Sitasahau kaka yangu alipooa mshirikina

Wakuu mmebarikiwa Sana sana na Mwenyezi Mungu.

Moja Kwa moja kwenye hoja. Aisee hizi ndoa hizi bro alioa mdada mmoja WA kisukuma toka kahama Dada alikuwa na mashauzi hatari kulinga Kama kote akaweza kumtawala na mama mkwe wake yaani akamaliza Kila kitu kwani Wana familia wote tukawa tunaonekana makapuku tuu.
Na wewe pia uliponea kwenye tundu ya sindano kwa mha wako. Mnaishi wapi mpaka mnakutana na watu wa ajabu hivi?
 
Ukitaka kumjua mwanamke mchawi fanya hv ikifika usiku saa 9 mmelala kitanda kimoja mshike mkono wa kushoto ukiona wa moto piga chin haraka sn tatizo lenu hamkai maskan mshana jr kaongeq sn humu hata udi kuchoma hujui
Sasa akiwa kazini na Yeye si anakupa usingz mzito usiamke
 
Mi niliishi nae na nilimgundua wiki ya kwanza tu kuja ghetto, nilikuta kikaratasi ameandika jina langu afu mbele jina lake then jina langu hivyo hivyo karudia kama mistari saba hivi, ila kiukweli kama kuna watu siwaogopi kwa sababu na uhakika hamna kitu wanaeza nifanya ni wanawake washirikina.
Nilimvumilia ila kichwani nilishaweka akilini kwamba ni mwanamke ambaye siwezi, sitoweza kuishi naye nlikuwa namuobserve tu nijue washirikina wanafananaje. Ila kilichonifanya nimtimulie mbali ni uchafu washirikina ni wachafu na ukiwa na mwanamke mshirikina ndani mwako hamna baraka ya Mungu itakosea njia iingie hapo, ni michafu hii mijitu Acha kabisa.
NB. Nilichojifunza katika research yangu
I) hawa wanawake washirikina wana nuksi na mikosi ukiishi naye utapata pesa kwa shida sana na ukiipata anakuwa tayari kakutajia vitu anavyotaka umnunulie hivyo hata hiyo hela umnulie usimnunulie hauta ona ilipoenda utajikuta tu umeishiwa (mahitaji anayokutajia sio mahitaji ni manuizi)
2) wanapenda kukuchokoza, kufanyia maksudi/drama ilimradi akutibue tu anakutingisha kama umejaa (kuna siku nlitaka nimtwange nyundo ya bichwa hapo ndo wazo la Kimungu likanijia nimtimue aende kwao)
3) asilimia kubwa ya wanawake washirikina wanakimoja au vyote kati ya hivi, ujinga yaani shule hamna au failure na umasikini yaani halo ngumu ya familiar wanazotoka, sisemi wakishua hawana hizo mambo ila mpaka mtoto wakishua akufanyie hivyo labda uwe umemzidi kipato au umaarufu unless otherwise atakuwa anataka kukutoa kafara atajirike yeye.
Angalizo: ukigundua mwanamke wako Ana haya mambo timua bila hata kuomba ushauri mahali, la sivyo ipo siku yatatokea majanga mkubwa zaidi either akumalize au ummalize.
Nitaandaa uzi ni namna gani nilimgundua na ni mambo gani huwa wanapenda kufanyia labda itawasaidia wanaume wenzangu kutuepusha na hili janga.
 
Mi niliishi nae na nilimgundua wiki ya kwanza tu kuja ghetto, nilikuta kikaratasi ameandika jina langu afu mbele jina lake then jina langu hivyo hivyo karudia kama mistari saba hivi, ila kiukweli kama kuna watu siwaogopi kwa sababu na uhakika hamna kitu wanaeza nifanya ni wanawake washirikina.
Nilimvumilia ila kichwani nilishaweka akilini kwamba ni mwanamke ambaye siwezi, sitoweza kuishi naye nlikuwa namuobserve tu nijue washirikina wanafananaje. Ila kilichonifanya nimtimulie mbali ni uchafu washirikina ni wachafu na ukiwa na mwanamke mshirikina ndani mwako hamna baraka ya Mungu itakosea njia iingie hapo, ni michafu hii mijitu Acha kabisa.
NB. Nilichojifunza katika research yangu
I) hawa wanawake washirikina wana nuksi na mikosi ukiishi naye utapata pesa kwa shida sana na ukiipata anakuwa tayari kakutajia vitu anavyotaka umnunulie hivyo hata hiyo hela umnulie usimnunulie hauta ona ilipoenda utajikuta tu umeishiwa (mahitaji anayokutajia sio mahitaji ni manuizi)
2) wanapenda kukuchokoza, kufanyia maksudi/drama ilimradi akutibue tu anakutingisha kama umejaa (kuna siku nlitaka nimtwange nyundo ya bichwa hapo ndo wazo la Kimungu likanijia nimtimue aende kwao)
Angalizo: ukigundua mwanamke wako Ana haya mambo timua bila hata kuomba ushauri mahali, la sivyo ipo siku yatatokea majanga mkubwa zaidi either akumalize au ummalize.
Nitaandaa uzi ni namna gani nilimgundua na ni mambo gani huwa wanaenda kufanyia labda itawasaidia wanaume we zangu kutuepusha na hili janga.
Nimekaa seat ya mbele kabisa ukija na bandiko lako usisahahu kuni tag
Pole sana mtu wa Mungu
 
mie hao wachawi adimu ndo nawapenda km kuna mtu anamjua mchawi anitonye!!.....wachawi popote mlipo jitokezeni!! yaani mie nakupeni ushiirikiano mwanzo mwisho mkuje huku kwangu!!

tutaanzisha collabo hatare sana!! lazima tutajirike yaani ntaiba hela hee wee acha tu!...sasa mie ntaiba ofisini mpaka wakome!
 
Ulivyoelezea nimetoka machozi yaani mkasa wa bro wako na mimi tofauti ni kabila la mwanamke,mimi mke wangu alikuwa mpare lakini matukio yote yanafanana,nilimpa talaka kwa kuvizia aliaga anaenda kwa dada yake kusalimia nikampiga red card juu kwa juu,pia alijaribu kumrithisha uchawi binti yetu,si hivyo tu watoto wa kwanza walikuwa mapacha walifariki ktk mazingira tatanishi kumbe mwenzangu katoa kafara ili apate cheo kwny chama chao cha uchawi,yaani ukimwona huyo mwanamke jinsi alivyo na matukio anayofanya unaweza sema anasingiziwa.namuonea huruma sana jamaa furani anaekwenda kumuoa hivi punde.
Dah pole sana mkuu huu mkasa unatisha
 
Imebidi nichangie kwsbb nmeona ‘mpare’ wadada wa kipare ni hatari jmn! Km sio mchawi basi mshirikina!
Kakangu mtoto wa shangazi alipelekeshwa sana na ni mahusiano tu! Alikuja tu kushtuka baada ya kukuta vitu vimeandikwa kiaarabu na majina yake ndo aliposhtuka!
Hao watu hapana staki hata mazoea nao
 
Ukitaka kumjua mwanamke mchawi fanya hv ikifika usiku saa 9 mmelala kitanda kimoja mshike mkono wa kushoto ukiona wa moto piga chin haraka sn tatizo lenu hamkai maskan mshana jr kaongeq sn humu hata udi kuchoma hujui
Ukiskia wamoto kama kuni ama moto wake unakuwaje?
 
Back
Top Bottom