WanaJF, nimeamua kutoshiriki kupiga kura kwa chaguzi zijazo hata kama nitapoteza haki yangu ya msingi, unless otherwise, Katiba ya Uchaguzi ibadilishwe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa Tume huru ya Uchaguzi. Nimeamua hivyo kwa msingi kwamba ninapoteza muda na haki yangu ya kumchagua mgombea nimtakaye lakini NEC wanalazimisha kuwachagua wagombea wao (CCM):sad:.
Nawasilisha kwa majadiliano.

yaani kwa kufanya hivyo hamna tofauti na kujiunga na ccm. Watawala wengi wanang'ang'ania madarakani kwa hila wanawafahamu wapiga kura watasusa kama wewe nao wataendela kutesa tuu.wanajf, nimeamua kutoshiriki kupiga kura kwa chaguzi zijazo hata kama nitapoteza haki yangu ya msingi, unless otherwise, katiba ya uchaguzi ibadilishwe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi. Nimeamua hivyo kwa msingi kwamba ninapoteza muda na haki yangu ya kumchagua mgombea nimtakaye lakini nec wanalazimisha kuwachagua wagombea wao (ccm):sad:.