ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,240
- 1,102
Omba yasikukute....
mito njoo huku
Bora umuite.....
Maana anasemaga kuwa tunatetea wanawake.....
Juzi kati hapo kuna mwanamke kalalamika mumewe anabaka ndugu za mkewe.........(sio jf)
Bora umuite.....
Maana anasemaga kuwa tunatetea wanawake.....
Juzi kati hapo kuna mwanamke kalalamika mumewe anabaka ndugu za mkewe.........(sio jf)
Hapana mkuu, mi nasemaga mnafanya wrong choice kupata mwenza. Si unaona mwenyewe hapo juu umesema vizuri kuwa kuna wanaume wana adabu zao. So why not choose these you ladies??!!
cc atoto
Jamaa hajakukuna pazuri tu, utayatamani
Asante wote. Ni kweli sio ndoa zote mbaya lakin asilimia kubwa za ndoa ni maumivu. Mke akiwa mwema mume mkorofi. Mume akiwa mwema mke mkorofi. Jaman sijui kwanini huwa tunasahau upendo wa mwanzo. Yana mume wangu
Tangu ndoa ilipopoteza maana na kuwa chombo cha maadili imekua tafrani.
Ndoa ni ndoto yangu, ndoa ndoa
Ndoa ni ombi langu, ndoa ndoa
Ni usafiri wa ndoto yangu ndoa ndoa
Ni mpango wa Mungu wangu,ndoa ndoa
Lakini imegeuka mwiba, ndoa ndoa
Imeua maono yangum ndoa ndoa
Imekuwa ni mateso kwangu ndoa ndo
NAIMBA TU MIMI JAMANI.
Duh, aisee I can imagine unavyoumia sista atoto
Sina cha kusema zaidi, nadhani unaweza kukumbuka kile kigezo cha ucha Mungu tulichokuwa tunajadili siku ile na 'mfanyakazi wako' Heaven Sent, pia nikahusisha na maneno ya kwenye signature yangu.
Otherwise ni wanaume wachache sana, tena sana wanaweza kushinda dhambi ya uzinzi
Jamani jamani jamnani!! Hivi kwa hilo lililotokea hata huo mkuno mzuri unaouongelea unadhani unakuwa na hamu nao!! Genye zote zinakata! Usiombe yakukute.
Dada wanaume ni wahuni sana kumbe ulikua hujui? Sasa ulikuwa mshauri wa ndoa wakati bado hujafuzu vidato sasa hivyo ndio vidato ukishauri ndoa utatoa ushauri vizuri poyeeeeee