku kuja kushtuk saa11alfajr,mshenzi yule mwanamke nahisi alikuwa ananipiga usingizi wa kichawi.
 
all in all jaman kuoa mchawi ni shida kwa ndoa na kwa familia pia...mimi mwenyewe mhenga kaka yangu alioa mchawi jamani huyu bi wifi alitutesa balaa, ashukuriwe Mungu ambaye anatulinda bila kujua japo tuna madhambi. Cha kushangaza sijui wachawi hawajielewi au ndo wameamua maisha wanayoishi maana wanaishi maisha magumu mnoo asikuambie mtu. yeye mchawi na kizazi chake chote kinateseka kwa ajili ya uchawi wao. Mimi shangazi zangu wanaishi maisha magumu mno jambo ambalo ni sababu ya mama yao bila kujua.

Na wataendelea kuteseka kama hawatamrudia Mungu na kujitenga na maagano ya mama yao,,,ninachosikitika ni kwamba hadi kaka angu kaingizwa kwenye hizo laana.

NB: Hakuna mchawi alishatoboa kwenye maisha ,,,acha wapambane na nyungo zao.
 
Wakuu mmebarikiwa Sana sana na Mwenyezi Mungu.

Moja Kwa moja kwenye hoja. Aisee hizi ndoa hizi bro alioa mdada mmoja WA kisukuma toka kahama Dada alikuwa na mashauzi hatari kulinga Kama kote akaweza kumtawala na mama mkwe wake yaani akamaliza Kila kitu kwani Wana familia wote tukawa tunaonekana makapuku tuu.

Kuna kipindi bro alienda kusoma mkewe akamuacha nyumbani tukawa Naye pale kwenye nyumba ya familia mmmh mdada muda wote kalala ye ni Sisi wanaume tumpikie na tumuamshe ale na tuoshe vyombo hazungumzi na mtu wala kucheka na mtu zaidi ya ma mkwe wake Tu.

Bro alipomalza masomo wakaenda mkoa mwingine kuishi huko aisee Kila mtu aliogopa kwenda kumtembelea bro hata kama tusikie anaumwa ni mama ake Tu ndo alikuwa anapenda.

Sister aliwahi pita zake huko akiwa njiani anaenda mkoa mwngn sjui walizinguana nini eeeh usiku nasikia alitupiwa mabegi yake nje na bro alikuwa Hana say yaani sjui Alifanywaje na Yule mwanamke.

Sasa matukio mazito yakaanza Kwa ma mkwe wake dada alikuwa ana Roho mbaya Sana kuna siku ma mkwe wake sjui walizinguana nn aisee naposema mkwe wake namaanisha mama ake na bro na mke WA bro sjui lilitokea nini huko wakaanza rushiana maneno mazito mwisho mdada akamwambia mama mkwe wake tutaona Kati yangu na wewe ni Nani zaidi Kwa mume wangu. Ilikuwa shughuri.

Siku moja Yule mdada alijifungua ikabidi mama mkwe wake aende kumsaidia eeeh tukaambiwa ma mkwe akipika uji au mtori mka mwana hanywi Naye anainuka anapika vya kwake anakunywa.

Ikifikia hatua ma mkwe akienda kuwatembelea anafikia guest kama ni wiki basi wiki atakaa guest na bro Hana say kbs yaani haelewi.
Aisee siku moja mtoto mkubwa WA bro ambaye ni binti alimuita baba ake akamwambia usione mama vile ananipiga Sana sababu si kwamba nakosea, Ila mara nyingi usiku huwa ananipeleka kusikojulikana Ila huwa naona watu wengi Sana wakiwa uchi na mama anachukua furushi kubwa ananipa nichukue mkononi mi huwa nakataa na sijawahi kukubali kabisa japo hakati tamaa hiki ndo kisa cha kunipiga mara Kwa mara.

Kauli Ile ilimstua Sana bro ikabidi akili ifunguke sasa kwani ilifikia hatua bro akawa analazwa chini na kufanyishwa kazi zote za ndani ilikuwa ukikutana Naye huwez Amini ukiambiwa anafanya kazi Fulani kubwa Tu Yuko chakali amekonda.

Hali ilikuwa Tete bro ilibidi apambane akishirikiana na mama ake wakampata mtaalam mmoja aisee kumbe Yule mkewe alikuwa mchawi na uchawi alirithishwa na mama ake Naye alitaka kumrithisha mtoto wake.

Bro anasema alikuwa anashangaa akirudi nyumbani mkewe anamwambia Kila tukio bro alilofanya kazini yaani Kila kitu mpka chakula alichokula ilimpa shida sana.

Baada ya kutoka huko Kwa mtaalamu aliambiwa akirudi pale kwa Yule mkewe ndo utakuwa mwisho WA maisha yake siku hiyo ikabdi bro apambane kutoa talaka jpo Yule mwanamke alisumbua Sana bt mwisho WA siku waliachana lakini Kwa jasho na damu.
Hizi ndoa hizi iweni makini mnapotaka kuoa chunguzeni Kwa umakini S
 
Kissa hiki Cha bro wako kinafanana Kwa kiasi Fulani na yaliyowahi kunipata baada ya kumuoa mwanamke wa kichaga mwenye muonekano wa kilokole...kumbe mchawi konki aliyetaka kuutoa uhai wangu...nikanusurika Kwa kudra za Mwenyezi Mungu Jamani uchawi upo na wachawi wapo Tena siku hizi ni mabinti au vijana wadogo wadogo huwezi amini
 
Duh kumbe haya mambo ni sereous...sasa sisi ambao hatujaoa tufanyaje sasa tukitaka kuoa
 
Back
Top Bottom