kama inawezekana bora awe anapimwa kila baada miezi sita.
Labda alikuwa ana maanisha kupimwa afya ya ubongo wake na siyo akili!
Chonde Chonde mzee wa kijiji! Mpaka wafikie hatua ya kuchanganya kama wale wagonjwa waliobadilishwa mguu na kichwa katika upasuaji wa muhimbili basi tujue ndo kwishneiau hawakumwelewa Malecela aliposema anayetakiwa kupimwa akili ni Sofia Simba? Mi hata sijui bwana! I need to have my akili checked too maana ...
HIV umepimwa na uko okay, akili umepimwa na uko okay.....mbona unapimwa sana baba? Kuna issue? Na kwa nini uliondoka Cuba last week ukafika Dar jana, kwani umerudi na meli?
Na ndege yetu umeiacha wapi, maana kwenye gazeti umeonekana unashuka kutoka kwenye Emirates, wakati hapa tulikuona ukikwea Tanzania One. Ni hayo tu, labda niongezee kidogo, baba nilivokuona kwenye bembea na huku mama yuko kwenye vitenge, niijua hapa kuna issue..sasa nimeelewa.
Raisi kubembea ilhali asilimia 38 ya wananchi wake wanaishi chini ya mlo mmoja ni mzima kweli???????? huko ku-vascodagama kulikopitiiza kwaweza kuwa ndo dalili za matatizo ya akili.