Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa

Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa

Hivi unadhani kwenye hili mito atakubali tatizo lao? Yeye matatizo ni ya wanawake tu!

I knew it!

Ujue sista nami naongea kwa experience kama wewe, ila sijasema kuwa matatizo ni ya wanawake (hapo kwa red panahusika), sijasema nyie ndo mna matatizo na wala sijasema wanaume hawana matatizo. Kwa taarifa yako wanaume problematic ndo wengi kuliko watulivu. Hawa wa watulivu ni wa kumulika na tochi kama walivyo wife material.

My point is because you are the one who receives applications na scrutize them, then you stand a good chance of coming up with be best out of those applications, so you can avoid bad guys and common problems related to relatioships.
 
Njoo nikuoe my lady.
Nitatembea na ndugu zako wote. Mahaus geli wote nitawapitia.

Loh!!! Nyie watu nikiwawaza, kwangu Mungu hausike kwanza loh!!! Mmekuwa mwiga mioyoni mwetu.

Mim sijui kwanin kila mwanamke ninaekutana nae, ninayemuona, wengi wameachiwa majeraha na nyie watu. Mmmh!!
 
Wengi tumeaminishwa na kuamini kuwa kuna "wadhambi na watakatifu" miongoni mwetu. Hili ndio chanzo cha wengi kuumia ktk mahusiano. Aminini nawaambia kwa hulka zetu sisi waafrika ni wanafiki, bila kuacha unafiki mahusiano yatabaki kuwa "Ziwa liwakalo moto"

Wenzetu weupe ni wazazi, anapoona mwenzake kaanguka hukaa pamoja na kujitathimini, si ni mwili mmoja. Wakiona mambo yanajirudi huamua kuachana tena kwa vifijo na ndelemo.

Kwa kumtelekeza mumeo umejiweka upande wa watakatifu. Huyo ni mumeo, mpaka akatembee na HG na mtoto wake na wewe upo hapo pasina kujua basi kuna upande na wewe hukutimiza wajibu wako.
 
Pole sana dadaangu,aisee wanaume wengine ni mbwa,jamani anatembea na mtoto wa kaka yako,inauma sana
 
Ujue sista nami naongea kwa experience kama wewe, ila sijasema kuwa matatizo ni ya wanawake (hapo kwa red panahusika), sijasema nyie ndo mna matatizo na wala sijasema wanaume hawana matatizo. Kwa taarifa yako wanaume problematic ndo wengi kuliko watulivu. Hawa wa watulivu ni wa kumulika na tochi kama walivyo wife material.

My point is because you are the one who receives applications na scrutize them, then you stand a good chance of coming up with be best out of those applications, so you can avoid bad guys and common problems related to relatioships.

That aint enough my kaka, bado tunasaidiana ktk kutambua kuwa sote tumefanya chaguzi sahihi, hata kama choice itakuwa right bado kama hakutokuwa na "mahusiano" baina yenu bado mabalaa yatawaandama tu, na kama bado utakaa kusubiri nikosee ili unizodoe kisa nilikuchagua eti mimi ndio mwenye makosa basi tunarudi kulekuleeeee. Jitambueni mturahisishie kazi ya kuwasaidia.
 
Hapana hebu kumbuka mwanamke pekee ndio atakiwa kuwa mcha Mungu, (according to you), maana ndio wanaofanya choices, nyie si mnabeba tu ilimradi kakuvutia mvuto wa nje.

We sista sasa nakupiga bana!! mbona hunielewi hivyo??!! wapi nimesema mwanamke pekee ndo anatakiwa kuwa mcha Mungu? Halafu hii ishu ya kuchagua mwenye hofu ya Mungu tuliijadili sana siku ile tukaenda sawa, leo naona kama unachanganya madesa.

Haya mi nakupa mfano wangu sasa. Mimi kwa sababu ya majukumu ya kazi sikai na wifi yako for like 4 to 8 months kila mwaka. Lakini sichepukagi kwa sababu ni dhambi kwa imani yangu, so namuogopa Mungu na siyo wifi yako, coz najua wifi yako naweza kumficha kirahisi na asijue miaka nenda rudi uje. Lakini naamini Mungu ananiona po pote pale nilipo. So you can see point yangu ya kutochepuka ni hofu ya Mungu and not otherwise.

Nilikwambiaga bila hofu ya Mungu there is no way mwanaume rijali, mwenye uchumi wake atashinda tamaa za ngono. Kwa taarifa yako mwanaume akikuta dadake yake uchi sehemu ya falagha halafu akahakikishiwa kuwa huyo dadake hawezi kujua kwa lolote atakalomfanyia, atamtia!! Hii ilishawahi kuwekwa humu kuelezea jinsi gani sex ilivyo priority kwa wanaume. Spidi gavana pekee ya mwanaume ni kuwa na roho wa mungu baaasi, hayo mengine geresha tu!!

Haya usinichokonoe tena, kama hadi hapo bado hujaelewa basi mwambie Heaven Sent akufafanulie zaidi, manake nimeongea hadi ambavyo sijawahi weka hadharani!!
 
Last edited by a moderator:
Wengi tumeaminishwa na kuamini kuwa kuna "wadhambi na watakatifu" miongoni mwetu. Hili ndio chanzo cha wengi kuumia ktk mahusiano. Aminini nawaambia kwa hulka zetu sisi waafrika ni wanafiki, bila kuacha unafiki mahusiano yatabaki kuwa "Ziwa liwakalo moto"

Wenzetu weupe ni wazazi, anapoona mwenzake kaanguka hukaa pamoja na kujitathimini, si ni mwili mmoja. Wakiona mambo yanajirudi huamua kuachana tena kwa vifijo na ndelemo.

Kwa kumtelekeza mumeo umejiweka upande wa watakatifu. Huyo ni mumeo, mpaka akatembee na HG na mtoto wake na wewe upo hapo pasina kujua basi kuna upande na wewe hukutimiza wajibu wako.

Cc Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:
Duh, aisee I can imagine unavyoumia sista atoto

Sina cha kusema zaidi, nadhani unaweza kukumbuka kile kigezo cha ucha Mungu tulichokuwa tunajadili siku ile na 'mfanyakazi wako' Heaven Sent, pia nikahusisha na maneno ya kwenye signature yangu.

Otherwise ni wanaume wachache sana, tena sana wanaweza kushinda dhambi ya uzinzi

Very very very few men ndo wanaweza kushinda uzinzi kwa sababu ya kuendekeza tamaa zao
 
Last edited by a moderator:
Hapana hebu kumbuka mwanamke pekee ndio atakiwa kuwa mcha Mungu, (according to you), maana ndio wanaofanya choices, nyie si mnabeba tu ilimradi kakuvutia mvuto wa nje.

Hahahhaha boss nimechekaje hukuuuu. Wao hawachagui bana teh
 
Naona mwili wako umeanza kuapply principles z uchumi. Hapo imeapply "the low of diminishing return"
Ni suala la kumshukuru Mungu coz huwezijua km speed ingekuwa ileile pengine ungebaka na kuishia jela.
 
Pole sana mwaya,mimi sina hizo tabia kama za.mumeo. Tafakari ukipumzisha akili mimi nipo nakusubiri. Kuwa makini na baadhi ya watu humu JF hasa Simyu Yetu,Bujibuji na Lzboni.
 
We sista sasa nakupiga bana!! mbona hunielewi hivyo??!! wapi nimesema mwanamke pekee ndo anatakiwa kuwa mcha Mungu? Halafu hii ishu ya kuchagua mwenye hofu ya Mungu tuliijadili sana siku ile tukaenda sawa, leo naona kama unachanganya madesa.

Haya mi nakupa mfano wangu sasa. Mimi kwa sababu ya majukumu ya kazi sikai na wifi yako for like 4 to 8 months kila mwaka. Lakini sichepukagi kwa sababu ni dhambi kwa imani yangu, so namuogopa Mungu na siyo wifi yako, coz najua wifi yako naweza kumficha kirahisi na asijue miaka nenda rudi uje. Lakini naamini Mungu ananiona po pote pale nilipo. So you can see point yangu ya kutochepuka ni hofu ya Mungu and not otherwise.

Nilikwambiaga bila hofu ya Mungu there is no way mwanaume rijali, mwenye uchumi wake atashinda tamaa za ngono. Kwa taarifa yako mwanaume akikuta dadake yake uchi sehemu ya falagha halafu akahakikishiwa kuwa huyo dadake hawezi kujua kwa lolote atakalomfanyia, atamtia!! Hii ilishawahi kuwekwa humu kuelezea jinsi gani sex ilivyo priority kwa wanaume. Spidi gavana pekee ya mwanaume ni kuwa na roho wa mungu baaasi, hayo mengine geresha tu!!

Haya usinichokonoe tena, kama hadi hapo bado hujaelewa basi mwambie Heaven Sent akufafanulie zaidi, manake nimeongea hadi ambavyo sijawahi weka hadharani!!

Aaah mito Weeee nimesoma hadi nimesmile. Mungu akubariki na akupiganie ukazidi kuwa na hofu yake ndani yako. Angekuwa mwanaume mwingine basi hiyo miezi unayokuwa mbali na wife ungekuwa ushapata wife number 2 na watoto wengi tu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana. Wewe ni muumini mzuri pia ni mtumishi wa Mungu. Ndoa ni tamu sanaa. Je uliwahi kwenda mbele za Mung ukamuuliza nini source ya tabia ya Mume wako?? Usikute kuna laana ya uzinzi upo kwenye ukoo wao. So unatakiwa ukate hicho kitovu cha unzinzi. Mwanamke siku zote ni mwombelezaji! Simama katika nafasi yako. Mungu akutie nguvu na uumpende mume wako samehee
 
Nimemchokonoa mito hadi kafunguka, anataka na kunichapa sasa!! Hahahaaaa my kaka ukinipiga nakusemea kwa mama naye atakupiga.
Hahhahaha kumbe mito ni hubby material. Sielewi kwa nini anawatetea wenzie kuwa hawana choices. Ingekuwa hana hofu ya Mungu, kukaa mbali na mkewe kwa few months tu ingekuwa justification ya kucheat.
 
Last edited by a moderator:
habari zenu, polen na majukum pamoja na pilika za siasa. Mimi ni mama mwenye mume na familia kiumri ni miaka 38. Ni mfatiliaj mzuri wa habari za huku leo nami nineona niwape ya kwangu. Kifupi nimechoshwa na mapenzi, sitamani mapenzi, nimekinai sitaki hata kusikia habari zake. Mbaya zaidi siku zinavozidi kwenda sitaki hata kuhudhuria harusi au ndoa. Nikiona tukio hilo huwa linanitesa sana. Na hii ni baada ya kuona ndoa nyingi hazina aman, wanandoa wengi wanaishi maisha yasio na aman. Nilibahatika kuchaguliwa nafasi ya malezi kanisan,ambapo ndoa nyingi zilizokuwa zikija kuleta malalamiko kanisan nikitwa na mch kutoa ushauri. Kwakweli nilikua naumia sana. Sikutaman hayo yanikute nilijua iwapo yatanitokea yatanitesa sana. Sasa yamenikuta na yananitesa sana, nashindwa kujishauri japi kwa wengine nilifanikiwa kias fulan. Ama kweli mganga hajigangi. Kupitia kusikiliza ndoa nyingi zenye maumivu nilijitahidi sana kutimiza wajibu wangu km mama, nilimpenda mume wangu, nilimjali sana, mara nyingi nilimsisitiza awe mwaminifu nami nilijitahi pia kuwa mwaminifu.... mume wangu si mlevi wa pombe ila ana kaulevi kake. Jaman sikuamin kilichotokea.Alitembea na mtoto wa kaka angu bila mimi kujua akatembea na hg na kumpa mimba. Siku niliyomfuma hg. Akakiri na kuniambia hata mtoto wa kaka angu ametembea na baba ndio mana walikua hawapendani. House g. Alirudi kwao na amejifungua. Mtt wa kaka nae alirudi kwa mama ake nilimchukua baada ya baba ake kufariki. Ni zaid ya miez sita inepita nashindwa kumsamehe huyu mume, simtaman kabisa. Nipo kwa kulea watoto ila ameniumiza sana. Sitaki kabisa kushiriki nae tendo la ndoa silitaman kabisa. Mara nyingi nilisikia taarifa mbaya za mume wangu nilipuuza hata nilipojaribu kumuuliza alikua mkali sana. Baada ya fumaniz hili yote niliowahi kusikia kumbe yalikua yana ukweli kabisa. Nimeumia sana, sana. Nimemwambia na kumpa uhuru andelee tu na wao anaona wanamfaa mimi tena basi. Yaan ndoa hizi zina mambo. Polen wanandoa wote mnaopita ktk kipind kigum. Mwenzenu nimeinua mikono. Sijui kwanini ndoa badala ziwe na amani zinakua jehanam ya dunia. Mh!!!

Ina maana hata kuonja nje siku moja moja pia hutaki!!
 
Nimemchokonoa mito hadi kafunguka, anataka na kunichapa sasa!! Hahahaaaa my kaka ukinipiga nakusemea kwa mama naye atakupiga.

Hahaaa sista ndo ulichotaka tu hicho huna lo lote, sawa leo umenikamata kiutamuuuuu!!!

Tena wewe ukiangukia kwa garasa ujue umejitakia kabisaaa, na usije kunililia mi kaka yako nishakwambia yote. Kama mfanyakazi wako Heaven Sent desa limemuingia kisawa sawa hadi kaahidi kulifanyia kazi, aibu ushindwe wewe sasa boss wake, uangukie kwa maplay boy uanze kutulilia sisi ndg zako.

Tena we nakuongezea dozi ya ushauri, ukiwa tayari sista niletee wachumba 2 au 3, then kila mmoja nipe nafasi ya kupata naye walau lunch tu ili nibadilishane naye mawili matatu kwa dk hizo tu, then nitakwambia garasa lipi na turufu ipi. Nikusaidie assessment, manake nyie dada zetu mkizamaga mapenzini mnakuwa myopic kabisaaa!!! Halafu baadae mnaanza kulia lia huku mliwachagua wenyewe.

Haya kwa heri usinichokonoe tena, hata ukiniita nitagonga like tu na kusepa, nshaona unanichokoa niweke kila kitu hadharani hapa chukwaani mpaka wifi yako anisome!!
 
Last edited by a moderator:
Hahhahaha kumbe mito ni hubby material. Sielewi kwa nini anawatetea wenzie kuwa hawana choices. Ingekuwa hana hofu ya Mungu, kukaa mbali na mkewe kwa few months tu ingekuwa justification ya kucheat.

Na nilitaka aliongee hili ili awape experience ila nikawa namshangaa anazunguka zunguka tuuuuu, ila afadhali mwisho wa siku kafunguka. Bado Eli79 ndio simuoni sijui yuko wapi huyu darling ex wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom