sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
Unafanyaje applicationTumia AKHEIR POWDER itamaliza hao wadudu
Wanasema na mafuta ya taa apulizie au expell ile dawa ya mbuTumia AKHEIR POWDER itamaliza hao wadudu
Naomba ushauri mkuu, miguu yangu yote ya kushoto
Height au length?Pole sana mkuu licha ya kuwa vidole vyako viko katika uniform height.
Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao.
Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu. Hapa nilipo mwili mzima unawashwa kwa sababu ya kung'atwa na hivi vijidudu, nimevipangusa kutoka mwilini zaidi ya 100. Mwili umevimba kwa kujikuna, sitaki tena hawa kuku wa kienyeji bora niendelee kununua mayai.
Kama kuna mtu anajua dawa/mbinu ya kuwaangamiza hawa wadudu anisaidie.
Naleta na picha ya jinsi nilivyojikuna, hadi nguo zote nimevua.View attachment 1087682
Sasa hutaki tena kufuga kuku au unataka dawa/mbinu zakutatua tatizo.?Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao.
Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu. Hapa nilipo mwili mzima unawashwa kwa sababu ya kung'atwa na hivi vijidudu, nimevipangusa kutoka mwilini zaidi ya 100. Mwili umevimba kwa kujikuna, sitaki tena hawa kuku wa kienyeji bora niendelee kununua mayai.
Kama kuna mtu anajua dawa/mbinu ya kuwaangamiza hawa wadudu anisaidie.
Naleta na picha ya jinsi nilivyojikuna, hadi nguo zote nimevua.View attachment 1087682
Nisipopata solution sifugi tena, hiyo ndo dhamili yangu maana sio kwa kero hii ya utitiriSasa hutaki tena kufuga kuku au unataka dawa/mbinu zakutatua tatizo.?
unashambuliwa sana kwa sababu vidole vyako vimefanana na vifaranga, vaa mabuti
Muhimu kuelewa tu,ufasaha baadae.Height au length?
Mkuu hii kali!!Ukisikia msiba wowote wewe nenda, ukirudi hutakuta utitiri nyumbani