Sitaki kabisa mume mlevi

then get ready for the next level!! nitakuunga naye na utakua na uwezo wa ku decode the Words!!!

Usiache kunikot na kunikumbusha sasa !!
 
Kwani hizo tambia mbaya lazima awe nazo?
Sisi ndio wanaume, na tunajitambua madhaifu yetu. Ni vigumu kua mwaname sawa sawa bila kua na starehe fulani kupunguza stress za maisha. Au lasivyo unaweza kudata.

Atake kuambia mwanaume hana starehe na ni mzima ujue ni muongo.

Ndo mapungufu yetu hayo, either wanawake wayakubali au wayakatae. Ila ndo hivo
 
Umenena kweli kabisa
 
Sisi wanaume wa Dar tutafanywa nini vile??? Naona maruweruwe kwenye maandishi.
 
Ndiyo hapo, hata mimi mtu mlevi simuwezi!! mtu anywe hata kwa mwezi mara 1 na kwa staha.... sio kila weekend pombe utafikiri ana hisa TBL.
Sasa hapa sijui itakuwaje? Maana mimi kwenye jokofu langu lazima kuwe na bia za kutosha! Kila SIKU ni LAZIMA nipige moja au mbili baada ya Dinner,na zikipungua wife lazima aongeze! Japo yeye hagusi!
 
Msiokunywa pombe mjue mnakosa kitu kitamu sana
 
Kwani mkuu hizo starehe za kupunguza stress ni lazima ziwe ni mambo ya hovyo hovyo?

Starehe ya mtu ni yale mambo afanyayo na akahisi utulivu wa nafsi. Ni lazima yawe hayo 4?
 
Mkuu, Na wanawake wanaojiuza kwenye ma-bar wateja wao ni wanaume kundi lipi kati ya hayo uliyotaja?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…