Babe wangu mwaJ wala usiniwashie moto, nilikuwa namtania tu Mamndenyi wala sikumaanisha.
Mimi na wewe hadi ukamilifu wa dahari na hakuna mtu wa kututenganisha. Hakuna zaidi yako mama watoto wangu please naomba unielewe, hii ni mitihani ya dunia tu imenikuta lakini tumshukuru mungu kwamba nimeweza kuishinda.
Nimekubamba sijakubambaa? Labda usirudi tena nyumbani! Kwa usalama wako baki huko huko!:A S-fire1:
:A S-fire1::A S-fire1:
:A S-fire1::A S-fire1:
Nawe mkomoe njoo kwangu fasta!
Mwanangu wana siasa hawajui kupenda wako juu juu tu naona hata dalili hakuna.
Mamndenyi karibu pande hii usikie nasaha za mheshimiwa mwenzako, naomba uwe na roho ya hisani.
Nilivyo na mahasira hapa bora nikapombeke!Nawe mkomoe njoo kwangu fasta!
Mwita Maranya haujaushinda mtihani wowote! Tena umefeli kuliko hata fomu foo wa 2012! Hata Baraza la Chi Chat likirudia kusahihisha bado utakuwa umefeli tu! Baki huko huko kwa Mamndenyi!Babe wangu mwaJ wala usiniwashie moto, nilikuwa namtania tu Mamndenyi wala sikumaanisha.
Mimi na wewe hadi ukamilifu wa dahari na hakuna mtu wa kututenganisha. Hakuna zaidi yako mama watoto wangu please naomba unielewe, hii ni mitihani ya dunia tu imenikuta lakini tumshukuru mungu kwamba nimeweza kuishinda.
Mamndenyi karibu pande hii usikie nasaha za mheshimiwa mwenzako, naomba uwe na roho ya hisani.
Usijali mapito, tuna nafasi ya kufanya future bura yenye nuru. Mwita Maranya leo umeamkia upande gani?
Nilikuambia mapema
hamia kwangu moja kwa moja
ukakataa, leo kamwaga pombe, kesho ugali
kesho hiyo ni wewe mwenyewe
njoo huku ule mema ya nchi.
UOTE=Mwita Maranya;6619483]Nani kamwaga pombe yangu mwaJ, naulizaaaa...naulizaaaa...