Kila mtu ana haki ya kusema kile alichonacho kichwani mwake ilimradi tu asivunje katiba so ni vijimambo tu
Mkuu sikatai kuwa haya yapo ila mleta mada hajaileta kitaarifa yaani ameleta kama utani
Kuna namna ya utoaji tahadhari au taarifa mkuu na hilo hapa hatujaliona
Mbona ujumbe ulio kwenye avatar yako unapingana na matendo yako??
Brainstom........sio lazima uambiwe hiki ni kijambo alihali harufu umeisikia
Mbona ujumbe ulio kwenye avatar yako unapingana na matendo yako??
Mkuu mbona umepotea kama umeme wa ngeleja
au ulienda kupata kiburu kule mndenyi
hahahhahahahh...Kiburu.... kati ya vyakula vilivyonishangaza Arusha/Kilimanjaro na nyingine inaitwa Roshoro hahahahahahaahahhahahah usiombe uletewe bariiiiiidiiii hahahahahhahah kama unakula pembeni
Mkuu chakula bomba sana hicho haswa ukikikuta kimepikwa na kuhifadhiwa kiusafi
Kwa mtu wa hapa arusha ukioa umasaini ni lazima ukutane nayo iko kwenye kibuyu
hahahahahah aisee kule kwetu Usukumani nilishangaa sana nikadhani wamekosea. Mr. rock u made my day ahsante kwa kunikumbushia
Mkuu mbona umepotea kama umeme wa ngeleja
au ulienda kupata kiburu kule mndenyi
Ni mtazamo wako tu.......Niliinstall software yangu ila baada ya hapo nikaapa sitaki tena window 7. Cha kushangaza kako very innocent huwezi amini kama kuna mtu anainstall software lakini kumbe ....dah! TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.....
Ni taarifa...mi sijaelewa ni ushauri ,swali ,au msaada
<br />Jana nilikutana na ka-window 7 kangu mahali fulanifulani ili tujaribu kuintall software yangu...bwana bwana.....nilikapeleka lodge fulani sikutegemea kanafahamika sana yaani ile kufika tu mhudumu wa lodge akasema....hi marry nikupe room ileile ya kila siku? Dah nikatoa macho mbaya! Kumbe ka-window 7 kangu bwana ni kazoefu kale yaani pale ilikuwa ni home ground. Niliinstall software yangu ila baada ya hapo nikaapa sitaki tena window 7. Cha kushangaza kako very innocent huwezi amini kama kuna mtu anainstall software lakini kumbe ....dah!