Ila Rapunzel,Tatizo sio kuulizwa tu...tatizo ni ile kunipush olewa basi uondoe nuksi.....ona mtoto wa fulani kaolewa ww bado upo tu!?....olewa basi na ww kazi kutoa michango kwa wenzio tu?
Hilo ndilo silipendi
hilo swali la utaolewa lini nakumbuka dada yetu mmoja aliulizwa jibu alilotoa nipe mmeo anioe
Inaonyesha anaitumia k yake kwa starehe tuu, ili aweze kwenda huku na kule bl kuulizwa.
Ndo the "universal truth" mkuu!
Hivi kumbe ndoa ni utayari wa mwanamke na mwanaume? Nnachojua ndoa ni utayari wa mwanaume then anamwambia mwanamke ndoa inafwata..sasa wewe kuwa tayari mwambie mwanaume akuoe km hayuko tyr uone km kuna ndoa..haya niulize swali Rapunzel
ya kwanza ulikosea !
Inawezekana pia hujapata wa kukuoa .haiwzekani eti una mtu anakupenda..serious hlf akutangazie ndoa ukatae wkt wadogo zako wanaolewa....hhee eeehhh kazi ipo
kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.
jamii inatufanya kuwa na hiyo mitazamo huwa naona mama angu anavyomuuliza uliza my sisy...
nadhani hajapata tu ila angekua na mtu wa kueleweka sidhan angekua na hizo.
Inawezekana pia hujapata wa kukuoa .haiwzekani eti una mtu anakupenda..serious hlf akutangazie ndoa ukatae wkt wadogo zako wanaolewa....hhee eeehhh kazi ipo
Tatizo wengi wetu humu ndani tunapenda kusifia hata pasipostahili sifa. Me sioni km upo sahihi sana,ingawa ni kweli ni vizuri kuishi utakavyo wewe kuliko kuishi kwa matakwa ya jamii. Lkn yapo mambo ambayo huwezi kuishi nje ya mambo yenyewe na mojawapo ni suala la kuoa au kuolewa. Waliokuuliza hawakuwa na nia mbaya km ulivyowatafisiri,wao walikuwa wanatimiza wajibu wao km watu wa karibu yako,ulikuwa na nafasi ya kuwaeleza mtazamo wako juu ya jambo hilo,malengo yako tena kwa kuweka wazi vipaumbele vyako na kwamba vikikamilika hivyo dual a hilo litafuata. Kwa namna yoyote na kwa umri wako inabidi ujiweke sawa ki-saikolojia kukubaliana na suala la kuolewa kwa mtazamo chanya! Ndoa si kitu kibaya hata kidogo ndo maana 65% ya watu wote Duniani wameolewa au kuoa. No muhimu kuweka malengo ya kuwa na familia kwa kupanga aina ya mume umtakaye(siyo wa kupiga nae picha) na lazima ujue kwa nini ni muhimu kuwa kwenye ndoa! Ikibidi ntarudi,ngoja niishie hapa kwa sasa.Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...
Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?
Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",
kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2.Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4.Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5.Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion
( ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nop
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo
Wewe hujawahi kuulizwa?