Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Aaah na uvumilivu usio na kikomo. Maana bila hivyo tutachoka tu khaaaTena kazi sio kidogo, Mungu atupe busara tu kwakweli, na inabidi atuumbie mioyo ya bati.
Aaah na uvumilivu usio na kikomo. Maana bila hivyo tutachoka tu khaaaTena kazi sio kidogo, Mungu atupe busara tu kwakweli, na inabidi atuumbie mioyo ya bati.
Teh ngoja aje brod darlin, ila na yeye atakujibu wanawake na wanaume tumeumbwa tofautiNa nilitaka aliongee hili ili awape experience ila nikawa namshangaa anazunguka zunguka tuuuuu, ila afadhali mwisho wa siku kafunguka. Bado Eli79 ndio simuoni sijui yuko wapi huyu darling ex wangu.
Napata tamu huku hebu niache we mtoto.Na nilitaka aliongee hili ili awape experience ila nikawa namshangaa anazunguka zunguka tuuuuu, ila afadhali mwisho wa siku kafunguka. Bado Eli79 ndio simuoni sijui yuko wapi huyu darling ex wangu.
Teh ngoja aje brod darlin, ila na yeye atakujibu wanawake na wanaume tumeumbwa tofauti
Napata tamu huku hebu niache we mtoto.
Aaah mito Weeee nimesoma hadi nimesmile. Mungu akubariki na akupiganie ukazidi kuwa na hofu yake ndani yako. Angekuwa mwanaume mwingine basi hiyo miezi unayokuwa mbali na wife ungekuwa ushapata wife number 2 na watoto wengi tu.
Aaah ila na yeye haaminigi katika kuchepuka. Sasa leo sijui kawaje kuanza kusupport wanawake kulaumiwaSijui wapi tuliwahi kusema tumeumbwa sawa!
Hahahaaaa! Hivi unaijua tamuu wewe au unaisikia? Hata hii ntf usingeiona.
Hongera sana kwa hilo mkuu. Maana wengine kila siku wanapewa but hawaridhiki.. Mungu azidi kukushindia majaribuUmeona eeh, yaani acha kabisa, bila hofu ya Mungu no way nakwambia
Aaah ila na yeye haaminigi katika kuchepuka. Sasa leo sijui kawaje kuanza kusupport wanawake kulaumiwa
Nakuvutia picha tu hapa kwa ghetto!!Sijui wapi tuliwahi kusema tumeumbwa sawa!
Hahahaaaa! Hivi unaijua tamuu wewe au unaisikia? Hata hii ntf usingeiona.

Hahhahaha kumbe mito ni hubby material. Sielewi kwa nini anawatetea wenzie kuwa hawana choices. Ingekuwa hana hofu ya Mungu, kukaa mbali na mkewe kwa few months tu ingekuwa justification ya kucheat.
Lazima utakuwa unamapungufu makubwa wewe binafsi kushindwa kujenga nyumba yako vema na kujenga za watu tu na kujiona wewe na mwenza wako ni wakamilifu.
Zaidi huenda ulikesha kujenga za watu ukasahau na yako pia, hata kujiombea na kumuombea mwenza wako pia.
Si mtetei mumeo hata kidogo kuwa alichokifanya ni cha mbolea, la hasha! ila wewe ndiye chanzo hasa wa haya yote kwa kukosa muda wa kuwa na mumeo kwani ni wazi hukupata muda wa kukaa na familia yako na kutoa muda na mwanya kwa shetani kuingilia ndoa yako.
Ushauri wangu kwanza usiwe mnafiki eti unavunga au kupotezea kisicho wezekana hasa kwa umri wako uliokuwa nao, mtumie mchungaji uliyekuwa naye pamoja na wadhamini wa ndoa wa kusaidie kujenga nyumba yako kwa kushindwa peke yako ili muweze kuwalea watoto wenu.
Nakuvutia picha tu hapa kwa ghetto!!![]()
![]()
Yaan mume wangu tangu tuoane sikuwahi kumuomba pesa ya mahitaji yangu au matumizi binafsi. Na hata mahitaji na majukum ya ndan ada za watoto nk tulikua tunasaidiana. Nguo, viatu nk nilijitahidi kumpamba hajui kununua soks underwear, mikanda sendoz vest nk. Nikienda kufanya shoping namfanyia hii ni kwa sababu nilikua nampenda na kumjali sana. Lakin tangu nigundue naishi na mtu asijua kupendwa ni nini. Nimesitisha mambo mengi sana.
Nimekuelewa sana my kaka. Mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia. Honestly tunahitaji sana wanaume ambao wanaweza wakasimama na kuponya ndoa zao. Mungu akaendelee kuwabariki, mkawe shuhuda nzuri daimaUjue Heaven Sent mi niko humu tangu 2011, nilishaongea sana suala hili mara kibao tu hadi nikaja kugundua many people are not interested coz they are not belivers and so do not realize the power of God. Siku ukipata muda jaribu search humu mada za zamani za cheating, michepuko etc utakuta comments zangu kuhusu nachokisema. Baada ya kugundua hayo nikaona basi mi nitaendelea kupromote point yangu kupitia signature yangu, ndo maana iko hivyo enzi na enzi ili macho aweze kuona mwenye sikio aweze kusikia. Nakumbuka wenye mtanzamo huu pia walikuwa Himidini, Eiyer, na Watu8 kama sikosei
So siyo kwamba nawatetea wanaume bali nawashaurigi wadada kuchangua God fearing men. Tatizo pia nilikuja kugundua kuwa kumbe hata wadada wenyewe siyo God fearing, hawako deep kwenye dini, so point yangu huwa haiwaingii kisawa sawa. Matokeo yake hawaitumii wakati wa kufanya choice ya mr right. Wanaiona ya maana ndoa au mausiano yao yakishabuma ndo wanakimbilia kwenye maombi huko makanisani, nadhani hata wewe umeandika mahali hii kitu khs walivyojazana huko kwenye maombi.
cc atoto mchokonoaji
Hahahha boss umeniwahi, nilitaka nikuite mweee
...yako siisahau ujuwe..! Ina kitu tofauti...Yamekuwa hayo tena!! Yaani unakula tamuu huku ukinivutia picha?

Loh!!! Nyie watu nikiwawaza, kwangu Mungu hausike kwanza loh!!! Mmekuwa mwiga mioyoni mwetu.
Mim sijui kwanin kila mwanamke ninaekutana nae, ninayemuona, wengi wameachiwa majeraha na nyie watu. Mmmh!!