Sitaki tena kugegeda hadi nioe

Sitaki tena kugegeda hadi nioe

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Kuna baadhi ya mambo ambayo huwa wanaume wengi tunapenda sana na kimojawapo ni ZOEZI LA KUGEGEDA,kiukweli kila mmoja anapenda kujionesha ni mjuZi na mtaalamu katika sekta iyo nyeti ya utamu na maliasili. mimi binafsi katika kuwaza na kuwazua nimefundua udhaifu wangu katika hatua hiyo na nimeona kuwa napenda sana kutembelea sekta hiyo na kufanya ufunguzi katika vituo mbalimbali ila kazi inakuja kwenye kukaa na kusubiri katika kituo kimoja(yaani niliena uhusiano nae)hadi kufikia ndoa. ninashindwa kwakua nishafungua vituo vingi na kila kituo ninachokiona naona kinaitaji ufunguzi,sasa kwa kuzingatia hayo nimeamua kwa moyo mmoja kabisa bila kushawishiwa na mtu kuacha kugegeda hadi hapo nitakapooa,japo wanasema ujana ni maji ya moto ila ntachanganya na ya uzee kwakua najua yatakua yabaridi. najua kutakua na challenge ila wazungu wanasema accept the challenge to be wise.
 
maamuzi mazuri ola ni magumu kutekeleza...good luck on that
 
ww sema umeamua kupumzika kwa mda unawavutia kasi.......... Ukutane na vifaa kama Heaven on earth au Madame B au miss strong utanyamaza kwel mkuu
 
Mzee fikra izo zimekujia baada ya kutoka nyumba ya wageni au?
Hahahahahaaa!
Mawazo kama hayo ni KAMA MAJI YA BAHARI, KUJAA NA KUTOWEKA!
Yakitoweka basi watu hutembea mule kwenye fukwe bila ya mzuka wa kuogelea!
Ngoja yajae sasa, pengine hukua na mzuka hata wa kuogelea, wewe unajikuta UMESHAPIGA MBIZI!!!!!
 
Hongera mwaya kwa kuistopisha hiyo dhambi yako ya unzinzi usisahau kutubu!
 
Umeongea pwenti kubwa sana mkuu.. udhaifu huo wengi tunao, unakaa na mtu, ukishajua yuko vipi baaasi, unaona hafai tena, hafai kuwa mke, na hata vigezo unavyojipa wala havina mantiki yoyote!

The best solution is to abstain from sexual activities till you tie the knot!
 
Kuna baadhi ya mambo ambayo huwa wanaume wengi tunapenda sana na kimojawapo ni ZOEZI LA KUGEGEDA,kiukweli kila mmoja anapenda kujionesha ni mjuZi na mtaalamu katika sekta iyo nyeti ya utamu na maliasili. mimi binafsi katika kuwaza na kuwazua nimefundua udhaifu wangu katika hatua hiyo na nimeona kuwa napenda sana kutembelea sekta hiyo na kufanya ufunguzi katika vituo mbalimbali ila kazi inakuja kwenye kukaa na kusubiri katika kituo kimoja(yaani niliena uhusiano nae)hadi kufikia ndoa. ninashindwa kwakua nishafungua vituo vingi na kila kituo ninachokiona naona kinaitaji ufunguzi,sasa kwa kuzingatia hayo nimeamua kwa moyo mmoja kabisa bila kushawishiwa na mtu kuacha kugegeda hadi hapo nitakapooa,japo wanasema ujana ni maji ya moto ila ntachanganya na ya uzee kwakua najua yatakua yabaridi. najua kutakua na challenge ila wazungu wanasema accept the challenge to be wise.

Nenda zako usitende tena dhambi.
 
Kauza mechi huyu. Anaugulia majuto saa hizi. Hadi ijumaa ijayo atakuwa keshasahau
Mzee fikra izo zimekujia baada ya kutoka nyumba ya wageni au?
Hahahahahaaa!
Mawazo kama hayo ni KAMA MAJI YA BAHARI, KUJAA NA KUTOWEKA!
Yakitoweka basi watu hutembea mule kwenye fukwe bila ya mzuka wa kuogelea!
Ngoja yajae sasa, pengine hukua na mzuka hata wa kuogelea, wewe unajikuta UMESHAPIGA MBIZI!!!!!
 
inahitaji moyo sana kila la heri Mungu awe nawe katika maisha ayo mpya sisi bado tunafungua vituo.
 
Uamuzi mzuri sana huo madhali umeshaweka nia la muhimu uuwakilishe upasavyo!!
 
Back
Top Bottom