Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Tanga raha jamani....asikwambie mtu.
Kwanza wanawake wote twajua upishi,
Tukiwa jikoni hatulembi, hapa sima ya bada na sangara wa nazi, pale wali wa nazi wenye hiriki na uturi kidogo, kule pembeni ngogwe na bamia chukuchuku, pembeni kuna sharubati ya embe mixer makakara.....kitandani sasa....kama kitanda chako cha jani la mvuje, waweza hamishia godoro chini.

Au sio mwanakwetu.
Ndio kabisa Dada. Sina cha kuongeza hapo.

Umemaliza kila kitu mwanakwetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sitaki mieee.

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] [emoji444][emoji444]najiona mimi [emoji444][emoji444][emoji444] naimba tu dada mwimbo wa Joh Makini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka Dada akee kumbe tupo wengi na huyu nae demi yupo kama sisi

Yaan kuna siku nilimletea habari za kuwa member jf woiiii nilitukanwa matusi yote niliambiwa nataka kuwa member ili nitongozwe au kwani habari za jf bila kuwa member siwezi soma kimoyo moyo nikajisema kheee yamekuwa haya kumbe hataki swala la kuwa member
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka Dada akee jumbo tupo wengi na huyu nae demi yupo kama sisi

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka Dada akee jumbo tupo wengi na huyu nae demi yupo kama sisi

Yaan kuna siku nilimletea habari za kuwa member jf woiiii nilitukanwa matusi yote niliambiwa nataka kuwa member ili nitongozwe au kwani habari za jf bila kuwa member siwezi soma kimoyo moyo nikajisema kheee yamekuwa haya kumbe hataki swala la kuwa member
Nawaza siku mnadakwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Afu mdakwe mpo kwenye nyuzi zile za mmu zisizokuwa na kichwa wala miguu..

Hahahhhaaa! Siku hiyo sijui ndio mtaleft jf mazima..na umember wenu uliotukuka [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] Sitaki mieee.

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] [emoji444][emoji444]najiona mimi [emoji444][emoji444][emoji444] naimba tu dada mwimbo wa Joh Makini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nipo zangu mkoani Tanga hapa kikazi, na ni wiki ya pili. Katika kuzunguka zunguka nikakutana na mtoto mashallah, mtoto jojo, mtoto chura, mtoto ina mpaka machoni.
Tukaanza mazoea kidogo kidogo, mpaka tuka exchange mawasiliano. basi nikampanga tukutane somewhere. Siku ya siku akasema anakuja basi nikalipia chumba lodge moja hivi karibu na stendi ya basi za mkoani.
Nikampokea, moja kwa moja mpaka room, kufika tu tukaanza mambo mambo, mtoto akalegea, kazi ikaanza ya to and flo motion, mtoto kiuno kama feni na sauti tamu. Raundi ya kwanza ikaisha mtoto bado anahitaji, nikajikaza raundi ya pili mtoto bado, raundi ya tatu mtoto bado anahitaji. Ikabidi nimtoroke kwa kisingizio cha kufata helmet nyingine, na kuanzia hapo sikumtafuta tena, mapenzi siyo vita wadada. Muwe mnatuonea huruma basi, twatumia damu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shoo kama hizo tuachie wenye mapafu ya mbwa broo, usijefia kifuani ila pole sana kwa yaliyokukuta.kwa mara ya kwanza nasikia mwanamme anakimbia shoo, hv huwa unakula nn?
 
Nawaza siku mnadakwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Afu mdakwe mpo kwenye nyuzi zile za mmu zisizokuwa na kichwa wala miguu..

Hahahhhaaa! Siku hiyo sijui ndio mtaleft jf mazima..na umember wenu uliotukuka [emoji3]
Ukidakwa umetaka mwenyewe unaanzaje kudakwa kwa mfano
 
Nipo zangu mkoani Tanga hapa kikazi, na ni wiki ya pili. Katika kuzunguka zunguka nikakutana na mtoto mashallah, mtoto jojo, mtoto chura, mtoto ina mpaka machoni.
Tukaanza mazoea kidogo kidogo, mpaka tuka exchange mawasiliano. basi nikampanga tukutane somewhere. Siku ya siku akasema anakuja basi nikalipia chumba lodge moja hivi karibu na stendi ya basi za mkoani.
Nikampokea, moja kwa moja mpaka room, kufika tu tukaanza mambo mambo, mtoto akalegea, kazi ikaanza ya to and flo motion, mtoto kiuno kama feni na sauti tamu. Raundi ya kwanza ikaisha mtoto bado anahitaji, nikajikaza raundi ya pili mtoto bado, raundi ya tatu mtoto bado anahitaji. Ikabidi nimtoroke kwa kisingizio cha kufata helmet nyingine, na kuanzia hapo sikumtafuta tena, mapenzi siyo vita wadada. Muwe mnatuonea huruma basi, twatumia damu.
Ulikua umetokea darslaam?
 
Mfano wewe;

Ukiwa nae simu inakuwa wapi ambapo haoni uko busy nayo..?
Wewe T nipo kwenye ndoa mwaka wa 9 huu siwezi dakwa kijinga nikiwa na Mr wangu kama sio mm sipo busy na simu tena ipo mezani zinazoingia ni notifications za whatsapp na text za kawaida na calls jf situmii nikiwa nae tena haipo kwenye simu
 
Back
Top Bottom