Sitaki kupenda tena sana

Sitaki kupenda tena sana

Niaje wakuu,

Wanawake bana waajabu sana, nilimpenda sana msichana mmoja akanifanya nisahau na kuacha vitu vingi tu nilivyokuwa nimezoea, kiufupi nilikuwa sijazoea kuwa na msichana mmoja kwenye mahusiano yaani ilikuwa lazima niwe nao wawili au watatu ila ikatokea nikakutana na binti mmoja nilitokeakuvutiwa nae sana nikaanza kumfukuzia.

Ila alikuwa mgumu ilinichukua miaka 2 kukubaliwa mpaka kuanza kuitwa baby yani wivu mwingi sana akawa nao ikabidi wasichana wengine niwaachei wote nikabaki nae pekee.

Nilimhudumia kila kitu nnachotakiwa kumfanya hadi katika masomo yake nilimpigania sana mpaka kaja kufaulu na kumaliza vizuri huku tukiwekeana hadi ahadi za kuoana.

Lakini alichokuja kunifanyia kwakwel najuta kwanini nilimpenda alikuja kubadilika mpaka nikawa naduwaa nikishindwa kuamini kama ndo yeye aliyekuwa hadi analia sababu ya kunimisi, sitopenda tena maana kaniumiza sana.

Saivi wasichana nawaogopa
usije mjini
 
Ndio maana alikuacha,,jinsi ulivyoandika hii thread ilikuwa haina jinsi lazima uachwe ...maana hakuna jinsi.Hivi Wewe una umri wa kupiga kura kweli wewe?
 
Ndio maana alikuacha,,jinsi ulivyoandika hii thread ilikuwa haina jinsi lazima uachwe ...maana hakuna jinsi.Hivi Wewe una umri wa kupiga kura kweli wewe?

Nishakuvuka ktambo mkuu
 
Mkuu tatizo lako uliingia kichwa kichwa,afu nahis dogo alishajua kwake hupindui.
 
Ohoooo! Kumbe na wewe ulisha umiza wengine acha ulie xaxa zamu yako ulizan mungu atachelewa sku hizi anajibu mapema tuuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom