Sitaki kupenda tena sana

Sitaki kupenda tena sana

borncool

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
226
Reaction score
49
Niaje wakuu,

Wanawake bana waajabu sana, nilimpenda sana msichana mmoja akanifanya nisahau na kuacha vitu vingi tu nilivyokuwa nimezoea, kiufupi nilikuwa sijazoea kuwa na msichana mmoja kwenye mahusiano yaani ilikuwa lazima niwe nao wawili au watatu ila ikatokea nikakutana na binti mmoja nilitokeakuvutiwa nae sana nikaanza kumfukuzia.

Ila alikuwa mgumu ilinichukua miaka 2 kukubaliwa mpaka kuanza kuitwa baby yani wivu mwingi sana akawa nao ikabidi wasichana wengine niwaachei wote nikabaki nae pekee.

Nilimhudumia kila kitu nnachotakiwa kumfanya hadi katika masomo yake nilimpigania sana mpaka kaja kufaulu na kumaliza vizuri huku tukiwekeana hadi ahadi za kuoana.

Lakini alichokuja kunifanyia kwakwel najuta kwanini nilimpenda alikuja kubadilika mpaka nikawa naduwaa nikishindwa kuamini kama ndo yeye aliyekuwa hadi analia sababu ya kunimisi, sitopenda tena maana kaniumiza sana.

Saivi wasichana nawaogopa
 
Kakufanya kama ulivyowafanya hao wawili ulowaacha.

naamini dua zao ndizo zimekufikisha hapo ulipo. Unafikiri hao ulowaacha hawakulalamika? ndio walilalamika lkn hukusikia.

Dog jaribu kutulia na kumwomba Mungu kabla hujaanza mapenzi mapya kwani utabaki kulia bila wa kukuhurumia kama samaki anavyopotezea machozi yake baharini.

Wazo tu waweza kubali au kukataa.
 
Kwa hiyo hutoowa maishan mwako??? Pole ulipokuwa unawamiliki wengi ulijiskiaje
 
Niaje wakuu,

Wanawake bana waajabu sana, nilimpenda sana msichana mmoja akanifanya nisahau na kuacha vitu vingi tu nilivyokuwa nimezoea, kiufupi nilikuwa sijazoea kuwa na msichana mmoja kwenye mahusiano yaani ilikuwa lazima niwe nao wawili au watatu ila ikatokea nikakutana na binti mmoja nilitokeakuvutiwa nae sana nikaanza kumfukuzia.

Ila alikuwa mgumu ilinichukua miaka 2 kukubaliwa mpaka kuanza kuitwa baby yani wivu mwingi sana akawa nao ikabidi wasichana wengine niwaachei wote nikabaki nae pekee.

Nilimhudumia kila kitu nnachotakiwa kumfanya hadi katika masomo yake nilimpigania sana mpaka kaja kufaulu na kumaliza vizuri huku tukiwekeana hadi ahadi za kuoana.

Lakini alichokuja kunifanyia kwakwel najuta kwanini nilimpenda alikuja kubadilika mpaka nikawa naduwaa nikishindwa kuamini kama ndo yeye aliyekuwa hadi analia sababu ya kunimisi, sitopenda tena maana kaniumiza sana.

Saivi wasichana nawaogopa
Napenda kuweka record sawa; Wanaume wanao fanikiwa kuoa wanawake walio wasaidia kimasomo hasa kwa kuwa somesha ni mmoja kati ya elfu moja i mean (1:1000). Na wala usichukie wanawake, wewe mwenyewe ndio umeingia kwenye mtego. So keep on loving.:A S shade:
 
kupenda ni upumbavu na ulofa,wewe kula mzigo kila mtu achukue hamsini zake.
abari zakupendana pendana hamna siku hizi.
 
Usichopenda kufanyiwa nawe usimfanyie mwingine,kwako ilikuwa raha kuacha ila karaha kuachwa,waogope tu hamna jinsi tena.
 
Muulize Slaa amegeuka bubu mzee wa watu kutoswa kubaya jamani! Dedictn ...kuachwa ya bella.
 
kupenda ni upumbavu na ulofa,wewe kula mzigo kila mtu achukue hamsini zake.
abari zakupendana pendana hamna siku hizi.

Asante sana mkuu,,, utakuja watu wengine wanajifanya wanapendana kama wametoka tumbo moja..** they say true love is blind n the really romantic is timeless**
 
Kama ulivyowaumiza wale wengine kwa kuwaacha basi ndio hivyo nawe ulivyoachwa. Kila la heri katika uhusiano wako utakaofuata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom