Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,697
1,962
wema_sepetu.jpg

BAADA ya matatizo ya mapenzi, hatimaye msanii Wema Sepetu, ameweka wazi kuwa hataki tena kutembea na masharobaro kwani mapenzi yao yanakuwa hayana malengo zaidi ya kuchezeana.

Akizungumza hivi karibuni msanii huyu alisema kuwa msanii anayemfananisha na sharobaro ni aliyekuwa mpenzi wake Nassib Abdul ‘Diamond’, kwani endapo angekuwa hayuko hivyo basi anaamini mapenzi yao yangedumu kwa muda mrefu.

Alisema kwa sasa anahitaji kutoka na mwanaume aliyemzidi umri kwani anaamini watu hao wanakuwa na mapenzi ya dhati tena hawana wivu kama watoto wadogo ambao muda wote hupenda kuwa karibu na wapenzi wao badala ya kufanya kazi.

“Kila kitu kina muelekeo wake, mapenzi yangu mimi na Diamond yangeweza kudumu lakini kutokana na usharobaro alionao ndiyo uliosababisha yote yaliyotokea, na ndiyo maana nasema kwamba ni bora kutembea na mwanaume aliyekuzidi umri mnaweza kufika mbali,” alisema.

Msanii huyu alisema hata hivyo ni bora afunge ndoa na mwanaume atakayempata ambaye anajua maana ya mapenzi kuliko kutembea na vijana wadogo ambao hawajui nini maana ya mapenzi na hawana muelekeo wa maisha.
 
Mwehu sana huyu na huyo copper wake(diamond) kutafuta umaarufu na utoto unawasumbua,atafute lizee limweke ndani kama mwenzie naniliu....
 
wema_sepetu.jpg

BAADA ya matatizo ya mapenzi, hatimaye msanii Wema Sepetu, ameweka wazi kuwa hataki tena kutembea na masharobaro kwani mapenzi yao yanakuwa hayana malengo zaidi ya kuchezeana.

Akizungumza hivi karibuni msanii huyu alisema kuwa msanii anayemfananisha na sharobaro ni aliyekuwa mpenzi wake Nassib Abdul Diamond, kwani endapo angekuwa hayuko hivyo basi anaamini mapenzi yao yangedumu kwa muda mrefu.

Alisema kwa sasa anahitaji kutoka na mwanaume aliyemzidi umri kwani anaamini watu hao wanakuwa na mapenzi ya dhati tena hawana wivu kama watoto wadogo ambao muda wote hupenda kuwa karibu na wapenzi wao badala ya kufanya kazi.

Kila kitu kina muelekeo wake, mapenzi yangu mimi na Diamond yangeweza kudumu lakini kutokana na usharobaro alionao ndiyo uliosababisha yote yaliyotokea, na ndiyo maana nasema kwamba ni bora kutembea na mwanaume aliyekuzidi umri mnaweza kufika mbali, alisema.

Msanii huyu alisema hata hivyo ni bora afunge ndoa na mwanaume atakayempata ambaye anajua maana ya mapenzi kuliko kutembea na vijana wadogo ambao hawajui nini maana ya mapenzi na hawana muelekeo wa maisha.

Nipeni namba yake huyo Mrembo...
 
Anatakiwa apewe darasa kali sana hasa la kuongea ....."kutembea"maana yake huwa anafanya biashara au ana maanisha mahusiano ya mapenzi?napata wakati mgumu sana na uwezo wa kujieleza wa Miss wetu wa zamani......sijui ilikuwaje kule sanya china kwenye kujibu maswali ya ufahamu wa vitu tele vya duaniani hapa!!!!
 
sorry to say this
ameweka wazi yaani alikuwaa kibiashara zaidi sasa anaomba aingie kwenye mahusiano yenye muendelezo kamilifu
hataki tena yale mambo ya kuchafuana na kupewa 50/100 usd ..ingawa too late jamani dadachanagu haka bagamoyo kalikuwa katamu asikwambie mtu thosedays mjomba anawauza kwa mapredeshe asiee mpaka wakagombana najoakate wakidanganywa kila mmoja mshindi....loh
 
This

Sunshow said:
Mwanaume gani anataka vilivyochakachuliwa!

and this

nyamchirago said:
Nani achukue jitu ambalo limeisha chakaa atakae fanya hivyo ni mwanume mpuuzi

and then this

Mabagala said:
asee, aje nimtulize pia

Sasa umeamini mabushoke hawako barabarani hata humu humu tu wengi, nafikiri umesahau ile methali inayosema ukisema wa nini wenzio wakwambia tutampata linie?
 
hivi vitoto huwa vinatulizwa na ukimwi tu..........we endelea kuchezea hizo CD4 zikipungua ndio utatulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom