Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 489
Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili kujiweka sawa ila bado namkumbuka mama yenu aisee. She was my manager, nikitumia hela hovyo ananikumbusha nk na mambo kibao.
Kimsingi nashindwa fanya kitu cha msingi kwa sasa zaidi ya kukaa kula ulabu ili kuwa sawa hiki kipindi cha mpito. Kwake nilishaapa kumchukua nimuweke home, ameshafika kijijini kwetu na kijijini kwao wananijua ila ndio hivyo ngoma imekufa juu kwa juu yaani hapa naumia utadhani nachinjwa na msumeno.
Siwezi kurupuka kuchukua mwanamke mwingine maana nimespend miaka kafhaa na huyu dear ambapo akakaa akilini ile yenyewe. Kwa sasa kila kitu nafanya namkumbuka huyu dear.
Najitokeza kuomba radhi kwa yote my dear rudi tuendeleze mipango yetu.